DR WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON AELEZA SIRI NZITO KUHUSU MAREHEMU

Kwenye mahojiano yake ya kwanza mara baada ya kuachiwa toka gerezani kwa kuhusishwa na kifo cha nguli wa muziki wa pop duniani Michael Jackson, Dokta Conrad Murray alielezea kwenye mahojiano aliyofanya na The Mail kwamba, Michael hakuwa baba wa hata mtoto wake mmoja, aliathiriwa na madawa kiasi cha kufikia hatua ya kuhitajika kuwa anavaa condom sababu mkojo ulikuwa unatoka wenyewe kwenye uume wake.

“Unataka kufahamu ni kwa kiasi gani mimi na Michael kwa vile tulikuwa karibu? Nilikuwa nikishukilia uume wake kila usiku. Nilikuwa namvalisha condom sababu mkojo wake ulikuwa ukitoka wenyewe. Michael alikuwa hajua namna ya kuvaa condom, hivyo ilinibidi niwe namvallisha. Kilikuwa ni kitu cha kipekee sana ila aliniamini mimi. Sikumuuwa Michael Jackson, aliathiriwa na madawa, Michael Jackson kwa bahati mbaya alimuuwa Michael Jackson, naamini aliamka na kuamua kufanya aliyozoea kufanya, akajidunga sindano haraka ambayo ilisababisha kumpeleka kwenye hali iliyomfika.’’ 

Alikuwa kwenye majanga mwishoni mwa maisha yake, akiwa na msongo wa kimawazo na kupaniki … Mwishoni, Michael alikuwa mtu aliyekata tamaa. Nilijaribu kumlinda ila mwisho wa siku niliangushwa naye.

Jackson alikuwa ameingia kwenye matatizo ya kuathirika kiakili na kimwili kutokana na ziara yake ya London.’’ Alisema Dokta Conrad Murray.

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Toba! mambo ya wanaume kuvalishana condom!!

    ReplyDelete
  2. Ni fundishe pia kwetu madawa hayana faida yoyote zaidi yakuzalilika tu, tafakali chukua hatua

    ReplyDelete
  3. Enzi ya mja hukoma!

    ReplyDelete
  4. sasa condom alikuwa anavalishwa,ili atombe au?? mana cjaelewa doc apo alimaanisha nini,mana navojua kama unataka kutomba basi,condom inabidi mpenz wako ndo akuveshe,sasa hawa walikuwa wanayao

    ReplyDelete
  5. Alivalishwa kuzuia mikojoz zzzzzzzzz!!!!!zzzszzzzz!zzzszzszzz

    ReplyDelete
  6. Michael kashakufa,hasira za kufungwa,hutasema mengi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. "utasema mengi" au "hutasema mengi"? Maneno hayo yana maana mbili tofauti.

      Delete
  7. daaah!kam kwelii bhasii pesa co kituu utajiri wote ule michael kashindwa ku change uume??

    ReplyDelete
    Replies
    1. angechange vitu vingapi kila kitu katika mwili wake tayari ilikuwa atfisial, ni kansa ya ngozi ndio iliyomuua chezea atficial wewe shwain.

      Delete
    2. pesa kitu gani mungu akiamua kukuita, wewe unaweza ukahamisha milima na mabonde lkn sio kifo nyie, kamua kamua kafa siku zake zimeshafika

      Delete
    3. Atficial ndio nini wewe shule za Kata. Artificial

      Delete
  8. Condom aloitaja ni ile wanavalishwa wagonjwa wakiwa mahututi kwa ajili ya kukojolea inaitwa condom cathedal nenda pale muhimbili maduka ya nje utaikuta inauzwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Condom catheter,catherdal ndio mnyama gani?

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad