DIAMOND ‘AHENYESHWA’ NA MISIBA YA WAKWE ZAKE

Na Musa Mateja
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameendelea ‘kuhenyeshwa’ na misiba ya wakwe zake kufuatia mchumba wake wa sasa, Penniel Mungilwa ‘Penny’ kufiwa na baba yake mdogo, Boniface Mungilwa.

Msiba wa marehemu huyo ulikuwa Magomeni jijini Dar na alizikwa Jumatatu iliyopita. Diamond alifika msibani hapo na kujumuika na waombolezaji wengine.

Hivi karibuni, Diamond alifiwa na ‘baba mkwe’ wake mwingine, mzee Isaac Abraham Sepetu ambaye ni baba mzazi wa mpenzi wake, Wema Sepetu mazishi yalifanyika Zanzibar ambapo pia Diamond alihudhuria.
GPL

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwahiyo Diamond ama mchumba Penny na mpenzi Wema? Hii nooma. Sasa mke ni nani!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukitaka kujua mwanaume malaya ufiwe au afiwe au aumwe

      Delete
  2. Gud boy.....umetenda jema,hujabagua kabisa...penny usione diamond alivyokuja kujumuika na wewe ndo uanze kujirudisha rudisha!! Bt pole kwa mcba

    ReplyDelete
  3. MBONA MMENG'ANG'ANIA PICHA MSIBA WA BABA WEMA TU MBONA MSIBA WA BABA PENNY HAMJAWEKA.

    ReplyDelete
  4. dah! pole sana Wema na Penny. chaguo lako Diamond

    ReplyDelete
  5. kazi kwelikweli hivi huyo Diomond haoni aibu anajaza magazeti tu

    ReplyDelete
  6. Sasa mmefikia pabaya tafuteni mambo ya msingi ya kutuambia,kwenda kwenye msiba pia ni kuhenyeshwa hii kali#wiseup#

    ReplyDelete
  7. Wema oyeeee!!!!

    ReplyDelete
  8. Fuck u!mwenye blog hii

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad