PHOTOS:DIAMOND NDIO MTANZANIA PEKEE ALIYE ALIKWA NA P-SQUARE KUSHUHUDIA ARUSI YA PETER OKEYO

  Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
Akiwa na Mwanamuzi Iyana


Akiwa na Adebayo wa Man City

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MTU KITU KAMA HUNA KITU KAMA KINYAMA CHA MWITU

    ReplyDelete
  2. Diamond kuvaa f

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilo napnga kjana kapendeza na mavaz aliyochagua punguza chuki

      Delete
  3. NYOO,DOMO KWA KUJIPROUD,ETI KAALIKWA,HAO P-SQUARE WENYEWE HAWATAMBUI KA KUNA MSENGE ANAITWA DIAMOND! HUYO ALIPATA HIYO CHANCE YA KWENDA KWENYE HIYO HARUSI KWA KUWA TU YUPO HUKO KIKAZI NA SI VINGINEVYO NDO HAO WENYEJI WAKE KINA DAVIDO WAKAMBEBA AKAZAMIA KWENYE HIYO HARUSI!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu yngu punguza chuki na wivu! Kwa style hii hatutofka! Wenzetu wanapeana shavu wkt nyie mnatukana na chuki zmewajaa! Jifunze kukipenda cha kwako!

      Delete
  4. NYOO,DOMO KWA KUJIPROUD,ETI KAALIKWA,HAO P-SQUARE WENYEWE HAWATAMBUI KA KUNA MSENGE ANAITWA DIAMOND! HUYO ALIPATA HIYO CHANCE YA KWENDA KWENYE HIYO HARUSI KWA KUWA TU YUPO HUKO KIKAZI NA SI VINGINEVYO NDO HAO WENYEJI WAKE KINA DAVIDO WAKAMBEBA AKAZAMIA KWENYE HIYO HARUSI!

    ReplyDelete
  5. we msolopa kimtindo huo utakufa maskin na jerous yako,,roho mbya km umekula kinyesi

    ReplyDelete
  6. P square hawajamualika diamond alivyo na misifa ya kujishow off angelikuwa ashatupia neno b4 wedding. Hapo diamond ni get crusher

    ReplyDelete
  7. Hiyo surual ni ya wema au ile ya kidot?

    ReplyDelete
  8. Da ila sio bomba wana, tupeane mashavu tu itakuwa poa sana kama tutawasuport watu wa kutoka kwetu nguvu yao inaanzia kwetu.

    ReplyDelete
  9. Wabongo. Mna tabu. Sana yaani mna chuki bila sababu sijui kwa sababu. Wengine mipango amna njaa zinawasumbua kubalini. Tu huyo dogo yupo juu sasa hv mnakua na chuki za kisenge bila sababu wengine mnamchukia alafu mme like page yake ya facebook mtafilwa kuma nyie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio chuki domo anavaaa suruali za kike

      Delete
  10. daah watanzania kwa kuchukiana kwa mafanikio ya mwenzao noumer, msolopa ganzi kwa mfano ungepata nafasi iyo wewe usinge jidai au wivu tu

    ReplyDelete
  11. mbanaa kavaa suruali ya kidoti au ya wema?h ah ahaha

    ReplyDelete
  12. Kumamae zenu nyie mnaomponda diamond wengine hata hela za kula zinawasumbua mnakaa na kuanza kumponda mtu ambae hakujui cjui ndo mambo ya ulimbuken wa mitandao ndo unaowasumbua???

    ReplyDelete
  13. Mungu akuongezee D maneno kaumbiwa mwanadamu hakuna jipya

    ReplyDelete
  14. humu kukiwa habari za domo au wemalaya utaona watu wengi wanavyokomenti sasa nasema huyo domo kaenda kuchafua haliya hewa pcq a hawamjui wameona kijitu cha mwitu

    ReplyDelete
  15. Guys,he wasnt the only tz there. I was there too na wake wawili pia tuliolewa huku. Diamond hakualikwa bali alikuja na iyanya. Peter ndio alikuwa anafwata wageni wake kupiga nao picha . diamond alijiepelekea yeye tena last minute kabisa. Kwaiyo kusema ukweli ndugu zangu tuongee vitu na ushahidi. Iyanaya had an invite for 2.ndio akambeba. Sie wenyewe tulishangaa kumuona pale.am not hating but thats the truth.iyanya ila jamaa peace sana maana aliona ambebe rafiki yake

    ReplyDelete
  16. Guys hata mi nilikuwepo mnavyosema mbongo peke yake.u giv proud to him.

    ReplyDelete
  17. Ahaaaaaaa kama naija ni manzese hat mi nilikuwepo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad