BATULI AWADISS WAIGIZAJI NA MASHABIKI WANAO POST MATUSI MITANDAONI

Mwigizaji Yobnesh Yussuph maarufu kama batuli ameamua kuwatolea uvivu waigizaji wanaoandika matusi kwenye mitandao na kuwaambia kuwa badala ya wao kupoteza muda huo kutukana matusi makali kwenye mtandao wangetumia muda huo kufanya Ibada ili wakifa waende peponi kwa Amani ambako wangeweza kupajaza mpaka wengine wakose viti.

“…Ule muda watu wanaoutumia kuandika naneno makali (MATUSI) kwenye instagram (Mtandao wa kijamii) wangekuwa wanautumia kwa ibada peponi kungejaa..” Alisema batuli.

Huku ikiwa bado haijajulikana anamlenga nani moja kwa moja na ujumbe huo baadhi ya wachunguzi wa mambo wamehusisha kauli hiyo na kitendo kilichotokea juzi cha mwanadada wa bongomovies kuporomosha matusi makali sana kwenye mtandao huo maarufu wa kijamii nchini.

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio hao tu bongo muvi hata mtu anacomment badala ya kukoment kilichoandikwa anatukana tu. Mie sielew watanzania tuna matatizo gani mbona kenya hawako hivyo. Hivi hili tusi la kutukana mama za watu ndio waliokosa. Mtukane muhusika kama jinsia yake si kila kitu kinaitwa wee k**m si tabia nzuri jaman. Mama zetu wamekosa kutuzaa. Tunajilaan kutokana na midomo yetu michafu..

    ReplyDelete
    Replies
    1. sheria zingefatwa wala tusingeweza kuthubutu kutukana hata mitandaoni

      Delete
  2. We nawe kwa kumchokonoa uwoya sijui kakufanya nini looh....huna nyota jikubal huwez kumfia uwoya looh muache mtoto wa watu alaleee

    ReplyDelete
  3. Huyo uwoya ana nyota gani? Ya kuachika,kufumaniwa,kupiga picha za uchi,ovyoooooooooooooooo batuli katulia sana,na laiti km wasanii wa kike wangekua km yeye,hii industry ingeheshimika.

    ReplyDelete
  4. huyu dada ataka umaarufu kwa nguvu, shida yake ni kuongelewa na yeye, si alimsingizia irene kamroga ili aandikwe kwenye magazeti

    ReplyDelete
  5. mmmh! zijimambo hayo #Jikubali

    ReplyDelete
  6. Nenda mkapige punyeto na hyo batuli wako.......pamoja na sifa unazompa anachokera ni kutaka umaarufu kwa nguvu tu afu kwa kuwasema wenzie....sijui likoje hili....hakuna msafichin ya jua we mwenyw ushafumaniwa mara ngapi huko kwenu kitumbile

    ReplyDelete
  7. Hana lolote huyo,mbona naye kiluka njia tu,anahudhuria ibada mara ngapi?

    ReplyDelete
  8. Kasema ukweli mnamdis nin sasa

    ReplyDelete
  9. Huyo uwoyo alitukanwa na fans sasa uwoya katupia mitusi mikali instead ya uwoya kunyamaza juu wale ni fans walimdhalilisha vibaya mno ata niaibu. Mbona celebrities wa nnje wanatukanwa wakosolewa mavazi mida mwengine wasifiwa mbona hawajibizani na fans kwenye mitandao. Mscheeeeeee

    ReplyDelete
  10. UNATUMIA MKOROGO AU? UMEKUARIBU UTAPATA KANSA

    ReplyDelete
  11. Ila kweli mama umejikoboa hadi inasikitisha.penda ngozi yako

    ReplyDelete
  12. Mshamba tu, mbaka leo hii anapiga picha studio, kaahhh

    ReplyDelete
  13. We batuli acha usenge, we jikubali kwamba nyota huna ya kuigiza wala ya kuolewa. Bora uwoya nyota yake inang'aa japo kaachika, ww unanyota ya picha ya kuku, anyi wala akojoi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad