Dereva mmoja wa tax kituo cha Bungoni ambaye alikuwa shuhuda wa kwanza, alisema mapema leo asubuhi alipata mteja aliyehitaji kupelekwa sehemu, ila kabla hawajafika huko walipokuwa wanataka kwenda jamaa ambaye ndiye alikuwa ni muuwaji alimuomba akatishe safari na kumtaka ampeleke sehemu nyingine.
Kwa mujibu wake dereva huyo aliendelea kusimulia, alimpeleka jamaa mpaka aneo la tukio hilo kwenye nyumba iliyopo pembeni mwa Hotel mpya iitwayo MM.
Mara baada ya kufika hapo, jamaa alitoa sh. 5,000 na kumkabidhi dereva ila cha kushangaza ni kitendo cha jamaa huyo kutoa bastola wakati akiwa anaelekea kwenye geti la nyumba, aliendelea kusimulia dereva huyo.
Wakati jamaa anaelekea getini mlango ulifunguliwa na gari aina ya Toyota Surf ilitoka ikiwa na watu wanne ndani, mwanaume mmoja ambaye ndiye aliyekuwa akiendesha gari mama mmoja na wadada wawili.
Jamaa akiwa na bastola alianza kuwashambulia watu waliokuwa ndani ya gari hilo na kumpiga risasi dereva na mdada mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Carol, hii ni kwa mujibu wa dereva huyo na mara baada ya kuona hivyo hivyo ikabidi akimbie.
Vyanzo vingine vinaeleza kuwa katika tukio hilo jamaa pia limpiga risasi ya mgongoni mama wa mwanamke aliyemuua na pia alimpiga msichana mwingine risasi ya mguu.
Mtuhumiwa na dereva aliyekuwa akiendesha gari walifariki palepale huku msichana mmoja akielezwa kufariki akiwa njiani kuelekea hospitali.
Bado haijafahamika moja kwa moja chanzo cha mauwaji hayo licha ya watu wengi ambao nilipata bahati ya kuongea nao wakilihusisha tukio hilo na mambo ya kimapenzi.
Dereva Aliyekuwa Akiendesha Gari |
Mwili Ukibebwa Kuingizwa Kwenye Gari |
Jamaa Aliyeuwa Kisha Kujiua |
MAJANGA, WANATOA WAPI UJASIRI HUU KAMA UMEIBIWA MKE AU MUME SI USIKE TIME YAKO YA NN KUTAFUTA DHAMBI KUBWA KIASI HIKI
ReplyDeleteMdau hayajakukuta we,mapenzi yanauma sana ila all in all RIP wote waliopatwa na mkas
Deletemapenzi yanauma lakini duniani huna haki ya kumuhukumu binadamu mwenzako kifo ni mungu pekee, kama ilivyojionyesha kwenye mkasa huu wahusika wamebaki duniani wataendelea na mapenzi yao, kifupi aliekipanga mungu binadamu huwezi kukitenganisha, tujifunze kukubali matokeo hata kama yanaumiza kiasi gani
DeleteR.I.P
ReplyDeletewote lakin mapenzi noma!
mapenz nouma kweli mdau uyo anonymous wa kwanza anahukumu wakati yeye hajamkuta, na aombe mungu yasimkute, mtihani.
DeleteDawa ya wachunaji na mabingwa wa kuumiza wenzao na mapenz ndo ishapatikana ....ooh mi nnlikuwa namlia vyake tu hata simpend na nyie mamen ooh nnlitaka nimege tu nsepe...watu wanakuufoo saro tu.....ogopa kuchezea filngc za mtu ambae yy hachezi na za kwako
ReplyDeleteKweli kabisaa kibela sio fair km humpendi achana nae muache na hela zake sii unamchuna alafu unamuaacha lazma kwa kwendo huu mtu akiufooo saro.
DeleteThanks for the new vocabulary mwizi WA mapenzi dawa Ni KUFOO SARO Tu no discussion
Deletesasa hapo faida ikwap we unakufa unawaacha wao ful kubadilishana vikojoleo
Deletewell said kibela
ReplyDeletepoleni hii habari ni kama ya ile ya Ufoo
ReplyDeleteDuuuuuuu mapenzi noma
ReplyDeleteWAPENZI WANGU WOOTE NLIOKULA HELA ZENU HAPO ZAMANI NAOMBENI MSAMAHA SITARUDIA TENA. NAOMBA MSINIUFOOSARO MWENZENU BADO NAPENDA KUISHI, NAJUA NIMEWAKOSEA SANA LAKINI TUACHE YALOPITA TUGANGE YAJAYO. ASANTENI
ReplyDeleteMnaongea usenge tu hamjui chochote.
ReplyDeleteJamaaa ni mental case yule
ReplyDeleteKufoo salo yes ndicho kilichobaki sasa RIP marehemu
ReplyDeleteGea kaongea upupu kumamake asubui hivi clouds mbona wajinga hivi. Wole wako uje kwenye msiba tutakutoa balu mamamae
ReplyDeleteWe only need God intervention,
ReplyDeletekwa style hii siku hz wanawake tutakuwa na adabu na hela za wanaume..kiukweli nina uwoga sasa hv dah...sasa na wanawake nao wakiamua na wezi wa waume zao mmh itakuwa kazi..hv mwenzio kakutoa ktk zero then unamkana na gari unampa mtu mwingine aendeshe acheni nyie mapenzi yanauma jamani...R.I.P Munisi
ReplyDeleteKakutoa wewe ktk zero. Kakuhonga wewe gari. Ana ubavu wakuhonga? Gari sio lake na kamua mtu mwingine. Msiropoki jamani. Hajawai hata kumnunulia pipi X wake. Eti kampangishia nyumba. U pple r realy mad
DeleteAna hela gani jambazi lile. Hajawai kumpa hata senti yule dada wawatu. Wivu wakuachwa.
ReplyDeleteKampa gari gani. Sio gari lake lile tafuteni story vizuri msiongei upupu ka gea weni. Ana ushuzi wakuhonga gari yule mbwa mkatili. Kamua mdogo mtu hana hata hatia. May he rot in hell. Acheni kuchangia usenge hamjui chochote. Damu za watu zinamsumbua.
ReplyDeleteNlikua na nlishujudia huyu jamaani 'mdogo' wa kova pia alikua na hirizi na milion saba
ReplyDeleteYataendelea kutokea mambo km haya wanawake wengi sio waaminifu hata km wananyumba zao ,ukitongozwa si ukatae ni lazima ukubalia au uchukue hela za watu,siko kwenye kisa hichi cha dar,nimefanya kazi mashirika mengi zaidi ya nchi 5 za afrika ghana,Nigeria,Tanzania,Malawi ,bondeni ,wanawake na wanaume sio waaminifu watu tubadilike biashara ya kutongoza watoto wa shule na wewe mtoto au mke wa mtu kwa nini ? usifuate kilicho kuleta duniani? umeona uzinzi au ngono ni muhimu sana hata km unaimba kwaya? badilikeni jamani ,haya mambo yakiendelea tutapoteza nguvu kazi kubwa sana ya taifa we have to change now,there so many diseases now days,utakula wanawake wangapi uridhike ? au dunia imekuwa yako mwenyewe? miaka 25,35,40,55,60 bado dhambi inakutafuna si uache uhuni ulee watoto wako au uoe kieleweke?
ReplyDeleteI know the boy,Munisi.ni fighter WA maisha,japo pi a Ana hasira sana.so tusi assume facts,mpenzi wake ataeleza wat happened.
ReplyDeleteHatakiwi analazimisha mapenzi
Deletesasa hasira zimempeleka motoni na wenzake wamebaki duniani wanaendelea na mapenze yao, aliepanga mungu binadamu huwezi kulipangua
DeleteNdio maisha bt mungu si asuman kwan wangekuwa waislam hao ungesikia tuu magaidi magaidi bt mungu yuko
ReplyDeletewewe ni mpumbavu!!
DeleteAsumani ndo nn na wewe? Ni athumani.
ReplyDeletempenzi wake hataeleza chochote atakufa na siri hiyo kama ufoo saro.
ReplyDeletekauwa hata wasiohusika
ReplyDeletejamani ee watanzania tusiige mambo ya nnchi za watu.mambo haya yapo mengi sana afrika kusini watu kuwana kwa ajili ya mapenzi kwa bunduki .mapolice ndio wanaongoza kwa kuuwa wanawake na watu wengine kwa ajili hiyo lazima tuifundishe jamii yetu kwa mtindo ulioanza .baadaye isije ikawa ni fashion.
ReplyDelete