Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu
Kama baada ya mchezo mpenzi wako huyo hukupiga mzinga wa hela basi ujue hizo kelele zake ni miundombinu ya wizi mtupu.!
ReplyDeleteAnaumia kivipi,kwani ulimkuta bikira au ulikuta mgodi umebakia shimo tu?
ReplyDeleteUMEIBIWA!!!
ReplyDeletehuyo dem mwizi tu! ukishangaa atakutia town!
ReplyDeleteWizi mtupu wangu take care!
ReplyDeleteDay light robery
ReplyDeleteMWIZ HUYO
ReplyDeleteHaumii, hata Mimi nasemaga ivo wakati mwenzawangu akishuka ndani sana.hiyo rahaaaa
ReplyDeleteRaha
ReplyDeleteEti raha
ReplyDeleteco mwiz bwana mm nikikutana na mtu anaenifkisha ninapopataka lzma kelele ziwepo ila co za kuumia ni swityy,tamuuu so may be anafeel
ReplyDeletetakwimu zinasema mwanamke husikia utamu kwa asilimia 75% na mwanaume kwa asilimia 25%
ReplyDeletekatika kuyapima hayo angalia wakati unachokonoa pua kwa kidole je utamu unakuwa kwenye pua au kwenye kidole alikadhalika kwenye sikio ni haki yao kupiga kele za utamu kulingana na starehe wanayoipata
sa huwa wabembeleza ili umpe mtu raha we wa wap????? raha itakuwa kwa wote mifano unayotoa haina kchwa
DeleteInatokea kama mwanaume ana mashine kubwa na hajamwandaa demu vya kutosha lazima demu aumie,wala haudanganywi wala kuibiwa tafuta daktari upate ushauri
ReplyDeleteMwanamke sio sex mashine lazima umwandae vya kutosha ili mkifanya hilo tendo afurahie na sio kuumia.
No comment....mnipe huyo demu nimjaribu ntakwambia ukweli
ReplyDeleteNaunga mkono comnent ya saa 7.16 am
ReplyDeleteInawezekana haumwandai kwanza sehemu zinakuwa kavu sana hapo lazima aum ie
ReplyDeleteHukumuandaaa vizuri
ReplyDelete