PICHA ZA P-SQUARE WALIVYO TUA DAR KWA AJILI YA SHOW YA KESHO

Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East Africa Radio na EATV.
 
 Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao.
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea.
Vijana wakielekea kupumzika tayari kwa kazi ya kesho
(Picha na Mdimuz Blog)
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mi nawakubali mziki kwao ni kazi c starehe wanajua wanachokifanya.stagini wako bomba kuimba pia.karibuni wazee wa personal

    ReplyDelete
  2. umeme ulikua umekatika hapo Airport? mbona giza totoro

    ReplyDelete
  3. Haya sasa wale wadada wa kuvizia kazi kwenu

    ReplyDelete
  4. Haya sasa wale wadada wa kuvizia kazi kwenu

    ReplyDelete
  5. Aii tutaogopa hata kutoka nao,out,tunajuanA,nao kisa kusemwa,tumevizia lol mtuwache

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama wewe Ni Demi wangu nikikukamata na P Square lazima nitakufoo Saro kama si Gabriel Munisi.
      kuweni makini P Square na wasichana WA TZ

      Delete
  6. kaka ay upo fanya tena collabo nahawa jamaa usiwiaachie hv hv ile ngoma uliotoa nao hukuitolea vdeo

    ReplyDelete
  7. Vijana kmbka kuna ukimwi bongo au sio!

    ReplyDelete
  8. Karibuni vijana ila kumbka kna ukimwi

    ReplyDelete
  9. Karibuni wanaume

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad