PICHA ZA KIMAHABA ZA WASTARA ZAZUA UTATA

Na Shakoor Jongo
PICHA za aliyekuwa mke wa marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ Wastara Juma akiwa na mwigizaji Bondi bin Salim ‘Bond’ zimezua utata ambao unakazia ukweli wa taarifa ya kuwa wawili hao ni wapenzi.
Kikizungumza na Ijumaa Wikienda chanzo chetu kilicho makini, kilisema kinawashangaa sana Wastara na mwenzi wake huyo kuukana upenzi wao kila kukicha wakati picha zinajieleza.
“Wastara amekuwa akimkana Bond kuwa si mpenzi wake ila ni kaka yake sasa hebu tazama picha zao mpya, hata mtoto mdogo humdanganyi kitu,” kilisema chanzo hicho huku wawili hao wakiendelea kukanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi.

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna ubaya gani kupendana na wao c binaadamu au kuna ushoga hapo ili iwe ni aibu.acheni kufatilia maisha ya watu kama hamba story c mkae kimya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bongo na nyie huwa mnachukua picha waigizaji wakiwa kazini wanaigiza halafu mnaziwekea maneno yenu acheni zenu hizo hapo walikua wanaigiza movie hevu ona hata Wastara ameshikilia pochi lake kupozi na hiyo nyumba imekodiwa kwa kutengeneza filamu, acheni zenu hizo za kuchukua picha wakiwa kazini halafu mnazigeuza maneno

      Delete
  2. kuna ajabu gani jmn..muacheni Wastara apumue khaaaaaa!!au ye hana nyege?

    ReplyDelete
  3. nyege anazo lkn aangalie mtu na busara na wadhifa wake si hovyohovyo atajishusha sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani mapenzi ni nyadhifa ya mtu au ni mtu aliekupendeza moyoni?

      Delete
    2. mapenzi hayana kujishusha ila ni kulidhishana tu, Lakini ninapenda sana hii blog, inanifurahisha na kunichangamsha sana, hasa habari zake na wadau na maoni yao. kwa nini modereta usifanye mpango hii blog ikawa na option ya kujisajili, na ikiwezekana jamani wadau wa hii blog tufahamiane tukutane tufurahie wote pamoja. HII BLOG NOMA

      Delete
  4. ni aibu sana kwa sababu sio mda mrefu tangu mme wake sajuki amefariki yeye ameshaanza kungonoka kisa nyege!!..ngoja vijana wa mjini wamuumize ndo atajifunza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. bado kijana mbichi nyege ni part ya ujana ona hapo maziwa yamevimba nyege hizo hazikwepeki human nature wote tumebarikiwa nayo ni jambo zuri la kufurahia cha msingi ni kuchagua mmoja awe anazituliza maisha yanaendelea

      Delete
  5. Wastara ana haki ya kufurahia maisha! Acheni kumsakama.

    ReplyDelete
  6. Hongera dada.achana na hao wambeya Mungu akubariki

    ReplyDelete
  7. acheni mambo yenu hayo kwani yeye hatakiwi kumpenda mtu badala ya marehemu JUMA ? acheni ukhanithi huo !!!!

    ReplyDelete
  8. Hongera ila mwambie jamaa ache kusuka mkifatana ajuilikane nani mwanaume

    ReplyDelete
    Replies
    1. True true hapo wote wanaonekana wazuri duuh na laana za dunia siku hizi mtatongozwa wote

      Delete
  9. Aliwe tu kama mtamu

    ReplyDelete
  10. walikuwa wanashoot move ya temptation lol! hahaha

    ReplyDelete
  11. Jamani ni movie hiyo mweee mumuache dada wa watu alafu mnakazi ya kucopy pix insta tu ovyoooooo

    ReplyDelete
  12. wastara nae ana haki ya kufanya atakavyo ni mtu mzima tatizo nn jamani? mbona mnafuatilia mambo yasiyowahusu? kwani alivyofiwa na mumewe mmeambiwa kuwa ndio mwisho wa yeye kuwa na mpenzi au huyu wastara mnafikiri ana ugumu ? aahaaa acheni habari za kipuuzi mbona mnakua wambea hivyo.

    ReplyDelete
  13. Hicho kibond kitoto kichafu chafu hovyooo kweli bongo movie

    ReplyDelete
  14. Co Kwamba Wamuache Ukwel Lazma Aambiwe.

    ReplyDelete
  15. Aliwe 2 kwan ye ndo hana kuma.

    ReplyDelete
  16. unaeza kuta wako location wanaigiza..hata snura na ngasa c mlizusha iv iv kumbe wa2 walikuwa wanaigiza

    ReplyDelete
  17. Waachen watu wapumue aisee mbona bongo tunafatiliana sana,kwan kitu gan,?tatizo dar wengi mamwinyi,maskan na vijiwe kwa tusiokuwa na kazi tunashindia majungu na kutengeneza story za kuchafua wengine bora hata tupige hela basi unaishia vibia tu kwenu ukiwa ushamchafu mtu,unafaidika na nn?

    ReplyDelete
  18. jaman yy n bnadam hanazo hisia kama bnadam wengne...........

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad