Tunawashukuru watanzania kwa kufuatilia kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Nawapa pole wote waliokwazwa na jambo hili, na ninawashukuru wote walionipa pole na kunitia moyo. Ninawashukuru pia walionilaumu na ni vizuri kunyosheana vidole na kuwekana sawa pale ambapo moja wetu anaonekana kukwamisha harakati za mabadiliko.
Haya ni mawimbi katika harakati za mabadiliko na ninaamini yatapita na hayatayumbisha mchakato wa kusimika mfumo wa demokrasia hapa nchini kwetu.
Ninashauri tuwe na subira katika kutoa hitimisho na hukumu katika jambo hili. Mpaka sasa tumekwisha kupata upande mmoja juu ya kilichotokea. Vuteni subira nasi tuseme ndipo mpitishe hukumu. Mungu akijalia tutakuwa na mkutano na waandishi wa habari wakati wowote kabla ya wiki ijayo na tutaeleza upande wetu, na hasa kutoa maoni yetu juu ya kile kilichotamkwa jana kwamba sisi ni wahaini na wahujumu ndani ya chama chetu.
Kwa sasa tambueni tu kuwa mie binafsi bado nipo imara katika kuhakikisha kwamba siwi kikwazo na ninachangia kikamilifu nguvu zangu katika harakati takatifu za mabadiliko hapa nchini.
Peoples power kwishnehi!
ReplyDeleteNot sure
ReplyDeleteSay Chaga's power dont u ever say peaple's power again. Real disapointing
ReplyDeleteAcha ujinga wewe kama sio Mbowe, Ndesamburo na Mtei mchaga mwingine ni nan CHADEMA?ongeeni facts na sio majungu
DeleteYet to hear
ReplyDeleteChagas power !!!!! never give chance to another traibles.they need only chagas to be leader.igwena mbowe oyeeeee!but not Tanzania may be in kilimanjaro only he can be rules.lie lie,chadema not part that is conmans group .
ReplyDeletedon't say peoples power,say chapas (chagas & pares) powers!!!!! ahaaaaaa its true or untrue?
ReplyDeleteRight buddy
ReplyDeletemmeona ee chaga power kwishney, mfukuzeni chama muone kama atujakizika chadema tena funi mia shwain nyie
DeleteCHADEMA politics is no longer a dirty game but it's a game of numbers that counts on how many mistakes you make,you loose Zito and you loose the whole Kigoma e.t.c.Where did you get the energy to politic inside your house ? Are you scared of change? Cant you see what is happening in the house of the ruling party? We expected this within CCM and not you.People are very disappointed with you and now they are waiting for the merge between CCM rebels and these guys that you have withdrawn their leadership since they are moving out.CHADEMA is a house of fire!! Mumejimaliza,we wonder how you can dare make such stupid cowardly mistake!
ReplyDeleteZito is the most powerful guy unlike anyone else in the part so they fear him..wakumbke kwamba chadema haikua maarufu kama c hoja nzito ndani bunge alizokua anazipresent ameweza kukifanya chama kipate umaarf mkubw sana kuptia mikutano yake ya kupambana na ufsd. how comes leo aonekane ni msalt et kw kua anapnga mambo ambayo hayastahik kuwepo ndani ya chama. So ni nani hasa ambae anatumiwa na ccm ni wewe slaa na mbowe au zito??il kuvuruga chama
ReplyDeleteILA watanzania tunakera sana mtu mada ya kiswahili wachangiaji wote WA juu mnaandika kizungu tena mnatema Yai visa na shule za Kata hivi mgechangia kwa lugha ya taifa mngekua hamueleweki ama vipi. Acheni kuwa watumwa ah mnakera
ReplyDeleteLakn ukikaa chn na kufikir kwa kina.... mh! Inawezekana ikawa kweli mbowe na slaa ndo wana2miwa na ccm.
ReplyDeletewadau hizi taarifa za CHADEMA ipo ICU ( Intensive Care Unit) zina ukweli wowote?
ReplyDeleteHebu tuelezwe kwanza elimu ya Producer and Jj Mbowe ndipo tuendelee na mjadala
ReplyDeleteI don not care about political matters....
ReplyDeletebut on this power relegation for stonger, impressive talker, big thinker, brave and good leader like ZITTO, it means CHADEMA is heading the same way as NCCR did
Frankly speaking; i am 95% sure that the party is soon falling apart
Let the Chaggas take on census and observe whether they can take a lead to STATE HOUSE if they think without inter-tribe connection they can WIN...Lol
CCM you're the ONE left
relax
no strong contestant
win win and win again
lead us for the next 5yers from 2016 to 2020
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
oyeeeeeeeeee
DeleteCCM oyeeeeeee tulowapa iman wenyewe wanageukana,demokrasia itakua kwel?ni bora tungebaki kwenye ujamaa make hatuwez kuongozwa na wachaga wabak na chama chao na ubinafsi wao
ReplyDeleteI am very disappointed following whats happening in CHADEMA
ReplyDeletethe party that i trusted in
-the party i got membership registered
-the party with hope for xhanges in my nation
-the party that outspread challenges not only to the ruling party but the whole community as well
SHOCK: zitto KABWE is relegated from power........ what the HELL
Damn! CHADEMA is going to fall
I am very disappointed following whats happening in CHADEMA
ReplyDeletethe party that i trusted in
-the party i got membership registered
-the party with hope for xhanges in my nation
-the party that outspread challenges not only to the ruling party but the whole community as well
SHOCK: zitto KABWE is relegated from power........ what the HELL
Damn! CHADEMA is going to fall
Mmmmh! Mbona hawasemi ya viti maalum Arusha kuzaa na Mbowe!!!!
ReplyDeleteWatasema tena mdau?watasemaje?wanajipenda?vit maalum kafa moro achaguliwa arusha inahuuuu?mkamilif hayupo dunia hii hata waliobaki hakuna msafi
DeleteKama mwanachama yeyote atakiuka katiba ya Chadema akaachwa bila kuguswa au kuogopana eti huyu mwenzetu,chadema itakuwa na tofauti gani na ccm?
ReplyDeleteAaagh wana tuvaeni tena GAMBA juu ya GWANDA mchezo umekwisha..
ReplyDeleteuwiiiiiiii chadema mmefulia
ReplyDeletewamesuuzia kabisa shain hawa, chadema bila zitto inawezekana?
DeleteKama hakuna alie msafi basi mjue hata ZITO anaweza kukosea weken mbali umaaruf au n guvu alizo nazo ndan ya chama na mtu akikosea kinacho fuata ni hukum
ReplyDeleteWangapi wamekosea na bado hadi sasa wapo na wanaendelea na madaraka? Chadema wamebugi men
ReplyDeleteChadema kushney
ReplyDelete