Rubber band for what, Money is tied by Money #USD #Gold #Valuables #WCB for Life mama,” ameandika Diamond kwenye picha inayoonesha ‘burungutu’ kubwa la noti za 100 za dola ya Marekani zilizozungushiwa na cheni ya dhahabu.
Money rules everything around us, need we say more?
Source: Bongo5
DIAMOND AONYEESHA JEURI YA PESA, CHEKI ALICHOKIFANYA HAPA
25
November 09, 2013
Tags
jamani mwacheni mtoto watu apumue! kila kitu diamond hamuwezi kuandika kitu kingene? zaidi ya diamond mwacheni ai enjoy jasho lake na pia ujana wake, yeye kuwa star umekuwa tabu?
ReplyDeleteKweli Mtu Kama hujazaliwa navyo inakuwa Karaha kwa taifa
DeleteKama kile kimkomao ki catherine nacho kishamba kuonyesha ig hela e hela wakati kimepanga rum moja mxiii
Deletemh haya,wacha c tusubil kufa kwaja,hongera wewe hutokufa masikini
ReplyDeleteHakunaga issue za maana za kuandika nyie wasenge k.....zenu,huyo ni diamond,mbona msionyeshe uso wake,na pili pesa zake zinatuhusu nini acheni usenge hamjui muandike k2 gani mmeishiwa akili tena akili zenyewe za kukopa
ReplyDeleteHuyu mwenye blog hii k kweli bana. sasa hio nayo ni habari dola hata mfukoni hazijai hizo unafanya habari. Muulize Chenge mzee wa visenti anangapi nadhani utaharisha umesimama ww. Hizo unaonesha hata benz mpya hazinunui
DeletePumbfu punda nyie
ReplyDeleteNingemkubali kama angeonyesha jumba la kifalme kama lile la mh.wiliam Lukuvi,aangalie asije kuishia kulalama etipesa zimeisha.
ReplyDeleteFree mason hawaishiwagi,Huyu si mr nice ni diamond banaaa!
DeleteHuyo daimond mshamba sana pesa gani hizo zakutonyesha tumbabaikie nikisha muina ana bonga la crib different cars ndani ya compoud yake tena migari yakifahari ndio nitajuwa his rich.wenzie marekani watuonyesha jeuri ya hela kufanya kama toilet paper.
Deletehongera yake
ReplyDeleteDiamond huyuhuyu tumjuae Tanzania ama mwengine????? Ckumbuki kumuona na tatoo au nna malyenge.
ReplyDeleteHuu sio yeye hana tatoo za ku China kwenye mkono
ReplyDeleteMipuuzi Kama k,hizo tatoo kachora alivyokuwa china.juzi juzi
DeleteOnyesha sura yake.msitudanganye sisi Si wapumbavu
ReplyDeleteWabongo mwapenda kumshobokea daimond mwamuona tajiri sana na vijisenti hivyo.hehehe na matajiri tuwaiteje. Lmao
ReplyDeletePenny, kaula
ReplyDeletehuyu ni diamond amepost jana tu hiyo picha istaglam en he iz broda romy nae alipost em jiungeni na mitandao mingine muujue ukweli
ReplyDeleteKumbuka kuna wa2 kama Mike Iron Tyson alikuwa anazo lakini cku moja zote zikapotea SASA ndugu yangu akili mukichwa.
ReplyDeleteHaya bwana mkubwa tumeona matuci yako basi peleka kigoma zikawasaidie ndugu zako
ReplyDeleteDuuh jamaa bonge la mshamba.
ReplyDeleteAlikotoka ni mbali ngoja ajitunishe
ReplyDeleteakiona matuc waliyoyaonyesha p square ya nyumba yao atafuta hako kapicha kake fala hy.. kijichen ndo kinamchanganya hvy . . kwel mackin 2nambwembwe
ReplyDeletekwanza hata sio yeye, ni mafala wachache tu wanaomshobokea kwa kupaste picha za wanaume wenye noti zao. Hawa kwa lugha rahisi tuwaite ni Was..#@ge tu!
ReplyDeleteMxcheeeew!!!! Limbukeni wa umaarufu malaya mkubwa huyo..haya ile midada miuza kuma mkoapii!? Fwateni mihela hiyo mkaliwe kiboga heheheee
ReplyDelete