HUYU NDIYE DIRECTOR ALIEFUKUZWA KAZI NA WEMA SEPETU BAADA YA KUGEUZA GARI YA WEMA CHUMBA CHA KUFANYIA NGONO.

Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema Sepetu kama gest ya kumaliza haja zake. 
Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake 
Habari zaidi zinaarifu kuwa baada ya kupata taarifa hizo Wema aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo. 

"Hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema, hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao"

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo wema nae toka kampuni yake ianzishwe hakuna kilizaa katika kampuni hiyo so ajipange tu upya na yeye

    ReplyDelete
  2. nyie ka mabwanyenye ko kwa vile bosi anafanya na wewe muajiriwa unamuiga bosi ka wazembe vle,ndo alichokipata kwa kumuiga bosi wake na mnajuaje kama kampuni haizai kwani imebebea hyo mimba wapi bwana kwanza ingekua imekufa kama haiendelei sa anawalipa watu bure..ufalaufala tu,reason first wthout bursting yo stupidity out.......LMFAO....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad