Mwanamziki mkongwe nchini Nguza Viking aka Babu Seya na mwanaye Papii Kocha, wataendelea na kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufani nchini kuitupilia mbali rufaa yao iliyosikilizwa leo
Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.
INAUMA SANA JAMANI:BABU SEYA NA PAPII KOCHA KUENDELEA NA KIFUNGO CHA MAISHA
19
November 21, 2013
Tags
Poleni
ReplyDeleteInakuuma kufungwa kwa watu waliolawiti watoto wa wenzio! i wish wangelawitiwa wa kwako au hata wewe mwenyewe ili ujue machungu waliopata wazazi wa watoto. Duniani kuna mahakama na mbinguni kuna Mungu ndio watoa haki sasa nyinyi mnaolalamika ooooh sijui wanaonewa mara ni amri ya Rais mbona hamujitokezi mahakamani kutoa ushahidi kama hawkufira walee? Kesi c lazima akafungue Nguza au Wakili hata wewe ukiona zuluma na unaushahidi wa kuwatete nenda mahakani fungua kesi thibisha kwamba hao watu wamefungwa kimakosa au ni amri ya Rais, bt hii ya kubwabwaja tuuuu kwenye mablogs wafiraji wenu watanyea debe mpaka wafe. Binafsi nimefurahi sana kutupwa rufaa yao walawoti tena watoto ni mbaya usiombe ikupate kwa mtoto wako , mke au ndugu. Hamuoni wachaga wanaua kwa risasi tena kwa kupigwa chini tu na madem itakuwa wafirajihawa mimi ningepiga risasi mia mia kila mmoja.
ReplyDeletePoint mdau kuna watu wanaongea ujinga humu mpaka wanakera huyu mzee na kijana wake wamelawiti watoto tena sio mmoja watoto 10 tena wadogo wa miaka sita leo yamekaa hapo mahakamani bila aibu wanakata rufaa ya nini? ukalawiti watoto wengine hutapata hiyo nafasi tena kafieni jela naombea huko jela wawafire na nyinyi
DeleteMim ninachoamini kwenye supreme court hakuna rushwa ukiona umeshindwa wala usilalamike haki haijatendeka,mawakili wameenda shule na hushindana kwa sheria.Inawezekana Babu Seya na wanawe walionewa kwa kesi kutengenezwa nje mahakama?!! sifahamu. Mim sijaelewa inakuwaje baba na watoto washirikiane kubaka?kwa mazingira ya kiafrica ni ngumu sana. Labda kama walifanya hivyo ktk nyakati tofauti.Kama mnaonewa Mungu awape moyo wa uvumilivu,vinginevyo kama mlifanya hvyo mkafie mbali maana wanamuziki mwingine ninyi ni wachafu sana
DeleteBabu Seya na mwanae wamelawiti WATOTO tena kifungo ni adhabu ndogo sana ukilinganisha na madhara waliyowasababishia watoto malaika wa wale wamewapa watoto kilema cha maisha leo hii wewe mwandishi unathubutu kusema inauma? acheni utani kwenye jambo hilo nashukuru mahakama haijamwachia kwa sababu ya umaarugu uchwara
ReplyDeletewewe ulie coment ujinga kwamba babu seya namwanae wamelawiti ulikuwepo ingekua nibaba yko nakaka yako unge post utumbo hapo
ReplyDeleteanoy 10:01 ndio nyinyi mliofeli mitihani sasa usifikiri Jaji ni kilaza mwenzako ameona ushahidi na amewafunga kutokana na ushahidi uliokamili kabla hujaongea ukilaza wako humu ujue sheria mahakama zinafanya kazi sio kwa kuwa babu seya ni maarufu basi alawiti watoto halafu sheria impite hata kama ni baba yangu akifanya makosa lazima uhukumiwe kwani kuwa baba ndio hukosei kama ni baba yako ungemuonya ulikua wapi ndio unalalamika sasa eti baba yako na kaka yako kifupi ni WALAWITI na wanastahili kunyongwa kabisaa
DeleteWell said Anonymous 10:08, mtu akikosea aadhibiwe kutokana na sheria sio kuonewa huruma eti kisa ni maarufu. Tatizo letu watz tunaongea sana, asilimia kubwa ya watu ambao hawajaenda shule(wamejazana humu) wanajifanya wao kila kitu wanajua hata kuliko wenye fani zao. Ikiwa ni jambo la kisheria wamo, uhandisi wamo, udaktari ndio maspecialist.Watu kama hawa fuatilia shule zao akiwa amesoma sana ni form iv ama vi
Deleteumeonaee mdau sheria imefanya kazi mnacholalamika nini? kutetea walawiti ona Kapuya anavyotetewa mpaka waandishi na usomi wao wamekashupalia kabinti hata miaka 17 hana kisa kumtetea Kapuya wabongo mnakera mjifunze kuheshimu vyombo vya sheria ndio maana kila siku mnapoteza haki zenu kwa kuendekeza ujinga
Deletena haiwezekani watoto 10 wote wawe waongo,na rufaa zote hizo ziwatie hatiani hawa jamaa watakuwa walilawit kweli
ReplyDeletesheria msumeno
ReplyDeleteHuu ndio upumbavu wetu sisi watz tunapenda kutetea waovu wakati si hatupendi kufanyiwa uovu.Ngojeni watoto wenu wafirwe kwanza halafu wewe umtetee huyo mfiraji
ReplyDeletePoint siku watakayofiriwa watoto wao ndio watakua wakwanza kuandamana
DeleteSio kwamba na wateteta are 100% sure hao watoto wali lawitiwa natambua Mungu waxaxa hacheleweshi malipo ngoja tuone kama kweli wali walawiti wakanye dee kama cio kweli Mungu hawa rehemu.
DeleteTanzania hakuna haki
ReplyDeleteushahidi gan uliojitosheleza mbona hawakuwaita hao watoto wahojiwe, sijui kuna mlango wa siri mbona hawakuonyesha kesi gani blabla ushahidi usioonekana mtu anafungwa tena kifungo cha maisha acheni ujinga kwa akili ya kawaida unaweza kuwalawati watoto kumi we ni mwanaume au ibilisi, demu mmoja tu hoi hao kumi si unakufa kabisa, unaambia yule mwalimu alioambiwa anawapeleka watoto mbona alisema wamfunge yeye kama kweli mbona hawakumfunga maana yeye ni mtuhumiwa namba moja, tz haki hakuna
ReplyDeleteMandela alifungwa miaka 27 na akatoka mshindi zaid ya washind na mpaka leo bado mungu anampa pumzi ya uhai, naimani mahakama inaundwa na binadamu wa kawaida kabsa ambao wanaweza kupindsha au kutumia vizur sheria. Hukumu znazotolewa na wanadam wakat mwingne huwa hazlingani na uzito wa kosa. Ingependeza sana kama na matajir nao wangekuwa wanachuliwa sheria kama wengne mifano iko mingi sana ila wanaohukumiwa ni maskini tu. Hv ni kweli matajir hawanaga makosa ya kufungwa maisha? Hakuna anayeujua ukweli wa jambo hli icpokuwa Mungu na wahucka wenyewe, c mahakama, mashahd, rais, mbunge wala nani... Kama ni kweli walifanya au hawakufanya itafka mahali ukweli utafahamika tu.
ReplyDeleteWadau Anony 11:57am na 2:00 am rudini darasani mtaelimika, poleni kwa kuogopa umande wakati huo
Deletemi ilo nalipinga hakuna mtu mwenye akili zake timamu alawiti watoto akishirikiana na wanae huo ni uonngo kesi wadau tuliifatilia sana na hakuna asiyejua chanzo cha babu seya kubambikiziwa kesi bali watu wanakuwa wanafiki kwa hapa tanzania sheria ziko chini ya watu maarufu hawa majaji walioendesha kesi hii wangekuwa nchi za uharabuni wangepigwa risasi kumbukeni aliyoyafanya ditopile na yaliyomtokea na huyu anayejihita mhe kwa kuwahukumu watu wasiokuwa na hatia sababu ya mapenzi 40 yake itafika mungu hamjui mhe anahukumu yeyote
ReplyDelete