BIBI ADONDOKA KICHAWI KINYEREZI LEO BAADA YA WENZAKE KUMUACHA CHEKI PICHA ZAKE HAPA.
9
November 03, 2013
Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha.Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na RAIA.
Tags
I never believe this things
ReplyDeletemshukuru sana mungu hajakupa mtihani wa hawa wachawi siku ukipata mtihani huu utaamini tu, mbona uchawi ulishushwa toka enzi za nabii musa believe me or not but uchawi upo na wachawi pia wapo japokuwa hatutakiwi kuamini
Deletewhy can'nt they kill her
ReplyDeleteMmmmmmmh uzeee unamsumbua
ReplyDeleteKwani alikua uchu? Jamani labda anaumwa aio mchawi. Haana memory
ReplyDeleteWachawi muogope mungu wenu kwan mnamkacrisha kwa uchawi wenu
ReplyDeleteEEENYI KIZAZI CHAKONDOO,MUOGOPENI MUNGU.
ReplyDeleteBibi umekosea kutia gia bana unaingiza gia bila ya kukanyaga klachi hayo ndio matokeo yake sasa rudi shule ukajifunze kurusha mchuma
ReplyDeleteNi ajali tu labda safari ilikuwa ndefu sana. Mbona mabasi ya abiria wakati fulani huanguka?
ReplyDelete