ALICHOKIANDIKA KIONGOZI WA KUNDI LA WAASI WA M23 KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK MUDA MFUPI ULIOPITA
9
November 02, 2013
Kwa muda mufupi sikupatikana kwenye mutandao wa facebook na kwenye simu, sababu nilikuwa mahali hakuna network, kwa sasa nimefika mahali kuna network, Mutaanza pata habari kwa wakati. hatukupigana, tulijitosha katika maeneo zetu bila kupigana, silaha zetu zote tulienda nazo hakuna yenye tuliaca. Ingelukuwa tulikimbiya hatugepata wakati ya kubeba bitu yetu. sasa mutu mwenye anayuwa fanya analyse, aifanye sasa. 1 kwa nini tilijitosha mumaeneo yetu bila kupigana? 2 Tulienda wapi? 3 Tutabakiya kwenye tulienda ama tutarundi, 3 Mbone FARDC haitufwate kwenye tuko? 4 kwa nini Kabila ameitika kuya zungumuza na japo kuwa alisha tushinda? Mwenye kicwa yake haitumike muzuri njo anaeza fanya fete eti M23 imeshindwa. Kwa marafiki, tuko tena tuko. Twasubiri kyenye kitatoka Kampala kwenye mazungumuzo, kama hakuna kizuri kinatoka huko. Na FARDC FDLR, NA MONUSCO inasubutu kuanza Vita tena, PALE MUTAJUWA SISI NI WANANI. — at Bunagana, Democratic Republic of the Congo.
Wameshashi hayo ni maneno tu umoja wamataifa tumieni ndege zisizo na rubani kuwa angamiza m23 wote
ReplyDeleteJamaa wanajiamini sana!!hilo ni tatizo kubwa sana kwa serikali yao!!wajipaange vyema kwani wengi wanaoathirika ni raia waio na hatia
ReplyDeleteKweli batalokota benyewe ku nyavuu
ReplyDeleteOh my god, umenikumbusha mbali Sana wewe, hii ilikuwa Ni kauli aliyokuwa anatumia Sana marehemu kocha WA timu ya pamba wana tupwisa lindanda.
Deletekwa kweli wakati huo timu ya pamba ilikuwa inatisha.
BALISHALOGOTA BENYEWE KUNYAVU!
DeleteMmeshashindwa vita, hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo.Kama mpo sawa mbona mnakimbia na ngome zenu kutekwa?Mlikuwa Goma sasa hivi mko wapi?Mpakani mwa kongo na Rwanda, chezea nanii wewe.
ReplyDeleteAbajuagi vile sis 2ko bakali kwa mubhunduki batachoka wenyewe
ReplyDeleteKwa kweli hayo majina ya viongozi wa m23 sio majina ya kikongo ni majina ya kinyarwanda kiasi ambacho raisi kagame museven ndio wenye vita vile vikishikiliwa na mmarekan pamoja na mbelegi jaman wafrica anaesema tupo huru labda kutembea ndani ya nchi zetu bt kwa upande wa freedom bado kabisa
ReplyDeleteHahahahaahah Mmesanda
ReplyDelete