BINTI ALIYE DAIWA KUVUNJA NDOA YA BOB JUNIOR AKANUSHA NA KUSEMA HAYA

Baada ya Blogs na Magazeti Kumwandika sana Ashley Toto  Mwanadada Kutoka Kenya Kuhusika na Kuvunjika kwa ndoa ya Bob Junior Amejitokeza na Kuandika haya kwenye Wall yake ya Facebook
"****JAMANI NIMECHOKA NA SKEDOLS ZA UONGO ILA NAAMINI HII NI MITIHANI NA INSHAALLAH YATAISHA***I HAVE NOTHING TO DO WITH HIM...." 

Tuliamua kumtafuta na kuongea nae na kusema kwa masikitiko kuwa Hana uhusiano wa kimapenzi na Bob Junior Bali wao ni marafiki tu wa Muda mrefu..Pia akasema huwa anamtafutia Show Sehemu mbali mbali ikiwemo Ujerumani anapoishi ..... So anasema amechoka kuandikwa kuhusu Bob Junior

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh!mbona huyo xwife wake mzuri kuliko hii kinyagooo.ni kweli lkn ?

    ReplyDelete
  2. Sasa hii chokora jamani wapi na wapi na mke wa bob? Sura hana ,,, mwili ndio huo pande la nguruwe ,,, huyu kinyago ni mamake mtu anaye tafuta jina bongo kwenda zako Malaya huna hata haya na heshima,, kama umechoka na wazungu tomba plastiki sio kubabaika na mastar wa bongo mshamba wewe usiokuwa na hela za kwenda saloon na shopping ... mweu tu

    ReplyDelete
  3. nadhani kuna mtu anamchukia huyu dada sio bure kuna mtu ana bifu nay ktk hii blog anyemfatilia sana sioni ubaya wa huyu dad nasema kwa sura sijui tabia yake lakina jamaa anavyomponda duh mimimsipo taaye

    ReplyDelete
  4. Embu 2jadili mambo ya msingi huu ni upuuzi uliovuka mipaka.

    ReplyDelete
  5. Mbona siyo mzuri kama nilivyokuwa nikiamnishwa

    ReplyDelete
  6. bob Junior kaacha mke mzuri na mtoto kisa hili gume gume

    ReplyDelete
  7. amtafutie show ujerumani wapi mwenyewe anashi kama chokolaa bila makalatasi maisha duni kama mkimbizi uko kwao,acha kujishaua bidada ulaya ishakushinda huna makalatasi si urudi kwenu kenya kwani umefukuzwa uko?nini kubanana kwenye viappartment ulaya kama chokolaa bila mnufaa mana hata insurance huna unaishi kama chokoraa tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad