MTOTO WA WILL SMITH (Jaden Smith) AZAMA KWENYE PENZI ZITO LA MDOGO WAKE KIM KARASHIAN
4Udaku SpecialNovember 21, 2013
Kylie Jenner (mdogo wa Kim Kardashian) na Jaden Smith mambo si mabaya. Binti sasa anapata huduma zote anazostahili mtoto wa kike kupata kutoka kwa mpenzi wake wa kiume. Ili linathibitika pale ambapo kidume kiliingia SONARA na kununua mkufu wa dhahabu na kumvalisha mpenzi wake. Wapenzi hawa wote wanatoka
hawa watoto wanatakiwa kwenda shule, shule wamekimbia sasa wamekimbilia mapenzi ustaa wa majuu nao ni kazi wazazi wanakubaliana na watoto thubutu uwalete kwa madingi wetu wa kibongo wote wangekuwa shule wanasoma
Jamani jamani tusidanganyane maisha yao tofauti sana na huku !!huyo msichana ni model tayari wa big lable ya victoria secret!!mvulana ni actor of mny succesful movies!!sio kabisa na kulanganisha na maisha yetu ya vitabu bila ajira
hawa watoto wanatakiwa kwenda shule, shule wamekimbia sasa wamekimbilia mapenzi ustaa wa majuu nao ni kazi wazazi wanakubaliana na watoto thubutu uwalete kwa madingi wetu wa kibongo wote wangekuwa shule wanasoma
ReplyDeletemdau hapo juu, watu wanaenda shule ili kupata fedha, kama umezaliwa kwenye trust fund hauhitaji shule ki hivyo;
ReplyDeleteTrust fund? uliza watoto wa trust fund bila shule wako wapi? utaishia ujinga
DeleteJamani jamani tusidanganyane maisha yao tofauti sana na huku !!huyo msichana ni model tayari wa big lable ya victoria secret!!mvulana ni actor of mny succesful movies!!sio kabisa na kulanganisha na maisha yetu ya vitabu bila ajira
ReplyDelete