Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema endapo kama wanachama wataendelea kumhitaji.
Kiongozi huyo mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama chake amesema kamwe chama chake hakizuii watu kutamani uenyekiti lakini akatahadharisha zitumike njia za kidemokrasia na uwazi.Amesema katu Chadema hakitaruhusu watu kutumia njia za kihuni kinyume na Katiba.
Mwenyekiti huyo ambaye ni mhimili mkuu kwa chama chake ameshangaa watu kukimbilia madaraka kwa njia ovu na za kihuni.Amesema kuongoza upinzani si lelemama na wala si wa kukimbiliwa.Amesema kuongoza upinzani ni kukubali kufungwa,kupigwa mabomu na kuzushiwa kila kashfa kila uchao.
Kiongozi huyo amesema kwamba kamwe hawatakubali Chadema kusambaratishwa kwa njia yoyote.
Kuhusu Ukomo wa uongozi amesema Katiba ya Chadema haina kipengele hicho kwa ngazi yoyote na kama mtu anafaa wanachama wataendelea kumchagua bila kujali muda atakaokuwa ametumikia chama.
Source:Nipashe Jumamosi.
ww ndio kiongozi na pia mwenyekiti tunayekuhitaji kutuongoza ss wanachadema......tanx u mbowe
ReplyDeletekwa hilo ccm wamewapiga, maana kule kuna ukomo wa uongozi
DeleteMroho , mwizi tu huna lolote
ReplyDeleteWewe ni mnafiki wa ccm,mbowe kakuibia nini,si uripoti polisi?
Deletehjana lolote kama chama hakina ukomo wa madara so ataendelea kuongoza hata miaka mia si ndio au mpaka atakapoaga dunia kama mugabe aende huko tumeshawaona nyinyi ni waroho wa madaraka 2015 imewakosa mjipange upya 2025 shwain wewe
DeleteAmechakachua Katiba ya Chadema kwa manufaa yake. Hatukutaki uwe kiongozi wa Chama chetu kwani wewe ni Mwizi, Mbadhirifu, Mroho wa Madaraka, wewe pamoja na Slaa tumewachoka hatuwataki tena.
ReplyDeleteKama tuhuma zako una ushahidi unaonaje ukiuwakilisha polisi,takukuru au kwa wasenge wenzako wa ccm?
Deletena cc tunataka ushahidi wa zito kukihujumu chama,mbona hamjatupa?
DeleteChadema imefikiya wakati wake wakuporomoka kama ilivyo poromoka nccr mageuzi
ReplyDeleteNyinyi ndio mlioficha mahela ya wanyonge nje ya nchi wezi wakubwa Hamna hata aibu
ReplyDeleteKama chama ni cha watanzania Mbowe hatukutaki uendelee ila kama chama ni cha wachaga basi endelea tu na ukitoka wewe mlete mwanao na wajukuu zako pia.Pimbi we!
ReplyDeletehhhaaahhhh....word!
Deletehahahahahahahahahahahahahahahaha well said aende huko na chama chao cha wachaga na wakatoliki
DeleteChama cha wachaga,mnalo mwaka huu tumewashtukia narudisha kadi
ReplyDeletehahahahaha umeona ee na ndio maana hawamtaki, zitto na kwa taarifa yenu zitto akitoka chadema na chama kimekufa, subirini muone shwain nyie mmekwisha
DeleteKama huna hoja ni bora ukae kimya,kama mkundu unakuwasha kampe basha wenu mwigullu auchubue.cdm utakufa ww na ukimwi uiache.
Deletekwanini isife wakati ipo icu?hata nccr walikuwa misukule kama wewe ila walikuja kusanuka badae san
DeleteMbowe inaonekana kabisa wew ni Dikteta hautufai hata kidogo eti hakuna ukomo wa madaraka,kwa kuwa chadema kimeasisiwa na mchaga basi ni taasisi ya wachaga ndio maana hutaki kuachia ngazi,mnapokezana vijiti mpeni lema sasa
ReplyDeleteChaga Development Ma.....
ReplyDeleteWachagga ni watu wa kazi tu,kila fani wapo imara iwe ni jeshini,udaktari,biashara,uchungaji,kilimo,elimu na hata kwenye siasa,unacho shangaa na kulalama ni nini? Kamwulize mola kwa nini kawafanya wachagga watu wa kazi na wewe akakufanya duwanzi na bongolala?
DeleteUmesahau kwenye wizi,ukahaba,ubarmaid,kuuza mitumba na uchawii
DeleteFarasi ww hujitambui,inaonekana umetoka ng'uni huna unachokijua mbulula ww,wachaga wangekuwa kama unavyosema mngeteka nchi.
ReplyDeleteHakuna matusi hp mbowe hatukutakiiii kabsaaaaaa haujui tuu tulivyokuchokaa bhanaaa
ReplyDeletewachaga shenzi type, chaggas will always be chaggas, watapeli hadi kwenye lugha!!!!
ReplyDeleteNenda kaishi kwenye hekalu ulilojijengea Dubai huna jipya au km vp rudia kazi yako ya awali DJ!!
ReplyDeletemachagaaa siyapendi matpeli kwa kila kitu,, sijui yalitokea wapi!!
ReplyDeleteKung'ang'ania madaraka ni aibu brother rekebisheni katiba ukomo wa madaraka ni muhimu.
ReplyDeleteChadema amkeni sasa mtabuluzwa na kaskazini hadi lini?
ReplyDelete