DK MVUNGI AVAMIWA NA KUCHARANGWA MAPANGA USIKU WA KUAMKIA LEO

MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambaye pia ni Mhadhiri Mwandamzi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Bagamayo (UB), Dk. Sengondo Mvungi, usiku wa kuamkia leo amevamiwa na watu wasiyojulikana na kukatwa mapanga maeneo mbalimbali mwilini ikiwemo sehemu za kichwani kwa madai ya kutaka wapatie fedha. Watu hao walitimiza lengo lao hilo baada ya Dk. Mvungi kuwaambia hana fedha ndipo walipoanza kumcharanga mapanga.
Mtoto mkubwa wa Dk. Mvungi aitwaye Dk. Natujwa Mvungi ameeleza kuwa baada ya watu hao kumjeruhi baba yake na kufanikiwa kuondoka, walimchukua na kumkimbiza katika Hospitali ya Tumbi mkoani Pwani ambapo amepatiwa huduma ya kwanza kisha kumkimbiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo baadaye alipelekwa kwenye wodi katika Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa ajili ya matibabu.
Dk. Mvungi aliwahi kugombea urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2005 kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuz
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana ILA muwege mnaweka kiasi kidogo cha fedha home hao jamaa wakija wazikute kuepusha kujeruhiwa,hao wakikosa mshiko wanakuwa wakali kweli utafikiri walikupa hela zao uwahifadhie.

    GIJOZ

    ReplyDelete
  2. C jambo la kuchekesha ila mdau wa kwanza umenifanya nicheke.

    ReplyDelete
  3. pole sana mwanaharakati wetu dr mvungi,mungu akupe nafuu haraka na urejee kazin Amina,ILA kweli uwe unaweka hata laki 2 Tu ndani

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanz nimependa ushaur wako.polen familia ya docta mvungi

    ReplyDelete
  5. hahahahaha jamaa apo juu umetisha mbya,,u made ma day

    ReplyDelete
  6. Ni kweli kabisa inabidi kuweka hela akiba ya jambazi. Nilikuwa namu advise spouse wangu kila siku anaona masihala. Mwenyewe nikawa natembea na akiba yangu. Walovotuvamia tu nikatoa hela na vigold vyangu vikatu save. Since then tumekuwa makini. Pole my lecturer. .hawa watu ni wabaya sana. Washenz kabisa. I can feel you. Upone haraka. Na nyie majambazi mtaishia kufa maskini tu..pumbavu zenu

    ReplyDelete
  7. pia huu ni muda wa kuweka camera ktk nyumba zenu,na za ibabda,mashuleni,na masoko uhalifu huu umevuka mipaka,na maeneo ya biashara,.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad