MSIBA WAWAKUTANISHA WEMA, JOKATE

Shakoor Jongo na Musa Mateja
LICHA ya kuwa waliwahi kupokonyana bwana (Nasibu Abdul ‘Diamond’), mwigizaji Wema Sepetu na  mtangazaji Jokate Mwegelo wamekutana katika msibani na kupiga stori.

Kwa mujibu wa meneja wa Wema, Martin Kadinda, Jokate aliibuka Jumanne iliyopita usiku kwenye msiba wa baba Wema uliochukua nafasi nyumbani kwao Sinza-Mori jijini Dar na kumfariji hadi usiku mnene.

“Fani ya urembo na ubunifu ni fani za watu makini sana ambao chuki kwao ni mwiko, nimefurahishwa na kitendo cha Jokate kuja msibani kwani anaonyesha dhahiri kuwa ni mtu mwenye huruma na imani,” alisema Kadinda.

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. well done jokate huo ndio ubinadamu mambo mengine ni part of life duniani hapa tunapita tu

    ReplyDelete
  2. Nimeipenda sana. Wanaume wenyee tuko kiduchu wacha tuendelee kuwamiliki.

    ReplyDelete
  3. Well done joketi we si mswahili ni mzunguuuu toto la kishua.

    ReplyDelete
  4. Achana na mibazazi ya bongo muvi ni miswahili mitupu ndio imejaa bongo muvi,kwani mtu akikukosea ni lazima urudishe kisasi?bongo movie ovyoooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na ni mishirikina balaaaaaa kutwaaaaa Kwa waganga.mpyuuuuu

      Delete
  5. Jamani elimu ndo kila ktu....kate ni msomi,elimu yake inamsaidia sana....sio wale wauza nyuchi,midomo michafu,elimu hakuna,tabia mbaya,still wanaleta nyodo...gud girl kate...much luv...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bongo movie wooote hakuna aliyefika chuo,woooote ni form four and six na ni division four na zero.washukuru Mungu kwenye Sanaa hakuna CV.

      Delete
    2. Halafu hii mijiitu ya bongo mavi ni mizandiki na mishirikina.Mbona Wema alivyowaaluka kwenye Futari wakati anafuturusha hawakumsusia?ilijazana kama siafu kwenda kujaza mitumbo yao tu.Wasijifanye wao ndio Mungu kumuhukumu mwenzao.Dunia hapa tunapita tu.Huyo kiongozi aliyehamasisha na kutuma message hana akili yaani ni mbululaaa.

      Delete
  6. Anonymous wa mwisho umeniacha hoi,wangedaiwa CV aibu,huyo binti Mwegelo,ameonyesha ukomavu wa akili,mabinti wengine igeni mfano wake esp hao bongo movies,manake kutwa kucha ni mabifu tuuuu,hayaishi,na hamna la maana ni issue za mabwana tu,! hovyo kabisa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Well spoken. Umenifuraisha sana kwa comment yako

      Delete
  7. elim inasaidia sa hawa bongo movie shule yenyewe ya kuungaunga zaid uswahili,umbea,majungu,wivu,ushirikina na mengine kama hayo!hapo unategemea nn?kiukwel mm huwa wananikera sana na misifa yao!kifupi hawako civilized japo wanajiona hivyo!

    ReplyDelete
  8. Tafuteti habari nyingine tumechoka na habar zao wasenge nyie

    ReplyDelete
  9. We Wema na wewe usiwe unabagua misiba.
    Hlf hii habari ya bongo mavi na msiba wa wema tumeshachoka

    ReplyDelete
    Replies
    1. huwezi kwenda kwenye kila msiba, thats true.

      Delete
  10. mmekazana elim,elimu,,,mbona joket hakutumia elimu anapoiba penzi la mwenzake? Afu kwa nanai alimkosea mwenzake? C yeye?sema ameenda kuomba msama kwa njia ya msiba

    ReplyDelete
  11. wote malaya tu,wanajal wanapenda hela2

    ReplyDelete
  12. hongr jokate kwa kuwa n roho y huruma ndo ubinadamu huo

    ReplyDelete
  13. Hawawez kupatana katu joketi mwiz sana wa waume wema be careful

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwendeni zenu uko,Jokate na wema mko juuu

      Delete
    2. Hivi dunia ilivyochafuka mtu unaweza kujigamba kwamba wewe ni mwizi wa Wanaume ,wabongo mpaka kuja kujielewa juu ya hili gonjwa itachukuwa muda sanaaaaa

      Delete
  14. Jamani Ebu nijuzeni eti kajala anatembea na mume wa nani vile....,salaleeeeee,duuuuuuuu!!!!!!!!!kweli nimeamini kizuri kula na mwenzio uchoyo wa nini?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad