KIJANA ACHINJWA KAMA KUKU KISHA WACHINJAJI WAKAONDOKA NA KICHWA CHAKE-PHOTOS


Baadhi ya askari polisi wakitelemsha maiti ya mtu ambaye ameuawa kwa kukatwa kichwa na watu kutoweka na kichwa chake usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuhifadhi katika hchumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali ya mkoa iliyopo mjini Sumbawanga.

Mwenyekiti huyo aliongeza kuwa watu hao baada ya kufanya mauaji hayo walikwenda kumtupa kwenye eneo hilo ambapo asubuhi ya kuamkia leo ndio kiwiliwili chake kilibainika kuwepo hapo lakini hakina kichwa kwani waliondoka nacho.

Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo hili hatua ziweze kuchukuliwa

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bwana yesu wasamehe hawa watu waliofanya ukatili huu, dunia inaelekea wapi mungu wangu!

    ReplyDelete
  2. Mungu wangu tunaelekea wapi jamani?

    ReplyDelete
  3. tunapaswa tumuombe allah (s.w) kwa jitihada zetu zote maana hii sasa ni hatari binadamu tumekosa huruma kwa kiwango cha hali juu sana, ila naimani kwa hili jeshi la polisi litafanya juu chini kuhakikisha waliotenda hili wanashikwa ili sheria ichukue mkondo wake.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad