HATIMAYE MAMA DIAMOND AZUNGUMZIA PENZI JIPYA LA WEMA SEPETU KWA DIAMOND

Msanii wa ngoma ya Number One, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ ameingilia kati penzi lililofufuka upya kati ya mwanaye na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu.
Habari za chini ya kapeti zilitonya kuwa baada ya kuambiwa na kuoneshwa picha za Diamond akiwa kimahaba na Wema alikuja juu akidai kuwa hamtaki Wema kwa kuwa anamkubali zaidi Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Akizungumza akiwa  nyumbani kwake Sinza-Mori jijini Dar wikiendi iliyopita, bi’mkubwa huyo alisema kuwa kwa sasa hafahamu chochote kuhusu Diamond kurudiana na Wema zaidi ya kusikia kwa watu na kuona picha katika mitandao ya kijamii.
“Kuhusu Nasibu (Diamond) kurudiana na Wema, nasikia tu na kuoneshwa picha namsubiri Nasibu arudi kisha nikae naye ndipo nitatoa tamko,” alisema mzazi huyo.
Mapaparazi wa Ijumaa Wikienda kadiri walivyozidi kumchimba mama mkwe huyo wa Wema ni jinsi gani anavyojisikia kuhusu tabia ya kubadilisha wanawake kama nguo, ikizingatiwa yeye ni mzazi haoni kama mwanaye anamfedhehesha alisema kuwa hayo ni maisha yake.
“Hayo ni maisha yake na mwenyewe kwa kuwa ameshazoea kuonekana katika magazeti kila wakati mi niongee nini wakati ndiyo maisha aliyojiwekea,” alimalizia kusema.

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acheni uzushi. mmekosa cha kuandika. hii habari ilishaandikwa wiki 3 nyumba, mkikosa cha kuandika mnatunga tunga tu na kurudia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haka kamama kaache usanii yeye mwenyewe hata mume hana utamshauri nini mtoto wako kwenye mapenzi? Anamkataa Wema kwani anamtomba yeye? Wamama wengine nao ukosefu wa shughuli unawaponza

      Delete
  2. madau sio wiki 3 tu toka kipindi kile domo alikua hajarud kutoka china,ni mwez sasa umeisha,mamae zenu

    ReplyDelete
  3. Hana chanzo cha habari huyu kazi yake ku copy na ku pest au atunge uongo na stiri za nyuma.

    ReplyDelete
  4. Hivi owner wa hii Blogu ni nani?Hana hata la maana zaidi ya kurudiarudia habari.

    ReplyDelete
  5. Hata kama ni story ya zamani huyu mama hsmtaki Wema kivvipi au anakua anamsaidia mwanaee kutomba.acha kuvamia mapenz ya watu hata kama ww mama

    ReplyDelete
  6. Ndo maana hakanenepi hako ka mama Sijui kana ukimwi kya!! haya mama mtu mzima kuingilia mapenzi ya watoto inahuuuuu!!!!shiiiit maza fanta

    ReplyDelete
  7. Bi Sandra anatakiwa akae chini na mwanae,amueleze ukweli kuwa anawadhalilisha kwa matabia yake machafu,pia mama huyu anatakiwa kuwa mkali asimruhusu Nassib kulala/kuishi na msichana ndani ya nyumba kabla ya ndoa,ila inavyoonekana mama yupo kimaslahi zaidi,kwa anayoyafanya Nassib mama unamsupport na hiyo issue ya simtaki Wema namtaka Penny ni ujinga ww kama mzazi kazi yako ni ushauri tu mengineyo hayakuhusu,sijui kama mnamuogopa Mungu nyie manake ZINAA under your blessing!!!! Mmmh...

    ReplyDelete
  8. eeeeh jamani mlozaa watoto wa kiume mna shida. hembu mama diamong imagine wema ni mwanao na anatokea mama wa diamond anasema hataki mwanao awe na mwanae au aolewe we utajiskiaje? hembu acheni watoto wafanye ma amuzi yao. au vle mwanao superstar afterall labda hiyo sukari hana uzuri wa kupendwa ni mwanamme kama wanaume wengine. au ulimuogesha na mpendapenda ( lol )

    ReplyDelete
  9. admin kuma wewe kwa kurudia story piga kimya kama mange kamam una cha kuandikaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. Haka kamama sikapendi

    ReplyDelete
  11. what does diamond do to these chicks?? why are they so carried away by his charisma??? ama diamond ni wale akiwa anafanya foreplay ananyonya hadi mikundu yao nini? the act that very few men can do!!!

    ReplyDelete
  12. Stori imepitwa na wakati...tafuta udaku mpya bana,, hii blog ni kubwa admin acha uzembe wa kucopy paste...stori hii imeisha ladha

    ReplyDelete
  13. Hv mmekosa cha kuandka km hamna andka mit......bo!?

    ReplyDelete
  14. Sawa yote Kaisha matusi yanini kwani ukikaa kimya utakuaje?

    ReplyDelete
  15. huyu wema sepetuzi na diadomo sijui kawapa nini maana kwenye hii brog wakikuta habari inayomuhusu wemavi nadaidomoz utawaona wachangiaji niwengi kuliko habari nyengine pumbafu sana changieni mada nyengine co wemavi na domoshuzi

    ReplyDelete
  16. Hizo comment zakumponda mama diamond na kumfagilia wema eti waachwe waamue wenyewe,ni wema anajifagilia mwenyewe kama anonymus.hv kwel kabisa wewe ukiwa mzazi unaweza kukubali kuwa na mkwe kama Wema?jibu tu honestly acha ushabiki.wema usijicommentie kujifagilianaization.Hzo comment nyingi za kukubalika unajiandikia mwenyewe.shame

    ReplyDelete
  17. we anoy wa 1:36 unadhani wema ana huo muda wa kuja ku coment hum?!!!!!!!!!! su unakurupuka tu?! wema ana mashabiki wengi sana na ndo wanamfagilia humu siye yy mwenyewe

    ReplyDelete
  18. Haka kabibi katakuwa kachawi lazima. Yeye mwenyewe changu tu hana mume, atamshauri nini mwanaye. Huyu domo Malaya kama mama yake tu, hakuna cha wema wala penny, wote wajinga tu wanadhalilishwa na mtu amjinga asiyeenda shule.

    ReplyDelete
  19. Mama diamond anajichanganya sana, Mara wema simtaki

    ReplyDelete
  20. Mara diamond siwezi muingilia hay onion mambo yake! Huh, mama tukueleweje? Hebu acha mtoto

    ReplyDelete
  21. Na nyie mliochangia wote makuma mmekosa issue za kufanya,wasenge nyiee!














    ReplyDelete
  22. Nawashangaa,changieni ys maana baana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad