NAOMBA KUSEMA ZITTO LA LEMA WOTE NI WASAFI..UGOMVI WAO NI TOFAUTI YA MITAZAMO TU

Mnyukano wa Lema na Zitto umewadhihirishia watanzania kuwa hao watu wote wawili ni watu safi na viongozi wanaopaswa kuigwa na wengine

Katika hili kwa jinsi walivyo bambana, Wanaume wamepambana kwa hoja tofauti lakini Tuhuma zote nilizosikia ni za Mitazamo tu na si Labda ufisadi ama kingine ...Ila nacho amini kuna Viongozi wengi leo hii wakianza kugombana na kuwekana wazi ufisadi waliofanya katika Muda wa Uongozi wao Mambo yangelipuka makubwa.....Ila kwa hawa naimani ni wa Safii Kabisaaa kwani wangekuwa wachafu wa Ufisadi Basi tungejua na Wangeweka wazi katika Beef yao.


Kilichotokea kati ya hawa wawili ni kutofautiana mitazamo tu juu ya namna ambavyo suala la posho lilipaswa kushughulikiwa na Posho ni Haki yao ya Kimsingi Kuchukua ama kukataa ni Maamuzi tu hata kama Zitto Alichukua Kweli Posho Haina Athari zozote kwa Mwananchi Sababu ilishabajetiwa achukue hizo Posho
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndiyo ukubwa huo; isipokuwa kuna mchochezi yuko nyuma ya hili jambo; angalia mpekuzi blog. kuna unafiki na fitna.

    ReplyDelete
  2. BLogu ya mpekuzi imedai kuna mpango wa kumtimua Zitto,unaoongozwa na Mbowe na Lema.

    ReplyDelete
  3. uliyepost hapa uwezo wako wa kutafakari mambo ni mdogo sana, tofauti ya mtizamo kivipi? wakati lema anasema zito anakaa hotel ya usd 600 anatoa wapi pesa?! tafsiri yake zitto ni fisadi anacheza na akili za watanzania kutafuta umaarufu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad