FILAMU ZA KIBONGO ZIMEZIDI KUFANANA-NAPUMZIKA KUIGIZA-ROSE NDAUKA

Mwigizaji Rose Ndauka amesema kuwa anapumzika kwenye tasnia ya filamu kwa mwaka mmoja kwakuwa filamu za Tanzania zinafanana sana na anataka aje na kitu kipya na tofauti.

Kwa mujibu wa gazeti la mwanaspoti Rose Ndauka amesema wazo hilo limetokana na tatizo la kufanya kazi zinazojirudia mara kwa mara, hali iliyomfanya aamue kujipa likizo ya muda ili kujipanga.

Hata hivyo kauli hiyo inaweza kuwa na utata muigizaji huyo ni mjamzito kwa sasa na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu kubwa ya yeye kusimama kwa muda.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Elim huna,kipaji cha kulazimisha..sasa hcho kitu kpya cjui kitatoka wapi...we kaa tulia ulee mtumbo wako usubiri kuingia leba...ukitoka ndo uanze kubwatuka km umekatika kichwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mkundu nini si bora mwenzio kaonyesha uanamke na ataenda leba kwa ufahari..wewe je umekalia kuchomoa mimba tuone hata hiyo leba utaiona...mkundu wako umefumuliwa malinda nyokolo.

      Delete
  2. Hta hvyo amefululiza kuigiza muv za ajabu bora utulie tu.....ushaboa vya kutosha

    ReplyDelete
  3. wala ata sio movie,...ni video clip izo,hamna lolote

    ReplyDelete
    Replies
    1. we clip yako iko wap? Acha wivu bwege ww

      Delete
  4. Mh watu mna dic mpaka bc

    ReplyDelete
  5. hahahahaaaa wabongo noma jmn makavu live mmmh dada shushia uji wa pilipili manga

    ReplyDelete
  6. Ni kwel filam zinafanan kwnn usibadilish wewe sem unajilelea mimba yako na c kitu kingine ebooo wewe mwaka mzima unajipanga tu kuhusu filam

    ReplyDelete
  7. sema umeshiwa elimu yako ndogo imefikia kikomo kipya gani utaleta labda uhuze uchi wako kila masaa manne uje na uongo kama ndugu zako ....napigiwa simu 1000000 kila cku nlkitongozwa

    ReplyDelete
  8. Mmmmh hamna jipya wooote ni ka huyo ndauka tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad