JE KUNA UKWELI WOWOTE HAPA: ETI WANAUME WAREFU NDIO UGONJWA MKUBWA WA WANAWAKE

Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake na nyie mnasemaje??
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uwiii,Napenda wanaume warefu umefanya nimmis ngongoti wangu

    ReplyDelete
  2. ndo mpango mzima tufupi tuna matatizo sana vikorofi vle havijiamini....hlf hta kuongozana na mrefu kuna raha sio kimwanaume km n kitoto unakipeleka skuli

    ReplyDelete
  3. sio wanaume warefu ni hiviiii wanawake wanawapenda wanaume wenye mboro ndefu sio vibamia

    ReplyDelete
  4. For sure...wanaume warefu wanavutia zaidi

    ReplyDelete
  5. Jamani ni hivi wanaume warefu wanapendeza wakivaa nguo, wanajiamini bt kikubwa ni kwamba wengi wao wana mboo kubwa au size ya kati kama maumbo yao na hivyo wanaturidhisha wanawake kwenye sita kwa sita na wana nguvu. Vianaume vifupi hata madudu yao ni mafupi ama madogo, halafu vinabaki kukukruka tu wakati wa shughuli utadhani umepakata kitoto kidogo, tena vina gubu hivyo daaah!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una matusi wewe. Hiyo ndefu akikuingizia matakoni inakuwaje?

      Delete
  6. Wanaume warefu ndo mpango mzima

    ReplyDelete
  7. Hakuna cha urefu wala ufupi kinacho mata niufundi kitandani unaeza ukawa mrefu afu mapenzi hujui

    ReplyDelete
  8. WANAUME WAREFU NDIO MPANGO MZIMA,,,,

    ReplyDelete
  9. wanaume walefu wana mboo ndefu na wafupi wana mboo fupi ndio sababu ya wanawake wengi wanapenda mboo ndefu ili wafike kutamu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad