KWA WIMBO HUU MPYA WA WALTER CHILAMBO NAZIDI KUAMINI KUWA BSS HAWAKUFANYA MAKOSA KUMPA USHINDI

Nadiriki kusema kuwa toka BSS ianzishwe sijaona mshindi kuwa ni Mwanamuziki wa Ukweli ...Wengi wamepita na kuchukua ushindi na kutoweka kabisa katika ramani ya muziki hapa Bongo ...Ila siku Aliposhinda huyu Dogo Walter Chillambo Angalau nilijisemea kuwa Kuna kipaji humo.....

Leo nimesikia huu Wimbo ambao ameutoa Video kwanza nikakumbuka siku aliposhinda...Ki ukweli wimbo ni mkali sana wa kumtoa nyoka pangoni ...Embu na wewe Tazama hii Video alafu Ucomment hapo chini..
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good song,nice video! Thumb up walter

    ReplyDelete
  2. Nice song walter

    ReplyDelete
  3. Wimbo mzuriiiiiii

    ReplyDelete
  4. Wimbo mzuriiiiiii

    ReplyDelete
  5. Ney Wa Mitego Aendelee Kubweka tu.!

    ReplyDelete
  6. Big up! Sana kijana hatua nzuri sanaa

    ReplyDelete
  7. Napenda xn anavyobadilika kwa sauti yake smtym nzito smtym soft yaaaan duuuh muremure babako!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad