MSANII KEVOO HARD APIGIWA SIMU NA MGANGA WA KIENYEJI NA KUSEMA ANAWEZA KUMSAIDIA KISHIRIKINA AWE KAMA DIAMOND-SIKILIZA HAPA
0
November 19, 2013
MIMI MSANII KEVOO HARD NIMEPIGIWA SIMU NA MGANGA TOKA SUMBAWANGA AMENITISHA SANA KWA KUSEMA ANAWEZA NISAIDIA KISHIRIKINA ILI NIPENDWE KATIKA SANAA NA HII NDO SAUTI YAKE NIMEMREKODI UKITAKA KUJUA UKWELI KUHUSU HII KITU NAOMBA NIPIGIENI NAMBA YANGU NI 0718084411
SIKILIZA HAPA MAZUNGUMZO HAYO YA SIMU:
Tags