HALI ya mwanamke aliyepigwa risasi na polisi katika Benki ya CRDB mjini hapa, Violet Lyapa (30) bado ni tete huku taarifa zake zikifanywa kuwa siri kubwa.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Hospitali ya Selian, Violet bado amelazwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) huku hali yake ikibadilikabadilika.
Pamoja na kwamba tukio hilo limechukua siku zaidi ya tano bado hali ya Violet inafanywa kuwa siri nzito.
Mwanamke huyo amewekewa ulinzi mkali katika wodi aliyolazwa lakini mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo ambaye hakupenda jina lake liandikwe, amesema hali ya majeruhi huyo imekuwa ikibadilika kiasi cha kulazimika kumpa uangalizi maalum.
Jeshi la polisi mkoani hapa limekuwa na kigugumizi kutoa taarifa juu ya tukio hilo na hatua zipi zimechukuliwa juu ya uhalali wa umiliki wa silaha iliyotumia kuwatishia polisi baada ya kukuta gari lake limetolewa upepo.
Aidha, katika hali inayotia shaka kigogo wa ngazi za juu mkoani Arusha amekuwa akimjulia hali mara kwa mara majeruhi huyo hasa nyakati za usiku na taarifa zilizoenea zinasema kigogo huyo ana uhusiano wa karibu na majeruhi huyo.
Pia, baadhi ya ndugu wa majeruhi wamelalamikia kuzuiwa kumuona ndugu yao na kutakiwa kuonesha vitambulisho.
---------------
Click Like to be Fan of the Day
MWANAMKE ALIYE PIGWA RISASI NA POLISI KATIKA BENK YA CRDB JIJINI ARUSHA HALI YAKE YAZIDI KUWA MBAYA
17
November 06, 2013
Tags
"" HESHIMA KIJANA TANGULIZA KWANZA MBELE JEULI MBAYA HOOOO"" HIYO NI NYIMBO ILIIMBWA NA MWANA MUZIKI WA UKWELI MANENO YAKE YANA MAANA PAKA LEO
ReplyDeleteKwhyo yy kujuliwa hali na kigogo inakuhusu nn!!!!!! Kma hali yke mbay wew ulyetoa hii habari mwambie hyo kigogo wa selikari ampeleke nje
ReplyDeleteAkafie mbali huyo dada yeye analeta threats katika kazi za watu,huyo askari ningekuwa boss wake ningempandisha cheo,videmu vingine vijeuri sana hasa kama vinamegwa na wakubwa.By Malanga A N
ReplyDeleteHeheeh!!! Anatishia polisi bastola wakat wenyewe wana smg???? Kwanini hawajamshoot kichwani???
ReplyDeletendo mpango mzima bb .videmu vinazingua mno
ReplyDeletewangempa ya kichwa huyo,kahaba mafia,madem bwana,anawatolea bastola polece et kisa gari yake imetolewa upepo!!!
ReplyDeleteMimi nasubiri kujua vitu vifuatavyo; umri, elimu, kazi yake, kabila na bf wake. ndip maswali yoote mnayojiuliza wadau yatajibiwa. coz mtu asiheshimu sehemu za parking bank, anamaringo na jeuri, anamtishia askari bastola wakati hata kuitumia hajui, ni lazima kuna kitu kinamiss kwa kichwa yake. lakini kwamba anagari, bastola na hela ya kutoa au kuweka bank pamoja na upstairs kuwa zero je kapataje silaha? process ya kumiliki silaha wote tunajua ugumu wake. nani mdhamini wake mpaka awe jeuri hivyo?
ReplyDeletehuyo malaya ni msenge anafikili polisi wanabeba matoiiiiiii,hii ni fundisho kwa watu wengine wanao jua police wanabeba matoi,,,,,,,,,,,, utakuta mtu anaambiwa simama anakimbia sasa mtavunjwa miguu chezeea police wa tz wewe
ReplyDeleteNa wapigwe tu
Deletepamoja na yoote yalisemwa naona woote mnamtetea police aliyemshut huyu dada, mimi niko tofauti sana na wadau waliochangia hapa.Ina maana police pamoja mafunzo yooote waliyoipata ktk mafunzo ya kuwadhibiti waalifu hawakuwa na maarifa au njia nyingine yoyote ya kumdhibiti huyu binti pasipo kutaka kutoa uhai wake kwa kushut kifuani kutaka kumuua? hata kama alitoa bastol kujaribu kuwashut isiwe ndio sababu ya wao kutaka kumuua police nadhani walikua wengi huyu binti peke yake na hana hata ujuzi sana wa bastola jamani ifike mahali hawa maaskari wa tz wajifunze kudhibiti mualifu bila ya kumuua kazi wanao jua wao ni kushut too wajui kazi nyingine, its soo sad ,kwa tz sijui inaelekea wapi wangine wasiofikiria wankurupuka tu wacha wamshut kwanini ametoa bastola na kama kichwa chake sio kizuri mtajuaje?kweli africa bado sana.Poleni mliopatwa na majanga
ReplyDeleteuna matatizo sio bure mtu ana gun anataka kuku shut, unafikiri police angemchekea?kwa taarifa yako hakuna altenative nyingine lazima angepigwa risasi ya kummaliza au kama alivyofanyiwa
DeleteWewe anonymous 8:58am ni kuma na nahisi utakua ni tahira,siraha haifanyiwi masihara hata cku moja
ReplyDeleteBora umemwambia ukweli, mzarau tende miguu huota nazi. Hapo wangepuuzia kidogo tu police walikuwa wanakufa
Deletewewe mpuuzi zaidi uwezi kuonge mpaka utukane kupitia mahali iliyokutotoa una mtukana mama yako aliyekuza tahira kama wewe km wewe ni mojawapo wahao mapolisi uchwara wasio na elimu ukajifunze namna ya kujibu wewe ndie stupid wa mwisho sura mbaya kaa unaminywa jipu lione ndio maana unajamba hovyo
ReplyDeletekwani wakifa hao mapolice wanafaida gani zaidi ya kuwa raia wasiyo na hatia na wengine ni majambazi shida tupu ni bora wasingekuwepo
ReplyDeletechukua nafasi yako LAU ANGDDLI KUWA AMEHIFADHI MAJAMBAZI KWA GARI YAKE NA POLICE KUZEMBEA MZIGO WOTE UNGEWALEMEA
ReplyDeleteusifurah kufa kwa police ndugu yangu,nje ya upolice nae ni raia,yaweza kuwa ni mdogo wako ama ndugu wa karibu,yeye pia alijiami asinge mshut huyo dada basi angeshutiwa yeye
ReplyDelete