DIAMOND ATANGAZA KAZI ....UWE TAYARI KUSAFIRI NAE KWENYE SHOW ZAKE

Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...?
NOTE:-
1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa....
2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai fanya... (kushoot na 
Kuedit)
3)Quality ni kuanzia 1080 na kuendelea...
4)Age, kuanzia Miaka 20 hadi 35..
5)M'bunifu, Smart na uwe tayari kusafiri popote saa yoyote...

Kama unaamini unasifa hizo wasiliana nasi sasa kwa email hii diamondplatnumz@gmail.com ama kwa namba ya simu +255755700400
Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wataweza kunilipa $-8000 kwa wiki!?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Musa Marie unachekeshaa umekomenti kwenye issue ya Vanessa mdee kwamba hujui the meaning of follow,sasa kuedit na kushoot mapicha hutaweza?

      Delete
    2. Afu, huyu musa Marie sidhani hata kama anajua maana ya hiyo alama$ au kaandikiwa

      Delete
    3. Kumbe Mussa Marie ni mburulaaaaaaaa kwikwikwi.....................

      Delete
  2. HANA PESA YA KUNILIPA. AENDE MANZESE KUNA WASHKAJI KIJIWENI ATAWAPATA

    ReplyDelete
  3. Hujataja malipo ni kiasi gani.

    ReplyDelete
  4. Mbona anataka kupaa

    ReplyDelete
  5. Ajiri watu na mkataba isiwe juakali

    ReplyDelete
  6. Diamond Anaweza Wewe!Cha Muhim Ni Je Utaweza Kufanya Hyo Kaz?

    ReplyDelete
  7. Wa bongo bwana! Hiyo kazi bado hujapata unauliza mshaara.inshort kama hizo sifa unazo jitokeze kwanza mambo ya salaries utajua huko huko

    ReplyDelete
  8. Mwajiri Penny ili uwe unasafiri nae

    ReplyDelete
  9. Peny C Kaajiriwa Tayari Jaman.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aache hiyo kazi aambatane na mumewe kuepusha vishawoshi,tunza mumeo asitoke nje bidada ohooo

      Delete
  10. Mawivu tuu kuona kijana mwenzenu kapiga hatua nyie wachawi mnataka arudi nyumaaa anawezaaa jamann km una sifa simuendeee kaz ngumu bhanaaaaa

    ReplyDelete
  11. Hizo ndizo ajira jamani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad