Hivi wanawake ni watu wa aina gani? naombeni ushauri jamani, nilikuwa na mpenzi akanisaliti akaenda kuolewa na lijibaba nikatafuta mwingine,nimezaa nae mtoto mmoja natunaishi kwa furaha.cha ajabu ameanza kunitumia mesege,mojawapo imeandikwa hivi nanukuu "Najua nilikukosea samahani sana ila naomba umuache huyo mwanamke, amin nitamlea mtoto wako kama wakwangu kumbuka unafahamika mbaka nyumbani familia yangu inanicheka kwa nilichokifanya".huyu mwanamke ninaeshi nae kaona hiyo massage kaniambia nimsamehee na yuko radhi kuondoka....Sasa nifanyaje nishaurini
By Silvester Limota
Bwege ww huwez kujiongeza kwahiyo anarudiana na wewe sababu ya kuchekwa na c mapenzi ya dhati....tulia na huyo huyo ulompata,hilo gube gube liambie nafac imejaa...angalia ucrudie matapishi...lazima yatakuchefua tena.
ReplyDeletekuwa na msimamo wangu tn ikiwezekana katanaye mawasiliano atakualibia kwa mkeo
ReplyDeleteMthamini mkeo ww uliezaa nae acha ujunga na upumbavu huyo dem mwanzo hakujua amefanya makosa?? Alafu jiongeze uoni kwamba mke wako amekujibu vile ili akuone utareact vp?? Acha uupuzi wako ww
ReplyDeleteFiction. Acha usenge andika stor za kweli watu washauri.
ReplyDeleteWewe mshenzi sana acha kuweka story za kihivo,kwanza una umasikini wa mawazo na ni mvivu wa kufikili,shauri yako,wewe jitoe ufahamu tu!!
ReplyDeletemi nimelipenda swali lako(ivi wanawake ni watu wa aina gan?)hili swali linatusumbua wanaume wengi
ReplyDeleteThats ur business.
ReplyDeleteHivi wanaume ni watu wa aina gani?cjaona cha kushaur hapo...hujitambui msenge ww....waoe wote watatu including hilo libaba...mschewwwwww
ReplyDeleteHivi wanaume ni watu wa aina gani?cjaona cha kushaur hapo...hujitambui msenge ww....waoe wote watatu including hilo libaba...mschewwwwww
ReplyDeleteakili huna mwombe ushauri mtoto wako
ReplyDeleteNapita tu ila uamuzi unao wewe mwenyewe wa kula matapishi au mubaki na pilau yenu.
ReplyDelete