NENO (NAUMIA) WAKATI WA TENDO LA NDOA LANITATIZA

Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama baada ya mchezo mpenzi wako huyo hukupiga mzinga wa hela basi ujue hizo kelele zake ni miundombinu ya wizi mtupu.!

    ReplyDelete
  2. Anaumia kivipi,kwani ulimkuta bikira au ulikuta mgodi umebakia shimo tu?

    ReplyDelete
  3. huyo dem mwizi tu! ukishangaa atakutia town!

    ReplyDelete
  4. Wizi mtupu wangu take care!

    ReplyDelete
  5. Day light robery

    ReplyDelete
  6. Haumii, hata Mimi nasemaga ivo wakati mwenzawangu akishuka ndani sana.hiyo rahaaaa

    ReplyDelete
  7. co mwiz bwana mm nikikutana na mtu anaenifkisha ninapopataka lzma kelele ziwepo ila co za kuumia ni swityy,tamuuu so may be anafeel

    ReplyDelete
  8. takwimu zinasema mwanamke husikia utamu kwa asilimia 75% na mwanaume kwa asilimia 25%
    katika kuyapima hayo angalia wakati unachokonoa pua kwa kidole je utamu unakuwa kwenye pua au kwenye kidole alikadhalika kwenye sikio ni haki yao kupiga kele za utamu kulingana na starehe wanayoipata

    ReplyDelete
    Replies
    1. sa huwa wabembeleza ili umpe mtu raha we wa wap????? raha itakuwa kwa wote mifano unayotoa haina kchwa

      Delete
  9. Inatokea kama mwanaume ana mashine kubwa na hajamwandaa demu vya kutosha lazima demu aumie,wala haudanganywi wala kuibiwa tafuta daktari upate ushauri
    Mwanamke sio sex mashine lazima umwandae vya kutosha ili mkifanya hilo tendo afurahie na sio kuumia.

    ReplyDelete
  10. No comment....mnipe huyo demu nimjaribu ntakwambia ukweli

    ReplyDelete
  11. Naunga mkono comnent ya saa 7.16 am

    ReplyDelete
  12. Inawezekana haumwandai kwanza sehemu zinakuwa kavu sana hapo lazima aum ie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad