IRENE UWOYA AMPONGEZA JOHARI KWA KUOPOA MZUNGU.

  • Johari ameondoka nchini kuelekea nchini Canada kwa Mzungu wake.
  • Apewa ushauri na kuambiwa atulie, Bahati haiji mara mbili na pia wazungu hawapendi uswahili

Mwanadada Irene Uwoya amefunguka na kuandika ya moyoni kuhusu Johari ambaye amemwita "rafiki yake kipenzi'. Kupitia Instgram yake Irene aka #ireneuwoyaonepieceintown ameandika maneno yafuatayo " Yan wewe ni rafiki yangu kipenzi...bahati haiji mara mbili...sasa ukifika Canada usinisahau...maisha ndo hayo...wazungu hawataki uswahili tuliaaa." na kuambatanisha na picha ya rafiki yake kipenzi Johari kama inavyo onekana hapo chini. 
Hi ndo habari ya mujini na tunamtakia Johari aka #mukeyamzungutobe kila la kheri. 
Hayo ndo maneno ya Johari

Zifuatazo ni baadhi ya comments za wadau baada ya kupokea habari hii

 


Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bora dadangu,ikimpendeza Mungu muoane kabisa. Maisha ni popote. Usimsahau tu Mungu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi kwa nini Wabongo mnashabikia wazungu.Angalieni mange sasa hivi anatunza mzungu.Hilo gari la kufinance wanalipa moja .Chumba Kimoja wanabanaba Watu watatu .Watoto wawili na Zenat .Haya jiko very tiny kisa Mzungu .Angalia usije anza Uza nguo barabarani .My advice be who you are .Mpende Kama nafsi Yako usimchune please work hard be independent .arak upends na please no fake hair it's a big turn off .

      Delete
    2. bila kumtaja mange story hainogi mange mnamchokozaga wenyewe kumbe nilikuwa namchukia lakin nimengundua wabongo bingwa wa kuchonganisha. sasa mange kaja vip alafu mbona wake ya mzungu wengi sikuhizi ho please acha kutuletea jabari ya mange hapa fanya yako

      Delete
  2. Sawa kwa kumpata mzungu,ila kuna dada aliwahi kuniambia ogopa sana wazungu kutoka italy na canada wanapenda ndogo balaa,sasa johari kazi ni kwako tena umeenda huko huko canada,hahahahaaa wacha kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni pouwa lakin maisha ya uzunguni yanaboa kusema kweli, hakuna happiness kabisa.uzuri wake labda ni mfumo wa usafiri uko vizuri sana(hakuna foleni), security ya maisha(hakuna majambazi ya mtutu), magonjwa kama malaria, sijui kipindpindu hakuna.shida ni social life na wakati mwingine ubaguzi

      Delete
    2. Mzungu utamuweza Kama umempenda kwa dhati Kama upo hapo kwa maslahi na mashauzi ya blog yay alishinda mapema it's hard to fake life

      Delete
  3. Sawa kwa kumpata mzungu,ila kuna dada aliwahi kuniambia ogopa sana wazungu kutoka italy na canada wanapenda ndogo balaa,sasa johari kazi ni kwako tena umeenda huko huko canada,hahahahaaa wacha kabisa

    ReplyDelete
  4. All the best hun n be careful

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad