HII KALI KWA DIAMOND PLATNUMZ!!! AAMUA KUJIITA 'DOMO' INSTAGRAM...CHEKI HAPA


Diamond Platnumz aka Prezident wa WCB ametoa kali na mpya kwa kuamua kujiita 'DoMo' kupitia ukurasa wake wa Instagram kama unavyo ona hapo chini. Yawezekana amefikia hatua hiyo baada ya watu wengi kumkashifu mara nyingi sababu ya mdomo wake. 
Kwangu mimi sioni tatizo maana ndivyo alivyo umbwa na je alikuwa anauliza wakuandika hivyo kweli? Au ndo kutupa cha kuongela? All in all he rocks big time being one of the most successful artists in East Africa pamoja na 'DoMo'

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mi naona angejiita ''Domo kapu''

    ReplyDelete
  2. Achen kutu danganya kajiita DO MORE na co domo

    ReplyDelete
  3. Acha kutufanya hatuna akili kaandika Do more sasa hiyo domo umeitoa wapi choko ww mxiiuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mburula kweli inaelekea hata darasa la kwanza hujasoma,Do More kwenye huo waraka hapo juu vonaoanA?kaandika domo kwakuwA watu wamembatiza hilo Jina

      Delete
  4. Iv ww mwenye blog huna kaz ya kufanya.
    kaz kumshobokea huyu fala.acha usenge andka vitu vya maana kuku ww

    ReplyDelete
  5. yani sipendi mtu muongo kuropokaropoka tu uongo do more na domo vinauhusiano gani au haujui kusoma?

    ReplyDelete
    Replies
    1. We ujui hii blog onstembelewa na matabaka YOTE, mimburulaz na wenye akili zao timamu

      Delete
  6. Huyu kazi yake ni kutega warembo,penny andamana Wala usikubali.acha kazi upate muda wa kuchunga mzigo wako,kila kona ya dunia atakayokwenda mfuate bibi we!

    ReplyDelete
  7. ni kqeli iliandikqa domo aliedit mwenyewe badae

    ReplyDelete
  8. jaman domo clake kwan nyinyi linawahusu nn.kwan kunam2 ni mkamilifu acye na kasoro

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna mkamilifu nakubali Hilo jina wananchi wamemuota wakati wakina vitani.vitani unatumia silaha yoyote

      Delete
  9. Hyo c acc ya dai..hamjaangalia followers na pia hyo name ni capital letter while ya dai n small letter

    ReplyDelete
  10. Hyo c acc ya dai..hamjaangalia followers na pia hyo name ni capital letter while ya dai n small letter

    ReplyDelete
  11. Jamani yaan angezaa nawema sijui mtoto angekuwaje midomo kama mikundu ya bata mxuuuuuu

    ReplyDelete
  12. Do more kamaanisha nini jamani wadau me sijui kingereza nisaidieni

    ReplyDelete
  13. mtajiju, awe na mdomo awe na chongo, kijana yupo juu, msio kuwa na domo mna nini! si bora yeye ana domo na vile vile matawi ya juu, atungalii uendsamu hapa, utu wa mtu kipato.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad