Lakini leo Platnumz ameamsha upya mashambulizi mengine ambayo safari hii yanatokea kwa wabongo, baada ya kupost picha yake akiwa na vazi ambalo limekuwa gumzo kuanzia kwa wanaijeria waliomponda kwa kusema amechemka. Lakini picha ya leo imechanganywa na picha mbili za mastaa wa Marekani, kushoto Wiz Khalifa na kulia mchezaji wa Basketball wa timu ya Miami Heat Dwyane Wade, na sio kwamba ameweka picha zao tu bali picha zao wakiwa na mavazi ya suruali fupi ‘njiwa’ kama aliyovaa yeye.
Huenda alitarajia kuwa ‘prove wrong’ wote waliomsulubu kwa kumwambia amechemka, kwa kuwaonesha kuwa hata mastaa wakubwa huvaa hivyo, lakini hiki ndicho alichoambulia kutoka kwa followers wake wa Instagram:
[ @ ] kagebby: Hahahahahahahahaha……….daimond am sorryyy dear..bt smtyms u have to accept that u a wrong….what ever u do to justfy the situation makes it worse…..tunakubali talent yako bt….sorry dear UMECHEMKA MBAYAA….SO FANYA KAMA UNASAHAU HIVI HYO SURUALI YAKO KAMA YA JOKER AU CLOWN…..THEN TO MOVE FORWARD AU SIO..MKALI.
[ @ ] mwatumu37: Diamond yani bora ungekaa kimya sasa hapo ndio umetibua kabisa! yani Huyu @realsarahcrystal amekudanganya hatujasema sio fashion kwanza kabisa sio kila stely enaendana na mwili wa mtu pili inatengemea ni wapi wewe ulienda culture wedding ungepaswa uvae kitamaduni zaidi nadhani uliona wanainger walivyo vaa acheni kumtia diamond kichwa nguo aliyovaa haiendani na shuguli soma comment kwa iyanya wanainger wamesemaje.tukubali kukosolewa
[ @ ] wildromann: Wiz n wade wote waliekwa fashion police tht hawajapendeza so usijipe moyo that u look like them NO
[ @ ] university_tz: now i can see how blind yu are @diamondplatnumz ! how stupid yu are bwana mdogo!…toa izo goggles zako feki aungalie the difference btn yu and’em….tunajua hiyo outfit ina exist ktk real world…bt not the way yu did…hao majamaa wamepiga suti za bei hatar hatar, yaan iyo style imeendana na uzur na bei ya suti zao! nw look at urself! angalia iyo shati ya tetroni uliyovaa! surual last time nimemuona nayo wema sepetu iyo! cheki na izo ngwasuma zako za manzese! shame on yu! swallow ur pride bitch and accept apo umebumaaa star wa tandaleee!!
[ @ ] zushali: @diamondplatnumz fashion police. U need a stylist for real to dress u according to the occasion sio kutuvalia Michael jackson style wakati una masculine body
[ @ ] sazaf: @diamondplatnumz naona ndugu yangu unakoenda kubaya inapnesha hujui tofauti alichovaa #wizkhalifa na alichovaa #waynewade kijana ni tofauti na huo mcharuko uliovaa wewe hebu angalia tofauti kijana usiwe msanii wa kucopy style za watu ww ni msaani wa tz wakilisha tz dah wao wamevaa suit bora na ww hio dnt touch ungevaa na suit kijana jiangalie sana ok
[ @ ] mwatumu37: Sikiliza mkasi @iamsheriangowi alivyosema omba ushauri kwake wa mavazi namkubali sana huyu jamaa wewe ni msani mkubwa uwe unakubali kukosolewa sisi Hatukuchukii wanao kumchukia ndio hao wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
[ @ ] kipereto unajuwa @diamondplatnumz tatizo sio nguo hiyo fashion yako ungesubiri siku nyingine sio harusi ya mtu ndio uvae hiyo then sio watanzania peke yao hata uko naija wamekusema vile vile angalia blog za naija.sisi wabongo tuna tabia hata kama myu amekosea hatuwezi kumwambia ukweli sijuwi kwanini mwambieni mtu ukweli ili abadilike na sio kumpa sifa za kijinga juzi kavaa hivyoo je akipata bahati ya kwenda obama si atavaa chupi.nakwanini mtu akisema ukweli mnasema chuki ,wivu sijui fitina halafu kumbe unasemanga comment za watu ok basi sawaaaaaa
[ @ ] 55_star: Nimeipenda fashion yako@diamondplatnumz lkn msema kweli ni mpnz wa mungu kwakweli hujapendezaa kabisaaa c lzm kila kitu tuige jipange tena bro next time vaa kinachoendana na mwili wako.ila big up kwa kazi zako.
[ @ ] evaristnyororo: Bora umewaonyesha wabongo maana nchi mzima ilipinga ulivovaa kwenye wedding,halllaaa wasaf
[ @ ] jaka_reynolds: Ile it was traditional wedding,so alitakiwa kuvaa accordingly,sio kuvaa iyo skin tyt ya wema.
[ @ ] 1989naa: @teddykaegele i dnt knw more abt fashion ila mmmmmh ,,,not hate …4 me , big No,,,hata fashion inaenda na sehemu husika,,yes ts fashion ila cna uhakika na uvaaji huu…katika tukio km hilo pia co kila fashion inampendeza mtu..nyingine ukiona hazikutoi sexy una acha,,sina uhakika kama D alipendeza,cmchukii jus maoni yng tu
[ @ ] bongosuper: I dont care abt that fashion ni hukupendeza afu haikuendana na diamond
[ @ ] classychristianline :Hapana@diamondplatnums style hiyo ungevaa koti nawe ndo hapo sawa!
[ @ ] michanolive: Unekuwa kama katuni wa masudi kipanya @bongosuper wenzie wapo katika culture wedding et yy kaenda kavaa old school hahahahah mbutaaaaa @diamondplatnumz
[ @ ] anniepeter : Xo lazima kuvaa kama wao kwani kazaliwa kwao? angevaa kama wao mngexema pia. 2badilike jaman hating null lol!
[ @ ] najjimnadir: Hile ilikua traditional wedding, anatakiwa ajue nyakati na matukio sio fashion
[ @ ] cierarockss: Sasa ungevaa Na suit afu hiyo siyo sehemu yake. Kama kwenye ile msiba ndo vazi kidogo LA harusi. Ila sio mbaya uzuri unajiamini kwahiyo ilionekana sawa
[ @ ] melbamesha: Ok Hun I am not going to criticise you because your trying but one thing I know you need to fire️ your stylist and hire a new one ASAP @diamondplatnumz … And the rest of you break a leg.. He is human
[ @ ] saidkitamo: cyo kila fashion itampendeza mtu kiukwel kwa hapa ulichemka vibaya pia ulishindwa kutofautisha nyakat myb kwenye birthday waweza kwenda na hko kivazi lakin kwenye wedding apana hlo ndo tatizo kubwa lilokuangusha kijana next tym kuwa makin coz nilitembelea ata kwA iyanya alipost pic hyo most of zem wamekudiss ww de way ulivyo vaa
source: Bongo5
Kuna mambo mengine tunapenda kuiga mtu utakuja fanya vibaya kwa kuiga mambo ya kijinga....ww kijana kuna mialiko mengine inafaa unavaa smart tu! Acha ufala wa kuvaa vinguo vya kisenge
ReplyDeleteDamn no comment umechemka bwana alumas
ReplyDeletehizo zote ni chuki angevaa ronard mngesifu
ReplyDeleteAcha usenge wewe pa kusifia watu watasifia akivurunda anaambiwa pia, huyo msenge wako lazima ana element za ushoga, atavaaje suruali ya Wema kwenye harusi ya watu wa maana kiasi kile. sometime shule ni muhimu he must be so stupid. hata washabiki wake ni kama wewe hivi akili robo.
DeleteIyo inaonesha marangapi kawa mshamba kupita kiasi na kutaka sifa kuwanawake pale kaona mwenzake kaowa yeye uku kubadili wanawake kama mshamba fulani na urimbukeni
ReplyDeleteHaha kaz ya pen hyo kumvalisha mwenzie km mwanasesere haya kaenda kuwa kituko kwny nchi za watu.....sio kila fashion inaendana na ww jamn.....waachien wenywe na miil yao wavaage....hapa hakuna chuk mbn anapopendeza tunamsifia...hapa na pedopusha kachemkaaa
ReplyDeletekazi ya penny....kwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mama mbavu we! Then mcheki alivyo kama Bulicheka
Deletehahahaha duuuh!!! umeniflaish sana @kibela NI KWAMBA DIAMOND HANA MSHAURI TU. CHAKUFANYA ATAFUTE MSHAULI MZURI HASA KWA UPENDE WA MAVAZI KIUKWELI AMETUAIBISHA KABXAAAAA MMMMH TPUU...!!!!
DeleteYAANI NAHISI NEXT TIME DIAMOND ATAVAA NA LEMBA KABISA
ReplyDeleteumesahau we! Atamiksi na wigi la Wema plus lipstick mdomoni..Wema oyeeeeee mpendezeshe huyo bwabwa Diamond
DeletePenny mfundishe mumtarajiwa kuvaa
ReplyDeleteye mwenyewe peny hajui kuvaa iweje leo amfundishe diomond kuvaa lol
DeleteHuyo pnny mwenyewe kuvaa ni zero ss atamfundishaje huyo domo
ReplyDeleteUmeona pose za miguu za pensel akipiga picha?Ka Za mumewe,halooooo.aolewe tu bodada wa watu,asije kufa Kwa jakamoyo bureeee.
DeleteKiukweli alichemka sanaaa, haikuwa mahala pake au labda alikwenda kufanya show.
ReplyDelete``yani mi nahic hata watu walikua wanaulizana huyu mtu katoka watu jibu ni moja tu TANZANIA katutia aibu watanzania mshamba wa tandale huyu kisuruali ka muokota makopo ama kweli maskini akipata choko mkubwa mi simpendi
ReplyDeleteHyo style huku kwetu uswaz inaitwa sokon kuna maji
ReplyDeleteHaterz mtazungumza sana kuhusu Diamond kila mkipata nafasi na hamtosita kumsema hata afanyeje. Ukiangalia picha za harusi ya Peter Okoye ni wengi tu wamevaa Suti na nguo nyingine za kawaida but jamaa ndio kashaongeza umaarufu wake na hilo ndio muhimu kwake sasa hivi kabla ya kuvaa hivyo nyimbo yake Number One Youtube http://www.youtube.com/watch?v=64riif8FfNI ilikuwa imetazamwa na watu 957,899 lakini hadi leo wanaijeria wameongeza idadi imekuwa 1,111,509.
ReplyDeleteEti madai yako magufuli hahahaaaaaaaaaa!kaogeeeeeeeeee!domond kachemkaaaaaa acha unafki
Deletekama linafirwa vile watu wanaongelea nguo alizovaa we unaleta nyimbo kumbe na we bwabwa ka Diamond
DeleteSa ulikua unaenda wap na mdomo wko kma soksi chafu......
ReplyDeletejaman inatosha basi ameckia!!!
ReplyDeleteMsanii mkubwa atakiwa awe na mbunifu wake jaman mtafute sheria ngowi usiogope
ReplyDeleteTatizo kubwa umejifanya freemason kwa hiyo ishara ya vidole vya huo mkono uliouweka tumboni wakati wewe si freemason. Sasa uwe tayari kupata adhabu zikiwamo na fedheha kama hii ya kutowafurahisha watu kwa hicho kivazi mshenzi.
ReplyDelete