Hatimaye Mbunge Rosweeter Kasikila (60), aliyefunga ndoa na kijana mwenye umri wa miaka 26, amefunguka kwa kusema aliyeng'ang'ania kufunga ndoa hiyo ni kijana mwenyewe licha ya kumtahadharisha tofauti ya umri wao.
Kasikila alitoa kauli hiyo jana, baada ya kutakiwa kujibu shutuma zilizotolewa na mumewe huyo, Michael Christian (26) ya kung'ang’ania vyeti vyake vya elimu kwa lengo la kumtaka arudi nyumbani.
Christian aliyefika katika ofisi za NIPASHE jana alitoa nakala ya barua aliyoituma kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, kuomba atumie uwezo wake wa kisheria ili mbunge huyo amrudishie vyeti vyake alinavyovishikilia.
Kufuatia maelezo hayo, NIPASHE ilimtafuta Dk. Nchimbi kwa njia ya simu ili athibitishe kupokea nakala ya barua hiyo lakini simu yake ilikuwa imezimwa.
Nakala nyingine za barua hiyo zilitumwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili na Haki za Binadamu kwa jamii-Madhehebu ya dini nchini, Askofu William Mwamalanga, Mchungaji wa Kanisa la Assembilies of God, Mikocheni B, Mchungaji Getrude Rwakatare na vyombo vya habari.
Akijibu shutuma hizo, mbunge huyo alisema hajawahi kung'ang'ania vyeti vya kijana huyo wala kulazimisha ndoa kama anavyodai Christian.
"Nahisi kuna watu wanamtumia ili wanichafue, siwezi kung'ang'ania vyeti, kwanza vya kazi gani kwangu, ukweli ni kwamba Michael, shida yake anataka nichafuliwe, kwangu aliondoka wakati sipo, sasa hivyo vyeti nimeving'ang'ania saa ngapi," alisema na kuongeza:
"Mwaka jana nikiwa Dodoma nilipata taarifa ameondoka nyumbani, kweli nilivyorudi nilikuta amechukua vitu vyake vyote kasoro tu vile nilivyomnunulia, hivyo vyeti anavyosema nimeving'ang'ania mbona hajawahi kutamka mbele yangu zaidi nimeona kwenye magazeti," alihoji.
Alisema baada ya kufika nyumbani alipata taarifa kuwa, mume wake huyo amepanga chumba na anaishi na mwanamke mwingine (askari) ambaye ni mjamzito.
Alisema utaratibu alioutumia kijana huyo wa kumchafua kwenye magazeti siyo sahihi na kumshauri angeenda mahakamani au kanisani kama aliona haitaki ndoa tena.
Aliongeza kuwa yeye na Christian walifahamiana mwaka 2009 baada ya kufiwa na mume wake aliyemtaja kwa jina moja la Mushi.
"Sikumtongoza kama anavyosema, alikuja katika hospitali ya Bagamoyo akitokea chuo cha Red Cross wakati huo nilikuwa Muuguzi Mkuu, aliponiona alinipenda alianza kunitongoza, nilimkatalia na kumwambia mimi ni mtu mzima sana kwake, " alisema na kuongeza:
"Alikuwa ananitumia email (barua pepe) za kunitaka, nilimwambia umri wangu ni mkubwa, lakini yeye alikuwa ananiambia kwenye vitabu vya dini kuna sehemu gani kumeandikwa umri," alisema.
Alisema alijikuta ametumbukia kwenye penzi la kijana huyo na kuanza mahusiano naye.
"Nina nakala zote za vidhibitisho ambavyo alikuwa akinitumia kunitongoza nimevichapisha kama vielelezo vyangu, tena wakati tumeanza uhusiano Taasisi ya Safina ambayo ilikuwa ikimsaidia katika masomo yake, ilinipigia simu," alisema na kuongeza:
"Safina walitaka kujua kama nina mahusiano na huyu kijana niliwajibu ni kweli, waliniambia kama ndiyo hivyo wanafuta kumsaidia kwa sababu wao huwasaidia wale ambao hawana uwezo, yatima, " alisema.
Alisema wakati taasisi hiyo ikimfuta, ilikuwa imemlipia Christian sehemu ya ada ya masomo aliyokuwa akiyachukua."
"Nililazimika kumlipia ada ya mwaka wa pili na watatu wa masomo yake pamoja na mambo mengine na ilifika kipindi aliniambia anataka kunioa, ndipo tulipofanya mchakato ambapo nilitolewa mahari na ndoa ilifuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kutangazwa mara tatu," alisema.
Alisema Christian alifuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kutoa mahari ya Sh. 200,000 na baada ya harusi alipelekwa Kondoa kwa ndugu wa kijana huyo.
"Huko tulienda kati ya mwezi Julai au Agosti, mwaka jana, tulifanyiwa sherehe za kimila na ndugu za mume wangu ambao ni baba mdogo, bibi mzaa baba yake na shangazi, pia ndugu zake wa Kimara na Dodoma wananijua, " alisema.
Hata hivyo, mbunge huyo alipoulizwa kama ndoa hiyo ipo sasa hasa kufuatia shutuma hizo, alisema hawezi kujua kwa sababu mume wake aliondoka bila kumuaga na kwa sasa anaishi na mwanamke mwingine toka Novemba mwaka jana.
Alisema wakati wa mahusiano yao wafanyakazi wenzake Christian walikuwa wakimhoji kwa nini ameamua kuwa na mtu mzima kama (mbunge), lakini yeye aliwajibu hakuna umri kwenye biblia.
Alipoulizwa kama ana mpango wa kuchukua hatua dhidi ya kijana huyo, mbunge huyo alisema hana mpango.
Mbunge huyo alijitetea kuwa, hakumlazimisha kufunga ndoa na kwamba wakati kijana huyo akimtongoza, alimweleza kuwa hawezi kuzaa kwa sababu umri wake umeshapita.
CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
Mi sina m2 Mama naomba unilee,Nina miaka 24 na elimu yangu ni DRS la 7,vp nitapata nafasi mama? Tafadhali nihurumie maisha magumu
ReplyDeleteHuyu mama huruma zimemponza. Na huyu kijana alikua anamtongoza katika kutafuta mtu wa kumtoa kimaisha naona kashapata alichotaka ndo sasa anamuona malimbovu. Kijana anapenda ubwete na aache kumchafua mama kama ye alilazimishwa iweje aseme ndiyo madhabahuni si angekataa jinga kabisa.
ReplyDeleteujinga huo
ReplyDeleteAma kweli Dunia ina mambo
ReplyDeleteLaah. Dunia ina mambo. Ila tuwaachie wenyewe.
ReplyDeleteMmmmh mama ulitenda DHAMBI na SHETANI hatoi kitu buree sasa ndo matunda yake hayo ukatubu umeolewa na mwanao huyooo
ReplyDeleteMtizame mikengeza yake kwanza,yani huna hata haya eti alinilazimisha ....fuck u,stupid wman..kazi umalaya tu ngoja akudhalilishe hicho ndo ulicho kitaka,hv unadhani wazazi wake wangekuepo wakukubali mbibi km wewe..? Hv huyo mamake na wewe mngekua mnasallimiana vp? Nani angempa mwenzie shkmoo? Malaya uliezeeka wewe hv ulikua unamvuliaje huyo mtoto nguo...?mamayo,alikuvuta kwenda kanisani eti alinilazmisha...shame on u gran...mtizame minywele kakasukwa na. Miguu, mmmmmmhhhhhhhxxxxxxxxiiiiiiiiuuuuuuuu,eti nawe unatamka kabisa eti mmewangu,nyoko ww, mibunge mingine bwana cjui huwa wanaangaliwa vgezo gani,yani km hili lilikuanilakufukuzia mbali uko....MSENGE KABISA
ReplyDeleteMSENGE WE MWENYEWE, shenzi wahead! Kwani yeye ni wakwanza kukubali penzi la tofauti kiumei??? Au kwa sababu imetokea kuwa yeye ndo anaumri mkubwa kuliko mme. Acha upuuzi...nenda basi kabweke hivyo kwa lile zee la IPP lililozaa mapacha na kitukuu chake! Mpuuzi sana wewe! Idiot, hii inaweza tokea kwa yeyote so Acha kumtukana mama wa watu. Shetani wee
Deletekhaaaaa take a chill pill umeongea mpk povu limekutoka mituc ya nn ndoa n yao au nawe ulitaka hyo FURSA
ReplyDeletealiyewafungisha ndoa hana akili wala hajitambui
ReplyDeleteMama huyo hana akili kabisa; ubongo wake umehifadhiwa ukeni kwake. Halafu eti huyu ndi mtunga sheria wa Tanzania. Utaolewaje na mtoto mdogo mwenye umri sawa na mtoto wako wa kuzaa? Miaka 26 na 60 ni tofauti kubwa sana, yaani zaidi ya mara mbili!
ReplyDeleteWe msenge kweli! Mizee mingi sana Hapa TZ inafanya hivyo lakini hakuna anaeongea pupa kuwahusu! Hebu pelekeni huko au kwa sababu Mmbuge umri umesogea?? Mbona mengi IPP miaka 70 kaona mjukuu wake miaka 33 mnafwata mibakuli yenu. Mwacheni mmbuge kutoelewana katika uhusuano si kitu cha ajabu. Unaakili funyu sana, matope tu yamekujaa badala ya ubongo mpaka ukaandika upuuzi kama huo, we ubongo wako inaonekana umehifadhiwa mkunduni kwako. Mmmxxxxxxxchwww!
DeleteWe msenge kweli! Mizee mingi sana Hapa TZ inafanya hivyo lakini hakuna anaeongea pupa kuwahusu! Hebu pelekeni huko au kwa sababu Mmbuge umri umesogea?? Mbona mengi IPP miaka 70 kaona mjukuu wake miaka 33 mnafwata mibakuli yenu. Mwacheni mmbuge kutoelewana katika uhusuano si kitu cha ajabu. Unaakili funyu sana, matope tu yamekujaa badala ya ubongo mpaka ukaandika upuuzi kama huo, we ubongo wako inaonekana umehifadhiwa mkunduni kwako. Mmmxxxxxxxchwww!
Deleteacha pumba...sheria umeambiwa ni watot wadogo hao.maisha ya wenzenu yanawahusu nin wambea wakubwa
Deleteuko mcute sna,nyie endelezen kula maraha bhana
ReplyDeletekwani ni dhambi kuoana mmepshana umri sana au ni wivu wenu
ReplyDeleteMbona mengi ana miaka 70 na kylin ana miaka 33, mbona hamsemi na wamezaa.
ReplyDeletePole mbunge.jua dogo alikuwa anatafuta mtaji.vijana wa mjini hao.by mamanuru0@gmail.com
ReplyDeleteMAPENZI HAYANA UMRI,,,KIJANA ALITAKA KUTOKA TU,,,ILA AMEFANYA KOSA KUMCHAFUA MAMA WA WA2
ReplyDeleteAh watajua wenyewe na mungu wao
ReplyDeleteAh watajua wenyewe na mungu wao
ReplyDeleteila safi sana jamaa alitaka kuitwa baby ndo mana
DeleteHaha
ReplyDeleteHaha
ReplyDeleteUzee mwisho chalinze huyo kijana mjinga sana umepewa shavu unaaribu utakufa na uyatima wako
ReplyDeleteNipe namba yako mama mimi mkubwa mwenzio achana na watoto wanakuzalilisha najua shughguli ndio uliofuata kwa kijana hapa kwangu utafurai mwenyewe aksante
ReplyDeletesijaona kinachopingana na sheria ya nchi,,kama wametofautiana basi nitofauti ya kawaida kwenye ndoa ila kitendo cha huyo mchizi kwenda kwenye media ni upumbavu tu.Pili yalikuwa nimakubaliano kati yenu nyie wawili sasa media inahusikaje,,unajisumbua broo kwa vile hakuna sehemu ambayo sheria ya nchi katika mahusiano yenu ilikiukwa. kama ulimchoka ni vema ungeondoka kwa amani bt for what u did is not acceptable!
ReplyDeletejaman mtuache wanawake na maendeleo, kunya anye kuku akinya bata karisha mbona wanumme wana vitoto vidogo mkamate wazungu wote na mh mengi mkome mama ukuchukua right choice njoo kinondoni watu wametulia...........
ReplyDeleteKwani kuolewa na kijana ni sawa maana amefuata maamrisho ya mwenyezi mungu maana ndoa ni ibada hakuna kitabu kilicho kataa mwenye umri mdogo asioe ili mradi awe na barehe kingine tusingilie mambo ya watu.
ReplyDeletemi nilitaka kumuona huyo kaka nimuulize, halafu mbona wanawafatafata, si maamuzi yao jamani cha ajabu nn sasa hapa
ReplyDeletePole mama mkabidhi Mungu kwani yeye ndiye mtoa haki pekee na majibu utayaona hapa hapa duniani. Kamwe chozi lako halitamwagika bure huyo kijana ni limbukeni wa maisha.
ReplyDeleteNa nyie mnaomlaumu huyu mama hamjui maana ya mapenzi, mapenzi hayachagui umri, rangi, dini wala kabila na mtoto ni chini ya miaka 18 kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu.
DU JAMAA INA MAANA ALIKUWA ANATOMBA KIZEEE?
ReplyDeleteComment zenu zimejaa ufedhuli, nilidhani mnatoa ushauri wa maana kwa huyo mbunge na mumewe, mnatukana tu. Pole mhe na kijana rudi kwa mwenzako mmefunga pingu za maisha na imeandikwa hadi kwa Sir God!
ReplyDelete