MBEYA CITY NOMA....YAIPUNGUZA AZAM FC SPEED NDANI YA UWANJA WAO WA CHAMANZI

Team ya Mpira ya Mbeya City inazidi kuonyesha makali baada ya kuwatuliza Speed Azam Fc Speed kwa kutoka nayo Droo ya Mabao 3-3 leo katika uwanja wa Chamanzi , Mpaka dakika ya 85 Mbeya City ilikuwa inaongoza kwa mabao 3-2 ,ndipo Azam waliporudisha nakufanya mchezo uishe kwa Droo.....

Hawa Jamanii ni noma ...Endelezeni hivyo hivyo kuutoa usimba na yanga
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili ndo Chama sasa.. simba, yanga tupa kuleeee

    ReplyDelete
  2. Aisee nimeipenda Mbeya city... bravooo!

    ReplyDelete
  3. Peopleeeeeeeeeees Poweeeeeer!

    ReplyDelete
  4. Hawa jamaa noma yani utasema wapo kwenye ligi miaka 10 kumbe wamepanda jana 2, hili ndo jeshi sasa, na naomba sana hawa jamaa wachukue ubingwa ili waweke hictoria, hapana kabisa chezea MBEYA CT

    ReplyDelete
  5. Dah! hii mbeya ct ni noouumaa, acha kabisa, nimeipenda stair yao.

    ReplyDelete
  6. Mbeya City staaaaaad up!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad