ARUSHA YAONGOZA KWA BANGI TANZANIA
8
November 04, 2013
IMEBAINIKA kuwa Mkoa wa Arusha unaongoza kwa kilimo haramu cha bangi ambayo imekuwa ikiharibu vijana wengi.
Akizungumzia ishu hiyo wakati wa uteketezaji wa mashamba ya bangi wilayani Arumeru jijini hapa, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alikemea vikali juu ya ustawishaji wa mmea huo huku akisisitiza kula sahani moja na wahusika.
Kamanda huyo aliwataka raia wema kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mara moja wanapogundua uhalifu wa aina hiyo na mwingine wowote.
Tags
Ndo maaana kuna matukio mengi ya ujambazi na ujangili
ReplyDeletebangi z a natural herbal plant n tz nt causativ of pysatric,ukchaa unazalwa nao
ReplyDeleteJAMANI WAMERU ANGALIENI HIKI KIZAZI MTAKIMALIZA.
ReplyDeleteBangi sio mbaya mdau Uholanzi watu wanavuta hadharani na hawana fujo hata kidogo ni kama sigara tu.juzi umesikia wamefunga magereza 8 kwa kukosa wahalifu
DeleteIla kumbuka na elimu pia inachangia mdau. Bongo mtu anatumia bila kujua cku itaishaje. Roba za mbao kamwe haztaisha huku uswahilini kwetu. Unaktana dogo kapga iyo ktu anakamata kuku wa watu mchana kweupeee. Anarudi home kakuta mboga jkoni Kalamazoo yote. Remote ya om kauza mpaka wazaz wenyee mnamuogopa.
DeleteKumbe ndomana mumewangu tangu ahamie huko hamhudumii mtoto,atakua amenza iyo kitu.
ReplyDeleteYaani hata hasipovuta anajikuta kalewa na kubadili Tabia
DeleteMi mume wangu alivyofika tu huko akaweza ata kupunguza matumizi na kuongeza watu wa kufanyanao mawasiliano hasa jinsia ke
pole mwaya.
Cha arusha ndo chenyewe
ReplyDelete