BARACK OBAMA AMEMFOLLOW VENESSA MDEE KWENYE TWITTER

Hii itakuwa ni kwa mara kwanza kwa mwimbaji wa Tanzania na pengine Afrika kuwa followed na Rais Barack Obama wa Marekani kwenye twitter ambae ana zaidi ya followers milioni 40 lakini yeye anafollow watu laki sita.
Vanessa Mdee ameingia kwenye list ya watu laki sita ambao Rais Barrack Obama ana wa-follow sasa hivi ambapo baada ya Rais huyu kufollow, kwa furaha Vanessa alishare kwenye instagram screenshot ya ukurasa wake wa twitter ukionyesha Barack Obama ameanza kum-follow.
Kama ilivyo twitter, hii inamaanisha ana Vanessa ana uwezo wa kumuandikia msg binafsi kwenye inbox Rais Obama.

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Vanessa kabla hujakurupuka na furaha ichunguze hiyo account kuna matapeli wa kimarekani kibao wanajiita President Obama kuna wengine mpaka wanafacebook kujifanya watoto wa Obama Malia na Sasha, tuliza ball dada chunguza hiyo account kwanza hata Marekani kuna matapeli vile vile

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeona ee, waosha vyombo wake hao

      Delete
  2. Obama hana muda wa kutweet hiyo page inaendeshwa na wasaidiz wake nyooo

    ReplyDelete
  3. Ha jamani obama hana mda na social network bana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vanessa mdee nilikuwa namuona mtoto wa kishua Kumbe chiziiii,mi nilipataga barua kutoka Kwa Janet Jackson nikajua nimewin kumbeeee wasaidizi wake,sembuse Obama?Vanessa mdeee mpelekeni mirembe asije data akajua Obama personal ndio kamfollow.chizi kweli Huyu binti.

      Delete
  4. Haaaa obama unamtaka ? Atoe wapi mda wa kufollow mtu ka wewe wa nini ? Unampango nae ? Katafute mazee canada sio us

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona umempa ujiko?Canada ?wakina kapuye wako uko wanamtosha.

      Delete
  5. Replies
    1. hahahahaaaaaaaa..! linatoaga roho za watu bora ukae kimya uclijue hahahahahahaaaaa

      Delete
    2. Ahhaaaaaaaaaaaaa

      Delete
  6. ngoja ukaliwe kiboga na wajanja

    ReplyDelete
  7. Prezda akufollow kwa lipi? Bongo penyewe umejulikana kwa nyota ya Ommy Dimpoz! Nyambafu kwendrraaa!

    ReplyDelete
  8. Kuweni na akili watanzania tusipende kuongea tusiyoyajua, hamuoni kuwa acc ni VERIFIED so siyo fake as u guys said, Vanessa ni presenter wa Worlwide so si kitu cha kushangaza sana o kushindikana Obama kumfollow

    ReplyDelete
    Replies
    1. Verified my ass utatataman sana obama akufollow,

      Delete
    2. Mwache aote ndoto za mchana,ruksaaa.

      Delete
  9. Mwenzio kajua kawin ili ampige changa la macho Michelle ao ni wamarekani dada sio raisi utembee na mumewe Kama mnavyofanya uko bongo.ndio maana umechanganyikiwa kuwa followed na kivuli cha Obama hao ni wasaidizi wake changudoa sio Obama person.Unakuwa Kama hujaenda shule,endelea kuota

    ReplyDelete
    Replies
    1. Marekebisho......hao ni wasaidizi wake,(changudoa)ambae ni Vanessa mdee.

      Delete
  10. Kwi Kwi Vanessa umenichekesha na jk kakufollow?

    ReplyDelete
  11. Hehehe we vanesa we nani aliye kufollow obama huyu huyu 2nayemjua au obama peni hz 2nazotumia shule

    ReplyDelete
  12. haaaaaaaaaaa mshamjibu huyo limbukeni kaka marekani lakini bado tu mshamba, hv yule almasi hajampitia huyu maana asije akawa ameambukizwa ulimbukeni

    ReplyDelete
  13. acheni chuki wabongo ndo mn ha2endelei kwa kupigana majungu, msiwe km wasenge

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad