KAPUYA AMCHAMBUA DENTI ALIYE DAI KABAKWA"SI MWANAFUNZI NI TAPELI WA KUTUPWA"

The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda, lilimsakanya Kapuya mpaka kijijini kwake Kaliua, Urambo, Tabora na kwa juhudi hizo, sasa linakuwa la kwanza kuzungumza na kiongozi huyo ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu.
Akifunguka kikamilifu kuhusiana na ‘saga’ hilo, kwa sauti imara bila wasiwasi, Kapuya alisema kuwa anamjua mwanafunzi husika, kisha akasema:
“Kuna watu wanamtumia. Hili suala limetengenezwa ili kuniharibia malengo yangu.”
ACHAMBUA UTAPELI WA MWANAFUNZI
KESI A; Mwanafunzi aliyedai kubakwa, alinukuliwa mitandaoni akisema kuwa yeye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Turiani, Magomeni, Dar es Salaam.
Kapuya anapangua: “Huyo muongo, alinifuata kuniomba ada ya chuo. Aliniambia anasoma Chuo Kikuu cha Tumaini.”
KESI B; Mwanafunzi huyo alisema anasoma kidato cha tatu na alibakwa mara mbili na mheshimiwa huyo.
Kapuya anajibu: “Achilia mbali yeye, mimi sijawahi kubaka katika maisha yangu yote. Kuhusu kidato cha tatu, yeye mwenyewe aliniambia anasoma Tumaini University na aliomba nimlipie ada ya miaka miwili ambayo ni shilingi 3,000,000.
“Kwa mara ya kwanza nilimpa shilingi 2,300,000 na baadaye nilimpa shilingi 700,000. Kipindi hicho nilikuwa sijagundua kama ni tapeli, ila baadaye nilipogundua utapeli wake, nilihakikisha hanisogelei. Hapa nawajua watu wengi aliowatapeli.”
Kuthibitisha anachokisema, Kapuya alitaja jina la mkurugenzi wa benki moja nchini (jina tunalihifadhi) kuwa alishalizwa na mwanafunzi huyo.
KESI C; Denti huyo alidai ana umri wa miaka 16.
Hilo nalo Kapuya analipangua hivi: “Hata mimi mwanzoni aliponifuata nilijua ni binti mdogo, yatima anayehitaji msaada lakini ukweli ni kwamba yule ni mama mzima na ana mtoto. Ameshazaa yule.
“Hasomi popote, Mungu amemsaidia kuwa na umbile dogo ambalo analitumia kuwatapeli watu kwamba ana umri wa miaka 16, ni tapeli mkubwa, tena wa kuogopwa kabisa.”
KESI D; Mwanafunzi mwenyewe alidai kuambukizwa Ukimwi na kiongozi huyo aliyewahi kuongoza wizara mbalimbali nchini.
Kuhusu hilo, Kapuya alicheka kidogo halafu akajibu: “Sina Ukimwi, afya yangu ipo imara sana. Kama yeye ana Ukimwi, basi aseme mahali alipoutoa, siyo kusema uongo na kutaka kunichafua mbele ya jamii ambayo inaniheshimu.”
KESI E; Denti amedai kutumiwa SMS za vitisho kwamba mheshimiwa huyo amedai atamuua.
Hivi ndivyo Kapuya anavyojibu: “Sijawahi kutuma SMS za vitisho. Unajua haya mambo nashangaa sana, nipo huku kijijini Kaliua, kwa hiyo mambo mengi nafanya kuambiwa kwa sababu sipati magazeti kwa wakati.
“Nina laini tatu, Tigo, Airtel na Vodacom, hata siku moja sijawahi kutuma SMS ya kumtishia mtu kumuua. Hao wanaomuamini, waendelee kumuamini huyo tapeli lakini lazima nimfikishe kwenye vyombo vya sheria.”
KESI F; Yapo madai kuwa Kapuya alitishia kujiua baada ya kugundua ameshikwa pabaya na denti huyo.
Hilo nalo Kapuya alilijibu hivi: “Nimesema sijatuma SMS yoyote, wala siwezi kutishia kujiua. Nitishie kujiua kwa lipi?”
KESI H; Miongoni mwa madai yaliyotajwa ni kwamba Kapuya anajindaa kuwa waziri mkuu baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Kuhusu hili, Kapuya alicheka akasema: “Nilimwalika Lowassa (Edward) jimboni kwangu. Akiwa huku na maeneo mengine ya Mkoa wa Tabora, wananchi walisema mimi ndiye nitakuwa waziri mkuu wake.
“Yalikuwa ni maneno tu na mimi nilianza kuyasikia kipindi hicho. Kwa hiyo sijawahi kutamka popote kuwa mimi najiandaa kuwa waziri mkuu.”
MTAZAMO WAKE
Pamoja na kupangua madai yote hayo, Kapuya aliongeza kuwa yapo makundi mawili ambayo anayahisi kuwa ndiyo yapo nyuma ya denti huyo ambaye yeye amemwita ni mama mtu mzima.
Alisema: “Kuna majambazi fulani alikuwa anawatumia kunishawishi niwape pesa, baadaye waligombana. Wale majambazi walimwambia watamuua ikiwa yeye ataniendekeza.
“Nahisi hao ndiyo yupo nao kundi moja kuhakikisha wananichafua baada ya mimi kugundua uhuni wao ambao walikuwa wananifanyia. Nitakapoanza kuwashughulikia kisheria, itajulikana tu nani na nani anahusika nyuma yake.”
Aidha, Kapuya alimtaja mwanasiasa mmoja mwandamizi nchini (jina tunalo), mwenye asili ya Mkoa wa Tabora, mwanachama wa CCM kuwa anamhisi yupo ndani ya mkakati huo wa kumchafua.
“Ni hivi, … (anataja jina la mwanasiasa huyo), ameshapandikiza vijana wawili ili waniangushe kwenye Uchaguzi Mkuu 2015. Hao vijana wametengeneza tovuti ambayo imekuwa ikinichafua sana.”
MADAI YA MSINGI
Mwanafunzi huyo ambaye Kapuya amemwita ni mama mwenye mtoto, aliripotiwa na mitandao mbalimbali ya kijamii akidai kubakwa kisha kuambukizwa Ukimwi na kiongozi huyo.
Katika madai yake, mwanafunzi huyo alisema kwamba zahama hiyo ilimpata baada ya kwenda kwa Kapuya kuomba msaada wa ada ya shule ndipo kiongozi huyo alimgeuzia kibao.

chanzo:globalpublishers
Tags

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa hapaaaaa,naona kishanuka cjui yupi mkwel....ila yote kwa yoye i hp sheria ikitumika vema itafahamika upi mchele na chuya ziko wapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mshafanywa maboya

      Delete
    2. Huyu mwandishi naye fala sana tu, hapo kuna swali moja ama kaliacha makusudi au hajui kazi yake.Swali ni hivi, Kapuya na huyo dent au mama waliwahi kutiana? walikuwa wapenzi? Tukipata jibu hilo basi hayo mengine rahiiisi, Kapuya asiwe mjinga kuzaa sio issue, issue ni kwamba anamiaka 18? Kama wa kwanza alibaka akamzalisha haihalalishi Kapuya kubaka pia, wanasheria semeni hapo, eti mtoto akibakwa mara ya kwanza na bado yupo under 18 wanafuata hawabaki?

      Delete
    3. Yap mdau, muh Kapuya tunachotaka kusikia toka kwako ni jambo hilo tu.Huyu binti umemtomba ama la.sio porojo na ni vema ueleze mwenyewe jambo hili sio kutumia wapumbavu kama Malecela na vibaraka wengine

      Delete
  2. jaman fuatlien habar kwa kina huyo bint sio mwanafunzi ni mama wa mtoto mmoja ila anaumbo dogo ikimwona unaweza kusema mwanafunzi ni bonge la tapeli anayetumia umbo lake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa umerudia habari ili iweje, kwani si tushasoma hapo juu

      Delete
    2. we kuma umekosa cha kuandika inaonekana unarukiarukia habar msenge wewe

      Delete
  3. Kuna watu wanakula kila siku kwa mbinu za kitapeli, na wanafanikiwa,
    wakijulikana, wanatumia mbinu chafu,
    na nyie mmezidi kutapeliwa na watu wa aina hiyo,
    Saidia ndugu zako,
    saidia sehemu za IBADA,
    itakusaidia sana.

    ReplyDelete
  4. haya bana, kibao kimegeuka speed mia ishirini shaaaa. huyo mwana ccm alotajwa wala msifiche jina kuweni wazi tu maana tunamjua ni Samwel Sitta. Kidumu chama cha mafisadi aka wenye nchi

    ReplyDelete
  5. bado utata mtupu.. sasa wewe mheshimiwa ulitoaje pesa bila kuwa na uhakika kuwa ni dent wa chuo? na vp kuhusu kumtia huyo dent unayesema alikudanganya wa chuo?

    ReplyDelete
  6. watu wangine makuma kweli sasa mi kurudia inakuhusu nini

    ReplyDelete
  7. endeleeeeni kupewa porojo wanajitetea hao,hizo ni porojo za siasa,wake up wananchi.kwa huruma gani kapuya aliyokuwa nayo ya kumsaidia huyo binti?wake up wananchi.

    ReplyDelete
  8. tushike kapuya? mosi, mwanzo ulikana kumjua,sasa unadai unamjua na ulimsaidia pesa tushike lipi?pili, ulisema line inayotumika kumtishia hy bint uliigawa muda mrefu lakini gazet moja lilikupigia likakupata kwa line hy hy,je uliigawa kweli?na ulimpa nani si umtaje?sheria ya mawasiliano imekataza kugawa laini ulosajiri kwa jina lako hvy bado unastahili kushitakiwa!,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hatudanganyikiiiiiii denti alivyotembea nawe alikuwa 14.

      Delete
  9. Kapuya acha fix kusema ulimsaidia hiyo unayedai dent fake haiingi akilini kbs kwanza wewe na mkuu wa Udom mlisoma pamoja wote kwa wakati fulani mlikia mnafundisha pale udsm sio rahisi kushawishiw kilahiso hivyo na kutoa m3 hivo hivi wakati humjui

    ReplyDelete
  10. Kapuya ungekua mme wangu ningekutandikaaaa naona unachezea watu wazima kama watoto

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tehe teheeeeeeeeeee!uwiiiiiiii.

      Delete
  11. pamoja na yote hayo lakini pia huyo the so called mtt ana lake jambo!tuache kumtukana mzee kapuya hata huyo bint anajua alichokuwa anafanya!kama si kutonywa kuwa buzi lake lina ngoma asinge acha kulichuna,tamaa mbele mauti nyuma asituchanganye hapa kwakutaka huruma ya watu!wakat anapewa minoti ilikuwa burdaaaani sasa ndo anaona noti chungu!ikipenda boga penda na ua lake bibi we!!!.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Big 5 mdau hapa changa la macho tu wapenzi hawa bwana so kusikia buzi lina ngoma ndo analeta mbwembwe. Kabaaaaaang

      Delete
  12. THIS IS JUST A POLITICAL GAME,nothing else,and probably,was a long time plan.hakuna uhalisia kwny maelezo ya binti yule.YOU POLITICIAN BE CAREFULLY.a girl is probably an international prostitute.pamoja labda na weaknes za mhe.lakini ishu hii is well cooked aiseeeee.

    ReplyDelete
  13. Sikieni kapuya amekiri kumjua huyo binti au mama anavyomwita yeye sasa mnatukanana bila sababu,njia ni hii1,kwa kuwa huyo binti yupo achukuliwe akapimwe kama ana ukimwi,2,kapuya nae apimwe3,ichunguzwe ni kweli ni mwanafunzi?au ni tapeli kama kapuya anavyodai,tuachane na dhana ya kuhukumu wakati humu ndani hakuna hata mmoja anayejua hii stori,mmeipokea tu kwenye mtandao,lakini kwa kuwa imewafikia kwa njia hii basi tuweni wavumilivu kusubiri ukweli maana yote yanawezekana,mzee kabaka au mdada ni tapeli tusihukumu jamani

    ReplyDelete
  14. juu ya suala hili mheshimiwa kapuya uchunguzi wa kina unatakiwa ila kwa haraka haraka kuna kajiukweli kamejificha japo kwa mbaaaali ila tuache sheria ifuate mkondo wake lakini 3milioni kwa mtu usiemjua mhhhh?

    ReplyDelete
  15. Global wametoa habari za huyo dent

    ReplyDelete
  16. mwenyezi mungu tu ndiye anayejua ukweli hila kama ni ukweli ipo siku ukweli utajulikana. Wapo watu ambao ni wanaambukiza ukimwi kwa makusudi huku wakijua hali zao hii si kitu kizuri, wengi wanatake advantage ya wasichana wadogo hasa wale ambao wanashida, THIS IS VERY BAD. Eeh Mwenyezi Mungu tunusuru wana wako na watu wa aina hii

    ReplyDelete
  17. Kama akumtomba alijuaje kama ni mmama wa mtoto mmoja

    ReplyDelete
  18. Madingi haya ya ndio zao yanagonga vitoto alf yanaleta story mbovu!!kapuya katomba huyu dogo sema dogo kaona design dogo kahama chaka ndio maana anamjambisha..

    ReplyDelete
  19. na huyo mtoto huenda akawa wa kapuya alimtia akampakojolea binti akapata mimba

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad