Hatimaye mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kuweka wazi kilichotokea mpaka kuamua kubadili Dini yake ya Uislamu na kurudi kwenye ukristo tena. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada huyu wa bongo movies ametoa ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake.
“…mambo mashabiki zangu.sikua na njia nyingne yakulikwepa hili nanaamini kua kwa wale mashabk zangu waislam amtomaind maana akuna mtu wakumsikiliza chin ya hanga zaidi yawazazi so imenipasa kurudi kanisani kwakauli yawazazi wangu.naamin kama aujaolewa ata uwe na miaka mingap bado unatakiwa kua chin ya imaya ya wazazi ata ukifa ujue unazikwaje na mimi ni binadam sijui saa wala dakika.muhm nikuwajuza nakuwaelewesha mashabk zangu stak maswal nawapenda wote…”
Hapo awali iliripotiwa kuwa mwanadada huyu ameamua kuwa mkristo tena baada ya penzi lake lililosababisha abadili dini na kuwa muislamu na jamaa aitwaye 'Dallas' kuvunjika hivi karibuni.
Swali ni je, atabadili dini tena akitokea mwingine wa dini aliyo tofauti na sasa?
HATIMAE JACKLINE WOLPER AFUNGUKA BAADA YA KUBADILI DINI KWA MARA YA PILI
22
November 11, 2013
Tags
Kuandika hajui aliishia darasa la ngap kwani
ReplyDeleteSasa yy anabadili dini coz of wanaume, duh hii kali. Akipata mbaniani pia abadili tena
ReplyDeleteMalaya hana mkole yote tamaaa tu hiyo mungu achezewi hata silu moja mwanzo hakuwajua wazazi? Hana imani na dini yyt huyo malaya ni malaya tu hata mkoleni hawaingiii
ReplyDeleteAjasoma walikimbia shule Hao kazi ya wolper Kila wanaume akimla anaomba Amuoe anapenda ndoa kweli tena akuone mambo mazuri eeeh Range zinamtoa roho, then wewe dada u ain't wife material badilika Kuna wanaume ulimtuma mtu eti akuoe baada ya kukula tu yule mwanaume akasema hawezi kumuoa wanamke ambaye anaweka mirangi kichwani, unajua wewe wolper ni cheap sana u ain't classy hata kidogo na pili punguza magazeti na skendo zako Acha kusagana pia but watakuwa Hao ma mambulula Hamna wanaume aliyetoka kwenye familia bora atayekuoa wewe badili dini zote usimalize

ReplyDeleteKISWAHL ACHAKE MBONA HAKIELEWEK
ReplyDeletehata wewe chako hakieleweki, ngoma droo! piga kimya
Deletekazoea ki english
DeleteCHUNGA NAFSI YAKO KULIKO KITUCHOCHOTE JUU YA MGOGONGO WA ARZI IPO SIKU UTALALA KWENYE TUMBO LA ARZI NDIPO UTKAPO JUWA FAIDA YA KUIPENDA DUNIA
ReplyDeletedah shule nzuri sana. namshukuru Mungu nilisoma enzi za Nyerere wakati mwalimu alikuwa ni mwalimu kweli tena mwenye wito sio ili mradi apate ajira....matokeo ya bora ajira ndo haya ARDHI mtu anaandika arzi...dah...unajiuliza kiarabu ama? ama kweli tutasubiri sana. naye Wolper mhhhhhhhh..sisemi sana, ndo DIVISION 5 nini...Lugha ya kwako inakushinda utaongea ya ki bbc KWELI? nina wasiwasi sana
DeleteMwenzangu sema wewe mimi yani nachoka mbona hizi shule za kata zimeleta majanga?!! Kama mambo ndo haya mwanangu nitamfundisha mwenyewe nyumbani na kwa msaada wa walimu wazuri wastaafu. Yaani kwa style hii home school nda mpango mzima
Deleteukiona mtu anabadilisha dini kisa kuolewa ujue imani 0,,na ukiona mtu anaenda kanisan au msikitini et kwa vile ni dini ya wazazi ujue hana imani
ReplyDeleteWanawake wa dizaini yako dada jack na wenzako wa bongo movie hampo kwenye maadili ya kuolewa ni watu wa modeli tu so nyinyi ni wakumegwa tu na kusepa kuolewa si rahisi so cha msingi tulia na dini yako kaza buti na fani yako achana na ndoto za kuolewa ni familia chache sana zinaweza kuwakubali kuolewa kwenye koo zao
ReplyDeleteUnajua mwenyewe na hao wzz wako ww mtu mzima wajua mbivu na mbichi, uongo 2 dallas amekupg chini.
ReplyDeleteHana jipya huyu changudoa, alifuata bwana na pesa tu, tamaa za dunia ndiyo zinawapeleka puta, sasa hivi huyo choko ni choka mbaya, tutolee hawa zilipendwa, tuletee sura za pesa na mvuto kwenye blog achana na hawa mbururaaaa
ReplyDeleteNimeona kichwa cha habari kikanivutia nikajua kashuka lugha ya kueleweka kumbe umbulula mwanzo mwisho,mwanzo hakuwajua wazazi wake? Kuma nini,huyo atakuwa ametandikwa chini na mnyama Dallas,chezea mbolo wewe utasali hadi benian nyooooooo
ReplyDeleteDah! Aise huyu kweli hajasoma mtz akikosea kingereza 2namcheka bt mwisho wa cku 2nasema cyo issue coz ts not our mothertongue lakn huyu ata kuandka hajui. Jaman haya majanga
ReplyDeletekama kumtambua mtanzania ni kusoma na kuandika kiswahili fasaha, basi tutapoteza watanzania wengi. Huyu binti kwa kifupi uelewa ni mdogo sana, anatumia uana(uke) wake kufanya mahamuzi pia kuendesha maisha yake. Ameandika lugha ya kiswahili kama mtoto wa darasa la tatu. Kama kuna cheti cha darasa la nne ndio haki yake.

ReplyDeleteNyani haoni mbolo yake...we nae sasa umeandika nn??? Ahahah eto MAHAMUZI!!!
DeleteWASANII WA BONGO MOVE WENGI NI MAKAHABA
ReplyDeleteKwanza anakikwapa kikali na hao wanaume wanaomfuata nao wanavumilia mengi,mtu ananuka condom huyo manka mchafu..abadili na kabila siku akipata masai pia
ReplyDelete