HATIMAYE VIDEO YA DIAMOND YAANZA KURUSHWA KWENYE CHANNEL ZA KIMATAIFA

d8
Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia ya gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu wanafanikiwa kupata airtime.
Jibu la swali hilo hatimaye limepatikana baada ya video ya My number one kuanza kuchezwa kwenye vituo maarufu duniani.
Diamond kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii aliwajulisha mashabiki wake kwamba wanaweza pia kuiona video ya My number one kwenye channel ya Trace na Sound City.
Kupitia Trace video hiyo imetambulishwa kama video mpya na kwenye Sound city imerushwa kwenye trending video request na hizi ni picha kutoka kwenye screen wakati video hiyo ikipata airtime kwa mara ya kwanza kwenye vituo hivi.
d1
d2
d3
d6
d7


Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna kizuri kisichokuwa na baraka na hakuna mafanikio yasiokuwa na subila alisubili kwa hamu kubwa sana na leo nyota ishakuwa kali inashine kinama binafsi namkubali dogo atafungua milango ya wasanii wa kitanzania one love brother is me juma halfani from pretoria south africa

    ReplyDelete
  2. CHA AJABU NINI SASA HAPO? DOMO NAE KWA MASHAUZI!

    ReplyDelete
  3. HUKO NI KUTOJIAMINI NA KAZI ANAZOFANYA KA ZINA UWEZO WA KUFIKA ANGA ZA KIMATAIFA! SASA WASANII WOTE AMBAO VIDEO ZAO ZINAONESHWA HUKO MAJUU WANGEKUWA WANABANDIKA MITANGAZO KAMA YA DOMO,SI HIZI BLOG ZINGEJAA? DOMO ACHA USHAMABA NA ULIMBUKENI!

    ReplyDelete
  4. Mwenyezi mungu atakuzidishia katika mafanikio yako

    ReplyDelete
  5. Maneno ya wakosaji mnamuonea wivu sanaaaaa mnawish mngekuwa nyinyi .sorry may be nxt generation

    ReplyDelete
  6. Mtu anapofanya vizur anatakiwa kupongezwa, watanzania tuwe na tunathan na kukubali, fuck 4 those wenye roho ya kwanini! Very gudo brother

    ReplyDelete
  7. Alaf Cjajua Ni Kwann Wa2 Wanamchukia Huyu Dogo Coz Mtajikuta Mnajichumia Dhambi Bure.

    ReplyDelete
  8. Kaza buti kijana wenzetu mafanikio ayaji ivi ivi, mahadui wako ndio mafanikio yako

    ReplyDelete
  9. watz wengi 2nakoxa uzalendo kwa kaz ze2 ila 2nachojua ni majungu 2 umchukie umponde hutompunguzia ki2 zaid ya kuprove ujinga wa ubongo wako

    ReplyDelete
  10. Upo juuu diamond.....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad