BARUA YA POLISI WA UINGEREZA KWA TANZANIA KUMTAFUTA GODBLESS LEMA

Hii ni barua ya polisi wa uingereza waliyoandikia polisi ya tanzania wakimtafuta lema akamatwe kwa kosa la ubakaji.



maelezo ya ziada ambayo uingereza walihitaji kutoka polisi ya Tanzania, ni haya hapa chini.

Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo wazidi kubainika


Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012 nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo umezidi kubainika.

Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada no.MOS/RB/17127/12.

Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine, 
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA 
-Anuani yake 
-Barua pepe 

Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na 
-Wasifu wake. 

Mbali na tukio hilo kuripotiwa ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012 lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013 iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA" Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.

Flora amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia kuwa ana asili ya ujambazi.

kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.

Chanzo:Jamii Forums
Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo msichana anaedai alibakwa FLORA LYIMO anawekaga Picha za uchi nusu Kwenye blog yake hao police wanchunguze upya maana evidence zits onyesha mdada ni muuzaji.Flora alifanya mistake kuweka Picha za uchi

    ReplyDelete
  2. Kalipwa pesa ngapi kusema hayo maneno ye si anatuoneshaga figureless yake kila siku kwenye blog yake hapa kuna ualakini.

    ReplyDelete
  3. Mbona hiyo barua imekwisha muda wake toka january ndo mmeipata leo au?pili haijataja jina la huyo suspect mana kama anamjua aliyembaka is unasema ni flani alaa,clearly haijatolewa kwa ajili ya Mh,wacheni kuchafua majina ya watu na kutupumbaza wananchi,mtawapata hao hao wenye mawazo funyu.

    ReplyDelete
  4. Mtu unajijua umefungua kesi nzito ya kubakwa huku kesi ikiwa bado haijakamilika na kumalizika unaanza kutundika picha za uchi kwa mbwembwe. Hata Kama ni kweli ulibakwa unaipa mahakama na jamii utata kuamini Kama ni kweli ulibakwa au ni biashara haikufikia makubaliano sahihi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Case dismissed na anaweza shtakiwa yeye for prostitution

      Delete
  5. Hizo ni mbinu za kumchafua tu lema.we kaza buti achana na huyo malaya.kuuza uchi mtandaoni kaona sio dili anaanza kuwapaka watu matope

    ReplyDelete
  6. Muongo, huyo mdada, kwanini hakulipot pale tu, alivyobakwa, analipot kipindi hiki? Nia ya kumharibia lema, 'ALIJIBAKISHA'

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli DNA walikusanya police.Alitiwa au alibakwa.mapenzi wakifanya .ila sasa hizo Picha anazo Toa on line ndio zits mwonyesha flora changudoa .Wewe Unajua Una case na unaweka Mapicha .lema aende his case will be dismissed

      Delete
  7. Kwa mfumo wa UK ulivyo huwezi kufanya uhalifu usikamatwe, wala haichukui muda, wana database ya kila mtu, umeingia lini na unatoka lini. hiyo barua hata mm naweza kuitengeza

    ReplyDelete
  8. Usenge mtupu blog hii, kwani hamkuni vichwa kuchuja vya kuandika?

    ReplyDelete
  9. Mbona barua yenyewe haisemi popote kuwa Lema akamatwe???!!

    ReplyDelete
  10. Mti wenye matunda mazuri ndio hurushiwa mawe!

    ReplyDelete
  11. Serikali ya ccm hailali usingizi kwa kuteswa na Lema,ingelikuwa kweli ingemshukia Lema kama mwewe.

    ReplyDelete
  12. Siangalii kesi imekaa vipi Bali nataka kuweka sawa swala la flora kuwwka picha za uchi ni swala binafsi na kwa wenzetu ni jambo la kawaida so mnaosema kuwa flora atashtakiwa kwa umalaya kisa zile picha mmechsha mahakama na kwa sheria za UK na uerope kwa ujumla she is free to show hata papuchi yake alimradi Tu hajavinja sheria na flora ni mjanja kila picha akipiga anatangaza nguo zake ili hata kikiwaka anasema alikua Ana design her clothes

    ReplyDelete
  13. Hv Angevaa Hijab Ni Kweli Angebakwa? Hvy The Way Anavyojiweka Kimavaz Ndivyo Anavyohamasisha Wanaume Wamtongoze Na Akiwakataa Wanambaka.Si Lema Tu,hata Ningekuwa Mimi Au Wewe Ni/u mkute Chombingo Yupo Nusu Uchi Unafikiri Nini Kingefuata Kama Siyo Kupamba?Hvy Na Bado Atabakwa Sana Kama Hatobadilika Mwenendo Wake.Jitu Zima Linakaka Zake Baba Yake Linaweka Picha Za Uchi Mtandaoni Sijui Ndg Na Wazazi Wake Wapo Hai Kweli?

    ReplyDelete
  14. Tena Msiishie Kulibaka Tu Bali Hata Kulifira Lifireni Haswa Maana Halina Thamani Tena Katika Jamii,kwanza Taahira Gani Atakayelioa?

    ReplyDelete
  15. Ni ujinga usio na fikra na ni upumbavu wenye ufinyu mkubwa wa mawazo.Hivi huyu Flora anafikiri ni sifa sana kuonekana amebakwa ili khari picha zake tu za utupu tu hazivutii hata kidogo.Usenge mtupu yeye ndie alimtaka akachomolewa.

    ReplyDelete
  16. Flora ni malaya na si chochote,Lema hawezi fanya huo ujinga kwa changudoa kama Flora anayependa kukaa uchi wakati wote.Atakuwa alichomolewa tu,na kuamua kumchafua The Man of Politicians(LEMA)

    ReplyDelete
  17. Flora umeliwa sana tigo na mhariri wa gazeti moja la udaku anayetokea mkoa wa tanga.Ukiendelea na upuuzi wako nitazitoa mtandaoni zile picha zenu za nusu uchi mlizopiga kigamboni,ukakataa kuzilipia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau itapendeza uxitoe hixo picha,malipo yapo.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad