MAZITO:MSIBA WA BABA WEMA WAMUWEKA RAY PABAYA. ADAIWA ALIWAZUIA WATU KWENDA MSIBANI,,MWENYEWE ASEMA HAYA

Klabu ya Bongo Movie ambayo inaundwa na baadhi ya wasanii wakubwa wa filamu nchini imepasuka katikati kisa kikidaiwa kuwa ni lile tamko linalodaiwa kutolewa na mwenyekiti wa klabu hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kuwa mwanachama yeyote wa kundi hilo asitie miguu kwenye msiba wa baba mzazi wa mwenzao, Wema Sepetu, marehemu Balozi Isaac Sepetu.

Tukio hilo la katazo lilitokea wakati wa maombolezo ya kifo cha mzee Sepetu kilichotokea Oktoba 27, mwaka huu katika Hospitali ya TMJ kwa ugonjwa wa kisukari ambapo msiba ulikuwa nyumbani kwake, Sinza Mori jijini Dar es Salaam.



Ray alaumiwa sana.



Kufuatia madai hayo, baadhi ya wasanii kutoka klabu ya Bongo movies (majina tunayo) wamekuwa wakitoa lawama zao kwa Ray huku wengine wakidai wamejitoa kwenye kundi hilo kwa sababu halina umoja na limejaa unafiki.

Maneno hayo yalianza kusambaa baada ya Wema kumaliza kumzika baba yake Oktoba 31, mwaka huu mjini Zanzibar.



Wataka kumjadili



Habari za uhakika zinasema kwamba, wasanii waliotangaza kujiengua klabuni humo wameshamuomba Ray aitishe kikao cha dharura kwa ajili ya kuzungumzia hatua yake ya kuwapiga marufuku wasanii hao kutoshiriki msiba wa mzee Sepetu huku akijua wema wa binadamu unapatikana kwenye kushiriki mazishi ya wenzake.

“Kikubwa zaidi ni kwamba, Ray wakati akisambaza zile meseji alisahau kuwa kuna siku Wema aliwahi kuwaalika wasanii wa kundi la Bongo Muvi nyumbani kwake Makumbusho (Dar) wakala na kunywa, mbona hawakugoma kwenda?” alihoji staa mmoja aliyepinga katazo la Ray.



Visingizio vya wanafiki “Tupa Kule”

Maumivu makali zaidi yaliibuka kufuatia baadhi ya wasanii waliotaka kujifanya hawajapata meseji ya Ray ambapo walisema walishindwa kushiriki msiba huo kwa sababu walikuwa ‘shooting’.

“Kuna wasanii walishindwa kuweka wazi kwamba walipokea meseji ya katazo ya Ray, walipopigiwa simu na wenzao kuulizwa kwa nini hawaonekani msibani kwa Wema walisingizia eti wako location wanarekodi!

“Kwa akili za kawaida, mwenzenu kafiwa mnaweza kushikwa na ubize wa kurekodi filamu? Hawa ni wanafiki, walisingizia vile ili ionekane wana hudhuru,” alisema staa mwingine.



Ray afunguka



Baada ya hayo yote hapo tuliamua kumfuatilia kwa karibu sana mwigizaji vicent kigosi ili yujue kama madai haya ni ya kweli aua la na haya ndo baadhi ya mambo aliyoweza kuyasema Ray.

“Kawaida yangu huwa sitetemeshwi wala kuyumbishwa na maneno yamesemwa.mengi cna juu yangu lakini Mungu wa haki ananipigania….kweli nimeamini ukubwa ni jalala na nyota yangu ni kubeba mizigo ya watu. Mtasema sana Lakini Yangu Yananinyokea..." Alimaliza Ray.

Mmmh. Haya sasa mazito. Sisi yetu macho.

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ray punguza mkorogo......dem wako mainda ajichubue na ww ujichubue asa uko ndan inakuaje

    ReplyDelete
  2. usije sahau kumeza dozi kwa jazba

    ReplyDelete
  3. ........ Haukuwa sawa kutoenda kwenye mazishi. Kwanza baba yake Wema aikuwa mwanasiasa,mbona Wanasiasa hata Kikwete wanahudhuria misiba yenu????? Ray cku ukifa naamini hata Kikwete atafika,asipofika atatuma pole zake. Wasanii hamna tofauti na wanasiasa tofauti ni uwasilishwaji wa mawazo yenu. Mko level moja.!!!!!

    ReplyDelete
  4. na mimi nimeskia kama ray ni shoga!

    ReplyDelete
  5. Nenda shule mbwa wewe,ungekua na elim hata huo utoko ucnge toka mdomoni kwako....yani we ni boya kabisa.

    ReplyDelete
  6. Hafu hiyo tabia ya kujipamba kama mwanamke mnanikera.

    ReplyDelete
  7. Kwanza hana mvuto kwenye jamii.

    ReplyDelete
  8. Ni shoga cheni anavyotumia mikorogo Kama mademu.sengeeeeee

    ReplyDelete
  9. Ni shoga cheki anavyotumia mikorogo ka Demu.sengeeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. We unaomwita ray shoga we ndo basha wake sasa! sema na wewe

      Delete
  10. jamani mnamuonea Ray wivu tu kwa maendeleo yake mtabaki mwenzenu anasonga mbele wanafiki wakubwa wote mliomkashifu ray.

    ReplyDelete
  11. mwachen kaka wa watu aishi maisha yake anavyotaka yy huo kcba wa baba wema mlitaka uwe public holiday? ya kwamba kila mtu aache anachofanya ksa madam kafiwa nyie wa wap na hao wanaosema walikatazwa ndo mana hawakwenda siku ray akiwaambia wasinye hawatokunya?? mnipishe mie we unaemwambia mwenzako asisahau doz je we umekumbuka kufata majibu yako uloyakimbia angaza. mzee wa watu mshamtaja vya kutosha nahc sasa n wakat wa kumwacha apumzike...mrs sam

    ReplyDelete
  12. ooooh ray shoga!! inahuu c n starehe yake na wewe firwa kundu c lako kwan kuna atakae kerwa na starehe zako bnafc wabongo punguzen ngenga angalien maisha yenu na mpange mkakati ili life zenu ziache kuwafira kila cku badala ya kukaa kusubiri wajuu ashuke utachina

    ReplyDelete
  13. Hakutumia busara kwa kweli kwenye kundi la watu wengi dosari zipo yy kama kiongozi kama aliona mapungufu angeunda kamati ya maadili maalum kwa ajili ya watu wenye mapungufu kama Wema.waitwe na kusemwa. Bt Wema naye ajifunze kutokana na makosa kufiwa hakuna mmoja na kunauma sana ikitokea kufarijiana muhim.

    ReplyDelete
  14. mmh! Mbona lawama nyingi sana au kuna jambo?

    ReplyDelete
  15. Kila mwanadamu ana mapungufu tusipende kunyoosheana vidole hata akiwa hivyo ni mwili wake na maisha yake kwanini mnakua hivi wajameni

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad