MBUNGE WA ARUSHA MJINI G. LEMA NA MKEWE WAZUNGUMZIA JUU YA WATU WALIOTENGENEZA PICHA CHAFU ZA LEMA AKIFANYA TENDO CHAFU NA MWANUME MWENZAKE....INASIKITISHA SANA

Mbunge wa Arusha mjini Godbles amekanusha  na kukemea vikali baadhi ya watu wanaomdhalilisha kwenye mitandao ya kijamii kwa kutengeneza na kusambaza picha chafu ambazo zinaonesha udhalilishaji mkubwa kwa mbunge na hata kwa mtu wa kawaida.

Akizungumza  na vyombo vya habari ofisini kwake jijini Arusha mbunge Lema amesema picha hizo za aibu zimetengezwa na kusambazwa na mtu ama watu wenye lengo la kumdhalilisha na tayari amekwishaanza hatua ya kuchukua hatua za  kufikisha suala hilo kwenye uongozi wa bunge akiwemo Spika Anne Makinda, naibu spika Job Ndugai pamoja na katibu wa bunge.

Amesema ameamua kutoa taarifa hiyo kwenye vyombo vya habari kwa sababu vitu vikishawekwa kwenye mitandao ya kijamii siyo siri tena hivyo anategemea bunge litaona wajibu na ni jinsi gani heshima ya mbunge imeshushwa na kudhalilisha kwa maksudi bila kujali utu na heshima ya mbunge.

MSIKILIZE HAPA CHINI LEMA AKIZUNGUMZIA ALIVYODHALILISHWA Mbunge Lema amefafanua kwamba picha hizo hazijatengenezwa na mbunge wa Iramba Muhigulu Nchemba kama baadhi ya watu walivyomfikishia taarifa kwani akiwa bungeni mjini Dodoma alizungumza na Nchemba na kubaini kwamba alikuwa hajaziona picha hizo hivyo hakuwa anajua lolote juu ya suala hilo. MSIKILIZE LEMA HAPA AKISEMA NCHEMBA HAKUHUSKA KWENYE PICHA MSIKILIZE HAPA CHINI MKE WA LEMA

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tit for tat.Ukipanda mtama itavuna mtama.hayo ni matunda ya ulichokipanda.nn unalalamika!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu usipende kuongea kwa ushabiki, kumbuka kuna mwalimu na mwanafunzi wake walifungwa mwaka mmoja kwa kuweka picha za aina hiyo kwa mheshimiwa Raisi. Siasa za namna hii hazihitajiki Tanzania. tushindane kwa hoja zenye msingi sio kuchafuana kwa staili hii

      Delete
  2. Lema wewe ni jembe letu,hata wakuandike,hata wachutame njia panda usiku,nyota yako itazidi kung'ara.Mtaji wako ni sisi walalahoi na wao ccm mtaji wao ni fitna,unafiki,majungu,kuua,ulaghai,umalaya,uchawi,uzandiki,uzumbukuku na wizi.Hatudanganyiki!

    ReplyDelete
  3. Duh! Natamani nizione jns unavyoliwa kiboga.

    ReplyDelete
  4. Siasa haziko kama hao washenzi wa kwanza na watatu kucoment walivyo comment bali siasa ndio maisha kwa sasa. Jambo lililofanywa juu ya mh. Lema ni baya sana na halifai kufanywa ktk nchi kama yetu ambayo bado tunachechemea ktk kukua kiuchumi. Pole sana mh. Lema, wanazidi kukupandisha juu pamoja na hila zao. God bless you!

    ReplyDelete
  5. Siasa haziko kama hao washenzi wa kwanza na watatu kucoment walivyo comment bali siasa ndio maisha kwa sasa. Jambo lililofanywa juu ya mh. Lema ni baya sana na halifai kufanywa ktk nchi kama yetu ambayo bado tunachechemea ktk kukua kiuchumi. Pole sana mh. Lema, wanazidi kukupandisha juu pamoja na hila zao. God bless you!

    ReplyDelete
  6. Nani mshnz ww si shoga kama huyo lema mwizi

    ReplyDelete
  7. mh!! ingekuwa poa japo moja iwekwe mtandaoni,tuone kama ni photoshop tutajua,laki isiwe unajiami jombaa,afu nyie kuma sio kila jambo ni ccm,hao wenyewe chadomo ndo wanacheza michezo hyo ili mwisho wa cku ionekane ccm,kidumu chama tawala

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe na ccm yako mikundu yenu imetepeta. Kwa kuliwa tigo.

      Delete
  8. We kamrela mama yako ana nini au ulitokea mkunduni?

    ReplyDelete
  9. wanajisumbua chadema juu hiyo ni hila ya kuharibu chadema

    ReplyDelete
  10. acheni ushabiki wa kisiasa. alichofanyiwa lema si jambo la kiungwana hata kidogo hata kama angekuwa wa chama gani! utu uzingatiwe.

    ReplyDelete
  11. Yote yanawezekana kwani yy malaika

    ReplyDelete
  12. Sasa Mh.kama wewe ni punga kweli je unatuhakikishiaje?

    ReplyDelete
  13. Lema skia,usife moyo wala usijali kwan mti wenye matunda ndo unao pigwa,nina raha kwakua nlikua cjui haki yangu ila sasa najua na yote ni wewe kwahiyo nakupa mkono usijal.

    ReplyDelete
  14. Ndugu yangu tunaokujua ni sisi huna hiyo tabia na walofanya hayo wataumbuka usijali best sina undugu wala urafiki but napenda mambo yako Mungu yupo nawe.

    ReplyDelete
  15. Nimejiskia vibaya ila usijali tunakupenda na tunafrai tz hakujawahi kua nakiongoz anaeongea ukwel kama wewe napia hakika Mungu yunawe umesingiziwa mangapi na umepita bas hatahili litakwisha wala usijali,nawewe ulio fanya hivyo usipo kipata hapa duniani hata mtoto wako atafanyiwa malipizi ni hapahapa usicheze na hasira ya Mungu.

    ReplyDelete
  16. Kweli??????nashindwa kuelewa kumchafulia mtu kias hichi unalipwa moto ukuuwe au maji ulofanya hivyo hata watoto wanasikitika sana.

    ReplyDelete
  17. tutayasikia mengi kuelekea 2015. wapenda amani tuzidi kuliombea taifa letu.

    ReplyDelete
  18. Inawezaa kutengenezwa. Ya lowasa apa na uzee wake mkalia lia coz Ma IT hawapo ccm tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad