MANAIKI APIMA UKIMWI BAADA YA PICHA ZAKE AKIWA NA WASICHANA MBALI MBALI KUVUJA MTANDAONI..MAJIBU HAYA HAPA

Ama kweli acheni mungu aitwe Mungu Msanii aliyeshika ustaa namba moja Tanzania kwa skendo za picha za utupu Manaiki Sanga " The Don" amepima gonjwa hatari la UKIMWI na vipimo vimeosha hana kabisa dalili zozote za ugonjwa huo huku wanawake kadhaa wakifanya sherehe kwa tukio hilo.
XDEEJAYZ ambayo imenasa cheti cha Manaiki ambacho kinaonesha alipima tarehe 13/9/2013 kwenye Hosptali ya Magomeni huku akishuhudiwa na jamaa na marafiki.

Hata hivyo katika hatua nyingine inadaiwa kuna staa mmoja ndiye aliyemlazimisha Manaiki kwenda kupima UKIMWI ka makubaliano kama ataonekana mzima basi atampa penzi hivyo ilimlazimu Manaiki kufanya hivyo bila hiyana.

Taarifa za Manaiki kugundulika hana Ngoma zilianza kusambaa mji mzima baada ya kuvuja hali iliyowafanya mabinti mbalimbali walipitiwa na msanii huyo kufanya sherehe " Unaambiwa bmara baada ya taarifa kuvuja kuwa Manaiki hana Ukiwmi wasichana walifurahi sana huku wengine wakiangua vilio kwa furaha kutokana na uvumi wa awali kuwa huenda Manaiki alikuwa sio mzima ndioa maana aliamua kutembea na wanawake wote hao.

Manaiki hadi sasa anaendelea kushikiria vichwa vya habari kwenye mitandao ya kijamii na magazaeti pendwa kwa kashfa ya kutembea na wanawake zaidi ya mia nane bila kinga na kupiga nao picha za utupu kisha kusambazwa mitandaoni.
XDEEJAYZ ilimtafuta Manaiki Sanga kupitia simu yake ya mkono na kwa bahati nzuri alipatikana na kutoa kauri " Ndiyo nimepima kwa hiari yangu si unajua kujua afya yako ni kitu cha msingi katika maisha hivyo haikuwa shindikizo la mtu mimi mwenyewe niliamua tu kufanya hivyo" Alisema Manaiki ambae yuko Jijini Arusha kimaigizo

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uzinzi na Mungu Wapi na Wapi?

    ReplyDelete
  2. Hicho cheti ni chaku forge hata wewe ukitaka cheti km hcho nitafuta then upabilsh kuwa huna HIV

    ReplyDelete
  3. lini aliwahi kuwa star na boxa zake za nylon bei rahisi! kamwambie naongea naww bloger akitaka kupiga picha uchi nakuzisambaza avaage boxa zakueleweka sio hizo za mafungu! wachafu yy na madem wake nao wanavichupi vya elf1 kuhitukanisha tu!

    ReplyDelete
  4. Halafu nan kasema huyo jamaa ni star?

    ReplyDelete
  5. mdau hapo juu umenichekesha ni kweli boxer za mafungu hata mm niliona nikajisemea mtu mwenyewe hata boxer tu ya maana hana mwili wenyewe mgumu/umekomaa kama gogo hata kama mazoezi!! kifupi hana mvuto pamoja na hao mabibi zake!

    ReplyDelete
  6. Mdau umeongea point yaani Boxer zenyewe Nylon za mafungu ustaa wa wapi?

    ReplyDelete
  7. kuma 2huyo mshamba anayelimbukía ujanja wamjini" ana ustar gan huyo" bado mbulula" ningekuwa karibu naye ningempiga shaba " ndio maana diamond alimzurumu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad