Wafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine.
Mitaa yote ya Kariakoo, Msimbazi, Uhuru, Lumumba, Aggrey, Mchikichi, Narung'ombe, Tandamti, Congo, kote maduka yamefungwa baada ya kutangaziwa na umoja wa wafanyabiasha.
Wafanyabishara wanapinga bei kubwa ya mashine ambayo ni milioni moja mpaka lakini nane.
BREAKING NEWS: WAFANYABIASHARA WENYE MADUKA KARIAKOO WAGOMA KUFUNGUA MADUKA
17
November 18, 2013
Tags
majanga
ReplyDeletehizo mashine itakua bashara ya mkubwa flani,wanataka kufoc watu da way walivyofoc kwenye ving'amuz especial star***z mwisho wa cku mikoani wanatizama chanel 2 tu!kwan ss watanzania wenzenu mnatuchukuliaje?
ReplyDeleteSwala si bei kubwa ya mashine, zinawabana wananchi kwa kila nyanja! Kwanza wamalize ufisadi then ndo hz mashine zije..wao wanamaisha mazuri hakuna aliyewabana wakati wanazipata sasa wamepeta ndo wanaona wenzao wasipate
ReplyDeleteUNAJUWA MATIZO YA KODI NCHI HII MAWILI [1] MAKUSANYO MABOVU YAKODI [2] MATUMIZI MABAYA YA KODI WANAKULA BILA YA KUNAWA MIKONO ada ya mja kunena muungwana kitendo
ReplyDeletevwamesha banwa kwenye biashara ya unga na pembe za ndovu wanakuja mbiyo kwa wafanyabiashara wamesha zoweya kula kiuraini angalieni wakimaliza la mashine watasema wafanyabiashara washone yunfom eeeh si wanataka mchango wa kuludi madalakani 2015
ReplyDeleteserikali,mmezidi na hizo kodi zenu mnakaba mpaka penalt au mnataka wote tuuze sembe?
ReplyDeleteh ndo tanzania
ReplyDeleteOya kazeni kamba kama vitu tutanunua mitumbani
ReplyDeletelipeni kodi hacheni vizingizio nyie ndio wakwepaji namba moja pumbavu!
ReplyDeletekwa nchi zilizoendelea mfanyabiashara yoyote lazima awe na hiyo mashine. Kwa nchi kama Spain hata ukinunua sahani ya chakula lazima ulipe kodi. Hakuna jinsi tz inaweza kuendelea kama watu hawalipi kodi
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletewe mdau unasema walipe kodi ndo wakwepaji utakufa maskini wewe kwanza unaishu fala tu wewe..srikali imezidi ilo contena la pembe za ndovu likowapi?story story then juuu kwa juu litapotea.haya twende hiyo mashine wachina wametuona sisi mabwege sio..too much warudi kwao..ivi watanzania mnajua mnapoelekea ama?subiria 10years ndo utajua mtoto wako anaelekea wapi..atakuuua ata wewe dingi yake..lets wait matokeo..labda next year ndo iwe mwisho wa dunia.
ReplyDeleteamfikirii wabongo..wachina ndo wame introduce that fcken machine...wakatengeneze maroboti yao uko kwao yakapigane afganistani na iraq sio hapa kwetu kutuletea maroboti ya kusoma issue zetu na serikali inaingia mkenge....yani tunapoelekea kweli nakubaliana na mdau hapo juu bora hizi month zilizobaki ziishe thn dunia iwe ndo mwisho tumechoka..tuone nyie mafisadi na wachina mali zitaenda wapi?UFUNUO umetimia tulia uwone..haya manyanyaso serous too much...
ReplyDeleteoya we mdau hapo juu nenda kaishi spain..kama uwezi toa comment yenye maana ni bora unyamaze.mtoto gani wa mkubwa analipa kodi?ishi uko uko na wala usije bongo..mpuuzi kweli wewe?kispanyola unakijua nikuongeleshe tena wewe ndo sio mlipa kodi..think twice mzee,tofautisha developed country na nchi ambayo sio developed..ndo tunanusa kuelekekea huko..kaa uko uko spain narudia usije bongo jiji la wabishi
ReplyDelete