FUMANIZI LA JB UTATA MTUPU

LILE sakata la madai kwamba, staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’ amenaswa akiwa na mke wa mtu mjini Dodoma limeingia katika sura tofauti baada ya habari yenyewe kujaa utata.

Staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’. 
Habari za awali zilidai kuwa, tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita katika hoteli moja (jina lipo) iliyopo mjini Dodoma ambapo JB alikutwa na mke huyo wa mtu aliyetambulika kwa jina moja la Sarah.
Kwa mujibu wa mwanaume aliyedai kuwa ni mume wa Sarah aitwaye Rama (jina moja), alifuatilia nyendo za mkewe huyo kwa saa kumi na mbili siku ya tukio na mawasiliano yake ambapo kwa muda mrefu alikuwa akiwasiliana na JB ambapo walipanga kukutana katika hoteli hiyo usiku.
Saa tatu usiku, Rama alifika ndani ya hoteli hiyo na kuingia kwenye chumba alichokuwa amelala JB na mwanamke huyo ambapo aligonga mlango kwa muda mrefu baadaye sana ndipo ukafunguliwa.
Baada ya mlango kufunguliwa, kwa mujibu wa mume wa Sarah,  JB alipokea  kipigo cha haja kutoka kwa mwanaume huyo ambapo wahudumu wa hoteli na polisi waliokuwa wanafanya doria katika shoo ya Jahazi iliyokuwa ikiendelea kwenye ukumbi wa hoteli hiyo  waliingilia kati kumuokoa JB na walipelekwa Kituo cha Polisi cha Area D ambapo maelezo yalichukuliwa na kutakiwa warudi kesho yake.
Mwanaume huyo alisema kuwa kesho yake waliporudi polisi walimshinikiza akubali yaishe ambapo walilazimishwa kuelewana.
Mume huyo akasema hakurudi nyumbani tangu siku hiyo mpaka juzi hata hivyo akasema:
 “Mimi simuhitaji tena japokuwa ana mimba ya miezi minne na sina uhakika kama ni ya kwangu kwani tabia zake sizielewi bora niachane  naye maana tulikuwa wachumba hatujafunga ndoa.”

HUYO ALIKUWA MUME, JB SASA

Mapaparazi wetu walifanikiwa kumuweka mtu kati JB ambapo baada ya kumuuliza kilichotokea, alisema:
“Mimi nifumaniwe! Hivi inawezekana kweli? Mna uthibitisho au ushahidi wowote? Yule msichana alikuwa klabu, akachukua namba yangu. Si yeye tu, mashabiki wengi waliniomba namba siku hiyo.
“Ulikuwa usiku akarudi klabu, mimi nilikuwa hotelini, akanipigia na kusema anataka kuniona ana shida ya kisanii.
“Hata alipokuja sikuwa nimefunga mlango, akaingia na bado mlango ulikuwa wazi. Muda mfupi baadaye akaingia huyo bwana akiwa peke yake na kusema amenifumania.
“Hivi jamani, kweli unakwenda kumfumania mkeo upo peke yako? Kwanza hatari! Nilipoona anachachamaa kwa madai hayo, nilitoka nje, huyo anayesema mkewe naye akaondoka lakini alikuwa akisema mbele yake kwamba hajaolewa.
“Kule nje niliwaambia wenye hoteli, wakaamua kuita polisi maana alikuja kunifanyia fujo. Sijui nini kiliendelea, lakini ukweli ni kwamba sikufumaniwa.”
Sarah alipopatikana hewani juzi  alisema hajafumaniwa na huyo anayedai ni mumewe ni mpenzi wake tu. Alidai kama kufumaniwa angekutwa akiwa hana nguo.

Credits: Global Publishers

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Me najiukza jb anaweza vp kutomba na ktambi chote hcho,yaan kmening'inia kabxa,nxaidiwe jaman..!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii...!!!! mwenyewe cjui afu nahic dudu yake itakua ndogoooo! hahahahaaa mm mwenyewe I need msaada wakulielewa hili... hahahahaa kiroho saaafi.....

      Delete
    2. hahahahahahhahahahahaa daaaah!!!

      Delete
    3. kwa tadhmin ya haraka haraka hilo umbo na hilo ndambi atakua na kibamia na ukikikatia mauno kitakua kinachomoka chomoka ni NOUMA SANA!

      Delete
    4. hahahahahaa na mimi nimejiuliza swali hilo hilo! Lol. Anawezaje jamani? Koz doggy hawezi tumbo linafunika mboo,upande ndio mamaaa , labda akaliwe ndio utampata kama ana mboo ya kukaliwa. Kiroho safi lakini hahahahaa

      Delete
  2. hahaha wadau mnachekesha, lkn mwisho wa siku ukweli utabaki palepale kuwa jb ulifumaniwa mtu kakuomba namba ya siku usiku room kwako kafata nn

    ReplyDelete
  3. Wewe. Acha kutufanya sisi watoto wadogo umefumaniwa malaya we

    ReplyDelete
  4. nyie matako sasa hamna cha kuandika...

    ReplyDelete
  5. kibamia????? mpe uone ka ajapasua kuma,ila kwel jamaa kafumaniwa analeta zugaling tu

    ReplyDelete
  6. Jamani mbavu zangu znauma,da muonekano Wa mtu kwa Nje unatoa picha halisiya viungo vya ndani hasa bamia au ndizi kisukari,.jb hana ndizi ya kukaliwa piga ua galagaza,lille tumbo hata kuinama au kuchamba ni kazi jamani,.

    ReplyDelete
  7. jb kwa taarifa yenu alikiwaga anatiwaga na jamaa mmoja maarufu jb alitaka kimpotezea dada wa watu na mimba yake muda jb anatiwa yeye kutia hawezi. hata nguvu

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha uzushi na chuki zisizo na sababu analiwa kiboga ulikuwa unamla ww fala n

      Delete
  8. inamaana analiwa tigo? duh

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad