DENTI WA KAPUYA AZUA JIPYA-GLOBAL PUBLISHERS WAZIDI KUMBANA

Na Waandishi Wetu
Global Publishers Ltd ilipoamua kufuatilia sakata la denti anayedai kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Juma Athuman Kapuya, lilijua yapo mengi yatajitokeza, Amani lina jipya lingine.
Denti akiwasikiliza wana GPL wakati wa mahojiano
                                       Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Profesa Juma Athuman Kapuya.
Huu ni muendelezo wa utekelezaji wa ahadi ya Global, iliyotoa Jumamosi iliyopita kwenye Gazeti la Risasi kwamba waandishi wake watafuatilia kisha magazeti yake yataandika kila kitu. Katika Ijumaa Wikienda, Kapuya alifunguka, Uwazi liliandika utapeli mzima wa denti husika.
Amani linalo jipya la denti huyo tapeli, Halima Hamad au Felista, aliyeamua kufunguka mbele ya waandishi wetu kwamba ni kweli yeye ni mama wa mtoto mmoja.
Denti akiwasikiliza wana GPL wakati wa mahojiano.
Kuhusu kubakwa, Felista ambaye pia hutumia majina ya Leylat au Leila, alisema: “Kapuya hakunibaka ila nimezaa naye mtoto mmoja.”
                                                 Denti akiwa busy na simu yake wakati wa mahojiano na GPL..
ILIKUWAJE AKAFUNGUKA?
Timu ya waandishi wa habari wa Global Publishers hutekeleza majukumu yake kisayansi, baada ya kurukaruka sana, Felista akidai hahusiki na skandali hiyo na kwamba yeye ni shahidi tu wa mtu anayeitwa Leylat, hatimaye alibanwa kwa maswali magumu, akajikuta akisema ambayo hakuyapanga.
MWANDISHI:  Hizi namba 0753 7…7…28 na 0713 7...20…0 (tarakimu mbilimbili zimefichwa), ni za nani?
FELISTA: Ni namba zangu.
MWANDISHI: Hizi namba ndizo ambazo Kapuya ametutumia  kwamba ndiyo za mtu ambaye huwasiliana naye na humtumia pesa, na ndiye anayejidai ni denti aliyebakwa na kuambukizwa naye Ukimwi.
FELISTA: Siyo kweli, huyo Kapuya anatafuta njia za kujinasua kwenye hili tatizo lake. Anajua mimi namjua Leylat ambaye ndiye denti aliyebakwa.
MWANDISHI: Wewe unaitwa nani?
FELISTA: Naitwa Felista.
MWANDISHI: Unamjua Halima Hamad?
FELISTA: Halima Hamad simjui.
MWANDISHI: Kapuya kasema denti anayedai kubakwa anaitwa Halima Hamad na ndiye mwenye hizo namba ambazo wewe unakiri ni zako.
FELISTA: Nimesema simjui Halima, mimi naitwa Felista. Aliyebakwa ni Leylat, siyo mimi.
                                                              Denti akiwasikiliza wana GPL wakati wa mahojiano

AKUMBUSHWA ALIYOSAHAU
Miaka ya nyuma Felista akitumia mwavuli wa uyatima, aliwahi kuomba hifadhi kwa mmoja wa waandishi wetu wa kike, aliyeishi naye kwa muda mrefu kidogo nyumbani kwake kabla ya kumgundua kwamba ni tapeli, hivyo kuamua kuachana naye.
MWANDISHI: Wewe Felista umesahau kwamba umeshawahi kukaa nyumbani kwangu na kipindi hicho chote, ulikuwa ukiniletea ripoti za shule zenye jina la Halima Humudy. Vilevile ulishawahi kutolewa kwenye gazeti moja la kila siku (halizalishwi na Global), ukiomba msaada kwamba wewe ni yatima, jina ulilotumia ni hilohilo la Halima Humudy.
Hizohizo namba zako, usajili wake wa laini na katika Tigopesa zimesajiliwa kwa jina la Halima Hamad. Haya kataa mbele ya macho yangu!
FELISTA: …. (kimya).
MWANDISHI: Wewe siyo Halima, sema nikusikie.
FELISTA: Ni kweli, Halima Hamad ni mimi, ila hilo jina silitumii sana.
MWANDISHI: Haya sasa, baada ya kukiri Halima Hamad ni wewe, unaweza kutuambia ukweli kuwa wewe ndiye huyo Leylat au Leila unayemtaja.
FELISTA: (Kwa sauti ya chini iliyopoteza ujasiri), ni kweli mimi ndiye mhusika.
MWANDISHI: Sasa kwa nini ulikuwa unakataa?
FELISTA: Nilikuwa sipendi ninyi Global mjue.
MWANDISHI: Haya tuambie ukweli sasa kuhusu wewe na Kapuya.
FELISTA: Nimezaa naye mtoto mmoja.
MWANDISHI: Mbona unatubabaisha? Mara alikubaka, mara umezaa naye mtoto mmoja, ukweli ni upi?
FELISTA: Ukweli ni kwamba yeye ndiye baba wa mtoto wangu.
MWANDISHI: Wewe hujazaa na Kapuya, huu nao ni utapeli mwingine.
FELISTA: Kama hamtaki basi.
MWANDISHI: Kama ni kweli yule ni mzazi mwenzako, mbona unaamua kumchafua na unataka kumharibia maisha yake?
FELISTA: Amekataa kunihudumia ndiyo maana namchafua.
MWANDISHI: Unafikiri hii vita mwisho wake ni nini?
FELISTA: Atakapoanza tena kunihudumia.
MWANDISHI: Haya turudi kwenye pointi ya Ukimwi, kwa nini unamshushia madai mazito kiasi hicho?
FELISTA: Ni kweli nina Ukimwi.
MWANDISHI: Na mtoto wako naye ni mzima?
FELISTA: Mtoto naye ni mgonjwa.
MWANDISHI: Unatumia dawa?
FELISTA: Bado sijaanza kutumia dawa, CD4 zangu bado zipo vizuri.
MWANDISHI: Mbona ulisema mwanzoni kwamba unatumia dawa?
FELISTA: Ni kweli natumia dawa.
MWANDISHI: Mbona unatuchanganya? Mara hutumii dawa, mara unatumia dawa, sasa hivi umesema CD4 zako zipo vizuri.
FELISTA: Nimekwambia natumia dawa. Hata kama CD4 zangu zipo vizuri, natumia dawa hivyohivyo.
MWANDISHI:  Katika maisha yako yote umewahi kupata matatizo ya akili? Maana naona kama haupo sawa.
FELISTA: Mimi ni mzima kabisa. Mtaniona kama ni mzima siku nitakaposimama na Kapuya mahakamani.
MWANDISHI: Wewe Felista umewahi kudanganya unasoma Turiani Sekondari, Mugabe Sekondari na Jangwani Sekondari kumbe ni uongo mtupu.
FELISTA: Nimesoma Turiani tu, sijawahi kusoma Mugabe wala Jangwani.
MWANDISHI: Nimeshawahi kukuona umevaa sare za Jangwani, leo unabisha? Na uliniambia unasoma huko.
FELISTA: Siyo kweli.
MWANDISHI: Kwa nini uliwatapeli Dk. Kimei na Mama Salma Kikwete?
FELISTA: Kuhusu Kimei ni uongo, Mama Salma ni watu walitaka kuniharibia, nikapelekwa Segerea lakini nilitoka.
MWANDISHI: Ilikuwaje ukamtapeli Mama Salma kuwa wewe ni yatima?
FELISTA: Nilitaka nipate nafasi ya kusoma Mkuranga, sasa ili nipate nafasi kule ilibidi nionekane nasoma Jangwani, kwa hiyo nilitengeneza nyaraka zinazoonesha nasoma Jangwani ndiyo baadaye ikaonekana nimefanya utapeli.
MWANDISHI: Umeona sasa? Mwanzoni ulikataa kuhusu kujidai unasoma Jangwani, sasa hivi unakiri. Haya sasa twende tukapime Ukimwi.
FELISTA: Sipimi.
MWANDISHI: Sisi tunaamini hauna Ukimwi. Hata mwanzoni ulishatuthibitishia kuwa ulishapima na upo salama. Kama una uhakika wewe ni mwathirika basi twende tukapime.
FELISTA: Sipimi nimesema.

NI SKANDALI LA VIGOGO
Katika mahojiano hayo, Amani limeweza kubaini kuwa wapo wanasiasa kadhaa ambao wapo nyuma ya Felista na ndiyo wanaompa kampani kwenye harakati zake za kumchafua Kapuya.
Mmoja wa wabunge wa Mkoa wa Tabora (CCM), sauti yake imenaswa mara mbili kwenye simu ya Felista, ya kwanza akimuelekeza binti huyo: “Njoo Dodoma, nitakuitia waandishi wa habari, ufanye mkutano nao uwamwagie kila kitu.”
Sauti nyingine ya mbunge huyo, inasikika ikihoji: “Nimesikia Kapuya anatangaza wewe una watoto wawili, ni kweli?” Felista anasikika akipinga na kusema hana mtoto hata mmoja.
Wapo wanasiasa wengine ambao wamebainika kumuunga mkono Felista, hivyo kuzidi kulifanya ‘saga’ hilo lionekane la kisiasa zaidi.

ENDELEA KUKAA CHONJO
Magazeti ya Global Publishers, bado yapo kazini. Yanaendelea kuchimba na baadaye yataweka wazi majina ya wanasiasa hao ambao wanamsapoti Felista.
Source:Global Publishers

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi na nyie watu wazima nanyi mmekosa kazi za kufanya na kumshupalia huyu binti teenager? kuna madaraja yanatakiwa kujengwa tunasubiri habari, kuna barabara zinajengwa tuleteeni habari, kuna walimu hawafundishi madarasani watoto wetu wanafeli hamuendi kuwahoji, kumanina zenu mnachojifanya nyinyi ni malawyer wa kuhoji watoto wa miaka 17 maswali nini? toundoleeni aibu zenu mmeshakula pesa za Kapuya wakubwa wazima hata aibu hamuna kama hamna cha kuandika njooni muoshe vyombo na kudeki nyumba yangu mtapata cha kuandika pumbavu

    ReplyDelete
    Replies
    1. well said anoy lione hilo limama lenye miwani umeshupaa kumkandamiza mtoto wa mwanamke mwenzako kenge wewe hivi una watoto wewe? akili sifuri

      Delete
    2. Maskini nyieee kwel akili ni nywele kila mtu anazake! kwa akili zenu hata mkionyeshwa ng'ombe mkaambiwa huyu ni ng'ombe mtabisha mtasema ni punda! lol..

      Delete
  2. nyie global publisher katoto kadogo kanawapelekesha kiasi hiki? hapo tu hakana degree kaiwa na degree si katawala nyama kutokana na kua ameshawashinda nyie wasomi waandishi kumkomesha mumlipie chuo akasome mtoto anapotential sana kama amewapelekesha mawaziri wabunge na sasa waandishi binti ni Smart kuliko nyie endelezeni kipaji chake atafika mbali sana

    ReplyDelete
  3. GPL mamayo zenu,mbna mnamshupalia dgo,munamuuliza vtu ambvyo hata havijui,mnamuuliza maswal mfululizo mpka mnamchnganya,pnye ukwel uongo hujtnga,nyie wasnge mmekula ela za kapuya na mtaenda kujibu kwa Mungu wasenge nyny

    ReplyDelete
  4. Ni dhahili mmekula pesa na mnaogopa kushitakiwa na mh.k, nyie sio mahakama ni waandishi u**alwa 2

    ReplyDelete
  5. mi naona nyie waandishi hamna cha kuandika....maanina zenu

    ReplyDelete
  6. When you looked at it., KAPUYA is a RAPIST refers to the CAPACITY of the VICTIM to express herself in relation to AWARENESS, KNOWLEDGE, and UNDERSTANDING. KAPUYA even FAILS to inform the VICTIM that he is H.I.V Positive presuming that to tell the VICTIM will deprive her of the opportunity to give real consent. To return to the Central Point, KAPUYA is GUILTY of RAPE. The circumstances indicates that KAPUYA did the act of SEXUAL INTERCOURSE without the VICTIM consent. He KAPUYA did for his own gratification and he KAPUYA should be punished by a MAXIMUM SENTENCE of LIFE IMPRISONMENT as of ASSAULT by PENETRATION.

    ReplyDelete
  7. hivi hawa wandishi wameisha tuona sis watanzania wajiga nyinyi mmeisha pewa hela na huyo kichaa watabora harafu mnakuja kuturisha ujinga wenu. wajaa zenu zitawapereka kubaya hata wanenu watabakwa harafu mtapewa vicent

    ReplyDelete
  8. By the way the SEXUAL ASSAULT/OFFENCE in which KAPUYA committed is very, very SERIOUS. The consequences following an ASSAULT he KAPUYA committed as a RAPIST, means he will be a SUBJECT NOT ONLY to the MAXIMUM of LIFE IMPRISONMENT, but also to NOTIFICATION REQUIREMENTS as a SEX OFFENDER.

    ReplyDelete
  9. We only BLAME those who are responsible for their actions. KAPUYA have control over his ACTIONS and for some reasons he CHOOSED to commit a CRIME. The process involving knowing or realising that a consequence could occur or that a circumstance could exist. He KAPUYA deliberately committed CRIME and He DESERVES to be LABELLED and PUNISHED as a CRIMINAL/RAPIST.

    ReplyDelete
  10. Shigongo mnafiki sana sana na anawalisha wa tanzania sumuu na ni mchumia tumbo.
    Huyu binti ni kweli kapuya atakuwa alimfanyia yale ayasemayo. Na ni kwanini wame expose picha yake wakati hairuhusiwi kwa victim picha yake kuwekwa wazi. Nina hakika Global wamepewa ela na watanzania wengi wanavyoamini haya magazeti uudaku wataamini hii story.
    I hate shigongo

    ReplyDelete
  11. kapuya kawapa hela wasenge nyie mnafanyie harasment mtoto wa watu..ashole

    ReplyDelete
  12. hii habari nishachoka nayo, haujulikani ukweli wala uongo ni upi shwain nyinyi

    ReplyDelete
  13. Kweli ata Global matapeli mmeisha kuwa mahakama, MUNGU ibaliki Tanzania

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad