"NIMEPOTEZA MTU MUHIMU SANA MAISHANI".....WEMA SEPETU

MWIGIZAJI wa kike wa filamu mwenye jina kubwa Bongo Wema Sepetu ‘Madam’ hivi karibuni alimpoteza baba yake mzazi aliyefariki katika Hospitali ya TMJ kufuatia msiba huo Wema alifunguka kwa kudai kuwa baba yake kilikuwa ni kiungo muhimu sana katika harakati zake za urembo na sanaa kwa ujumla kwani baba yake alimuunga mkono katika kufanikisha ndoto zake.

Nimepoteza mtu muhimu sana katika maisha yangu baba alikuwa akinisupport katika sanaa kwani hata awali nilipotaka kuingia katika mambo ya ulimbwende baba yangu aliniunga mkono, kulingana na nafasi yake kwa mzazi mwingine isingekuwa rahisi kunikubalia kuingia katika mashindano ya umiss,”anasema Wema.

Wema anasema hadi dakika za mwisho kabla ya baba yake kufariki alikuwa akimwita Miss world, hata alipoingia katika sanaa ya uigizaji wa filamu bado mzazi wake huyo alimuunga mkono jambo ambalo kwake lilikuwa ni faraja na kujivua kuwa na mzazi anayetambua umuhimu wa kipaji cha mwanaye.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umbea wa kajala kuachwa na petit tunauomba

    ReplyDelete
  2. pole Wema wangu jaman....take heart ma lov

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumeichoka. mbona walikuwa hawa pata na babaake mbona alikuwa haendi zanzibar kuishi nae kama walikuwa wanapenda na. mcituchoshe tucichoshane

      Delete
    2. Hv ww unakichaaa? Kam umechoshwa y umecommntbhumu c kujichosha huko...umetumwa au?binadamu wengine bwan moyo wako cjui uko matakoni

      Delete
    3. Moyo wa bwana ako na ukoo wenu ndio uko matako n msagaji ww .KWENI yy ndio wa kwanza kufiwa. Of course ukifiwa unapoteze m2 so what haya nenda ukamwogeshe

      Delete
    4. We anoym uliye anzisha hili umgomvi wewee!kwl kichwa chako nakifananisha na makalio tu yaan matako rojo

      Delete
  3. nyie wote wasenge tu mnagombania maisha ya mtu aliechoswa si akae kimya mnatukanana kwa ajili ya mtu mwingine kafiwa na maisha yake yanasoonga nyie mnajidai kuleteana midomo tu ya kijinga hapa

    ReplyDelete
  4. Usijali rafki yangu Mungu akutie nguvu na pia alale mahali pema pepon,unahaki uumie kama mtoto na alikua saport yakutosha but dnt loose hope.

    ReplyDelete
  5. Kwani Wema ni nani? Au wa kwanza yeye kufiwa,kuna watu wameondokewa na baba zao na pia mama zao tena wakiwa bado wadogo tu sembuse yeye kafiwa na baba tu tena akiwa ni mtu mzima.hebu acheni kujipendekeza kwake nyie malofa

    ReplyDelete
  6. Lofa baba ako aliyefia mtoni kwa NJCAA wakat we unauza sura mkundu we we ndo maana hauoni umuhimu was kufiwa Luna LA bib ako name mama ako linatoa harufu shimoni mbwa we we mwacheni wema a aka msengeeeeeeweeeeeee wee

    ReplyDelete
  7. huo uchambaji c wa kawaida mbona wote mnakuwa kama uchafu uliozagaa na kukosa wazoaji???????????????????????????????????????????????????????????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad