HUU NDIO MJENGO MWINGINE WA DIAMOND AMBAO UPO KWENYE HATUA ZA MWISHO ILI KUKAMILIKA

Kijana anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz mambo si mabaya kwake baada ya kuonyesha mjengo wake mwingine wa hatari ambao bado upo katika ujenzi.  
 
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram,Diamond jana ame-share picha ya nyumba hiyo na chini akatia neno..Shuka nayo.


''Toa kitu weka kitu...! Ndio tulivyo funzwa...stareh tunawaachia wajanja wa mji... #WCB #Wasafi for the Fkn Life!''

Haijajulikana mjengo huu uko maeneo gani wala umegharimu kiasi gani
ila inaendelea kudhihirisha mafanikio anayoendelea kuyapata Diamond.
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Penny Haki ya nani endelea kungangania umo ndani,mpaka akuoe na yeye kashatamka atakuoa.hakuna anayetaka dhiki,kila mtu anajua nasibu atakuumiza ni bado mtoto na ni Malaya ila vumilia tu.bidada,hizi Kati umemfumania na Demu Serena bila chenga but we endelea kuvumilia mpaka akioe.

    ReplyDelete
  2. Nasibu na wema mnashindana kutupnyesha majumba?penny ya kwako ipo Wapi?au unasubiria ndoa ili Mali ziwe zako automatically?lolest

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weww fala kweli, yakwako iko wapi tumdika tuione. wivu kwa penny unakusumbua, katombwe wewe basi. Mungu katuumba kila mtu na riski yake, hata hao waliokosa c kwamba ni wajinga au hawafafuti ilaa kila mja na fumgu lake. wote tunapiga michongo , huyu anatoka yule anakwama.

      Delete
  3. Haina maana sanaaaa kuanika anika mambo yk km umestaarabika,hizo ni stail za uswhilini na kwakuwa ndiko alikokulia masikin lazima aweweseke,nilichogundua domond anapenda sn publicity,tulia mzee km chako chako tu,ndo mana mnaumizwa.privacy ni symbol kubwa sn ya civilization.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ushamba kjana! He z a celebrity that's why anaexpose v2 vyake na hata akikaa kmya lazma camera ztammulika!

      Delete
    2. wewe ndio mshamba hata wasanii wa nje wanatupia,, wewe wa segera nini

      Delete
  4. Mbona kama jengo lenyewe ni la kuungaunga na lipo kwenye msongamano uswazi? Bati zenyewe za bei poa za ALAF ?

    ReplyDelete
  5. hivyo tu kila cku anajionyesha je angekuwa na mali kama baresa si angezinadi magazet yote na tv hadi vyooni angeweka mabango

    ReplyDelete
  6. hivyo tu kila cku anajionyesha je angekuwa na mali kama baresa si angezinadi magazet yote na tv hadi vyooni angeweka mabango

    ReplyDelete
  7. kijana ushamba wa tandare bdo nitatizo kwako kuanika mali zako ili watu wakuteke au watu hawapendi maendeleo namijisifa utatekwa

    ReplyDelete
  8. Kwa mtogole hapa! Jioni ndo mida yake mara nyngi utamwona akija na mbwembwe nyiiiingi. Na ata kujiuliza ingekuaje km hii ki2 angeotesha obey??? Huyu dogo limbukeni tuu.

    ReplyDelete
  9. Wabongo tatizo lenu hamna dogo angevaa raba , kali na cheni mgesema ohhh vitu vya kupita tunataka mjengo, hamana jema , HUO NI WIVU USIO WA KIMAENDELEO hamkosi neno ipo uswazi ipo wapi hiyo haihusu mbona akiposti mengine mnashadadia looo wabongo salute kwenu kwa jealous muda mwingine muwe mnajitahidi kupenda vya kwenu, hao waloanzisha uceleb wanaonyesha Nasibu ana kwanini asionyeshe .

    ReplyDelete
  10. Nyie mcbishane ujinga hakuna mwenye uhakika kama jamaa ana mali kama mnavyozan! Na kwann huo mjengo hajachukulia pcha kwa mbele?? Kuwa makn kjana hii ndo bongo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mi sidhani Kama muziki tuuu unalipa kiasi hiki ni ufree mason mtupuuuuu,nasikia watu wakokwenye foleni ya kuingizwa ili nawao watoke Kama nasibu.

      Delete
  11. Haki ya nani ndio maana penny kagoma kuondoka,usiondoke jumba urithi huo

    ReplyDelete
  12. Siku nyingine apost nduzi yake,atafunika kuliko hii

    ReplyDelete
  13. endelleni kubishana mwenzenu ndo kapiga hatua hivyo???????????????????????????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad