MALAWI KUNA KITU INAKITAKA TOKA TANZANIA, RAIS WAKE ATANGAZA MKOA WA RUVUMA NA WANANCHI WAKE NI MALI YAKE

RAIS wa Malawi, Joyce Banda ametajwa kuendeleza chokochoko baina ya nchi yake na Tanzania, huku sasa akidaiwa kutumia redio na runinga za nchini mwake kutangaza kuwa mkoa wa Ruvuma, viongozi na wananchi wa ukanda wa Ziwa Nyasa ni mali yake.
Aidha, amesitisha safari za meli ya mv Ilala iliyokuwa ikifanya safari kwenye Ziwa Nyasa kusafirisha mazao na wananchi wa ukanda huo upande wa Tanzania.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa soka wa Mbambabay jana, Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba, alisema Rais Banda ambaye aliibua upya mzozo wa mpaka baina ya nchi hizi mbili, kuwa ni mkorofi kutokana na kufanya vitendo vinavyoonesha uhusiano baina ya nchi hizi mbili kuzorota.
Komba alibainisha vitendo hivyo mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akisema imefika mahali Rais Banda anapotosha ukweli kuhusu mpaka kati ya nchi hizo mbili na kudai sehemu ya mwambao wa Ziwa upande wa Tanzania ni yake.
Mbunge huyo alisema jimbo la Mbinga Magharibi ambalo ni Wilaya ya Nyasa, wanasikiliza matangazo ya redio za Malawi, na anazitumia kupotosha umma kuwa ukanda wa Ziwa Nyasa ni mali yake na wananchi wanaamini hivyo.
Rais Banda anatangaza kupitia vyombo vya habari vya nchi yake ambavyo vinasikika vizuri katika wilaya hiyo kutokana na wilaya ya Nyasa kutopata mawasiliano ya redio na runinga za nchini. Komba alisema kutokana na wilaya hiyo kukosa mawasiliano ya vyombo vya habari, wananchi wake wanakosa kusikiliza matangazo zikiwamo hotuba za viongozi wa Taifa.
Wananchi wanakosa kusikiliza matangazo zikiwamo hotuba ya Rais Kikwete ya kila mwezi na hotuba za viongozi wengine wa kitaifa wakiwamo Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
“Kutokana na kukosekana usikivu huo, Rais Banda anatumia nafasi hiyo kutangaza kuwa viongozi wote wa wilaya na mkoa na eneo lote ni mali yake,” alisisitiza Komba. Aliongeza kwamba watu wote walioko kwenye mkutano huo isipokuwa Katibu Mkuu Kinana, akiwamo Dk Asha-Rose Migiro ambaye alizaliwa Mbambabay wote ni mali ya Rais Banda.
Mbunge huyo alisema wananchi wa eneo hili nao ni Watanzania wanaostahili kusikia na kupata habari za nchi yao, badala ya kusikiliza nyimbo na matangazo ya Malawi ambayo yanakuwa na ajenda zake.
Mbunge Komba alimwomba Katibu Mkuu Kinana kwenda kuhimiza kutekelezwa haraka kwa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kuleta meli ili kuwa na usafiri wa uhakika wa mali na wananchi katika eneo hilo.
Kinana alisema ahadi ya meli ya Rais, hiyo ana uhakika itatekelezwa na kufafanua kuwa meli tatu zinatengenezwa Korea Kusini na zitakapokamilika ya Ziwa Nyasa itapelekwa kutoa huduma.
Alisema baada ya Banda kuondoa meli hiyo wananchi wa Mbambabay wanatumia boti dogo kusafirisha abiria na mizigo, hali ambayo inatia shaka.
Kinana alisema amesikia kilio cha Mbunge Komba, kwamba ahadi ya Kikwete itatekelezwa ili kuwapa wananchi usafiri wa meli, ingawa itatumia muda kutokana na kuhitaji muda mwingi kubuni na kutengeneza

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania ni nchi kubwa sana ndio maana sehemu nyingine kama huko Nyasa, Kyela na kule kigoma ni vigumu mno kwa huduma za kijamii kufika.Hata wale wanaofanya kazi serikalini wakipelekwa huko hujiona kama wamesuswa.Hivyo basi pelekeni huduma bora za kijamii ndio tung'ang'anie hayo maeneo na kama haiwezekani tuwaachie nchi nyingine wayachukue sisi si tumeshindwa kuyahudumia

    ReplyDelete
  2. Uyo atakua ananyege2 anatafuta bwana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mm nilihis hivyo huyu mama minyege imezid.uwiiiiii Sijui snamtaka presidar we2 . kwen hana mume huyu mama?

      Delete
    2. hili swala la huyu mama kuzidiwa na nyege linaukwel,mwanamke km hapigwi ile kitu vzr hadi akafika alwayz anakua na stress! mgomvi bila sababu ss huyu mama itakua hatombwi vzr!cjui anamtaka JK?? ila jimama lenyewe bayaaaa.

      Delete
  3. Wanasiasa wa Bongo bwana siasa ichwala kila mara sasa hata kama akitangaza hivyo itasaidia nini eti unalalam kuwa hamna hata radio fm mnasikiliza radio za malawi huo ni ufala wenu na uvivu wa kuona fursa na kuzitumia hau ndo tuamini kuwa huko chini ni ngoma na ngono kwenda mbele hala wewe kaptain mstaafu kama wewe unalia unashindwa ktutumi connection zako na number moja kuanzisha hata ngoni fm piga kimya na wanachi wa huko wasikuchague tena mana wewe mheshimiwa sana ni sehemu ya tatizo Tz ya leo hatuhitaji viongozi sampuli hii ya Komba bure kbs

    ReplyDelete
  4. ka inchi kenyewe kanahemea oxygen saidizi kwa umasikini bado kanajaribu uchoko, Malawi naona mnahitaji mume wa kuwao mmlelewe khaaa

    ReplyDelete
  5. Presider Kikwete msikilize huyu mama au unangoja akwambie live kama ana taka mpini....ni nyege tu ndio zinamsumbua kama vp mpe mpini aunyonye babaa

    ReplyDelete
  6. nyege mbaya sana!..ona hili limama sijui wamelipaje uraisi jitu kama hili,JK tombaaaaaaa huyu

    ReplyDelete
  7. Hii habari ni ya kichochezi na kizushi haina ukweli wowote

    ReplyDelete
  8. Ukwel amesema mi nakaa mbamba-bay ziwa nyasa napata radio malawi,sukari malawi,mafuta ya taa,petroli,dizel ya malawi vi2 muhmu ving na2mia vya malawi mpaka hosp .je jk atasema mkoa wake ule.

    ReplyDelete
  9. Wee nawe una nyege sasa c uko mpakani

    ReplyDelete
  10. wangoni tnajua kutomba ndo mana anattaka. bora kiongoz c komba tu na

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad